Pages

Chikwaso ft Stamina na Deddy - Mchaka Mchaka (Audio)

Chikwaso ft Stamina na Deddy

Watu Watatu Wamefariki Dunia Katika Ajali Iliyotokea Eneo la Kwasunga

Watu watatu wamekufa papo hapo kufuatia gari waliokuwa wamepanda aina Pajero lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Arusha kuacha njia na kupinduka.

Lady Jaydee ft. Prof. Jay - Joto, Hasira. (Lyrics)

 Lady Jaydee
Mashairi haya yametangulia kabla ya ngoma hiyo inayofahamika kama JOTO, HASIRA ikiwa yameachiwa na Jaydee mwenyewe ili fans waweze kui-catch up ngoma yenyewe itakapotoka.

Chorus:
Hili joto hasira, ambaa
Upepo hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa.
Foleni njia nzima, ambaa
Na pesa hakuna
Ambaa, naruka mwenyewe
Yelela, yelela, ambaa

VERSE 1:
Kila siku nimenuna
Kwanini tunagombana
Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa...

UWF Presents Mwanamakuka Awards 2013

Mwanamakuka Poster

Sana, Rabbit, Jimwat, Juacali, Avril, Marya, Ala C & Alpha Msanii - Change (Video)

Ngwair ft. TID - No Beef (Audio)

Ngwair ft. TID - No Beef

Mumbi- Probably For Lovers (cover) Video


J4C - Wish to Stay (Video)

AND 1 Mixtape Star & Streetball Legend Tyrone "Alimoe" Evans Passes Away

Sad news to report today in the world of basketball as streetball legend and former AND 1 mixtape star, a family friend tells Hip-Hop Wired that Tyrone "Alimoe" Evans has passed away from complications following a stroke.

The Harlem, NY resident also known as "The Black Widow" rose to prominence during the street ball boom of the late 90s and early 2000s. The 6'7" player was known for his trademark ball handling skills despite his immense size, something only seen on a regular basis in the National Basketball Association.

Alimoe reached superstar status as one of the more popular players during the AND 1 Mixtape Tour. He stood out with famous street ball players of the era including Hot Sauce, The Professor, Main Event, The Air Up There, and many more. In an interview with Hoopsvibe in 2003, Evans said he wanted to be remembered as somebody that made somebody else get up and do better.

"They don't have to let me know that I lit their fire; just go out and do it.," said Evans. "They don't have to thank me and bring me out to the game; just go do it. Just knowing that that little kid watching me took something home with them. See, basketball is a teacher of life. The lessons you learn in basketball - don't be selfish, work hard, and treat everybody good - they're the same lessons in life."
Hip-Hop Wired sends its deepest condolences to the Evans family.

TCRA Imezifungia Stesheni za Redio Mbili na Kipindi Kimoja cha Clouds FM

Clouds FM
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.

Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.
Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.
Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili.