Pages

Bunge Kustsha Matangazo ya Moja kwa Moja ya Vikao Vyake!

BUNGE linatarajia kufuta utaratibu wa kurusha matangazo ya moja kwamoja kupitia televisheni kwa madai ya kukomesha vitendo vya baadhi ya wabunge kukiuka kanuni za bunge na kuleta vurugu kwa kutafuta umaarufu bila kujua kwamba tabia hiyo inaleta picha mbaya katika jamii.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Bunge Dk.Thomas Kashilila jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa ya mapendekezo ya kuanzisha kamati ya bajeti na kuvunjwa kwa baadhi ya kamati za bunge.
Amesema kuwa ili kuleta maadili kwa baadhi ya wabunge ambao wamekuwa wanashindwa kufuata kanuni za bunge na kutumia nafasi hiyo kwa kutafuta umaarufu kwa sasa wameomba kufutwa utaratibu wa kurusha matangazo ya bunge ya moja kwa moja badala yake watarekodi ili kuondoa hoja zisizokuwa za msingi.

Ameongeza kuwa kuna idadi kubwa ya wabunge wamekuwa wakikiuka kanuni za bunge makusudi na kusababisha kuleta vurugu bungeni wakati jamii ikiendelea kutazama mabishano yasiyokuwa na hoja za msingi.

Dk Kashilila amesema kuwa kwa sasa kuna baadhi ya kamati za bunge ambazo zimevunjwa kutokana na baadhi ya kamati hizo kuingilia katika utendaji jambo ambalo limekuwa likipoteza maana ya kamati hizo.

Hivi karibuni baadhi ya kamati ikiwemo ile ya Mashirika ya umma POAC zimefutwa na kuacha maswali mengi kwa baadhi ya wananchi juu ya hatua hiyo.
Chanzo:jamiiforum

Chopper Young City,Young Boy - To The Top

Kipanya Leo

https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/s480x480/644189_376812832417487_1930588142_n.jpg

Miracle Escape For Hit and Run Toddler Caught on Camera

WARNING: The following images show a hit and run involving a woman and young child. Despite the shocking nature of the CCTV footage the pair escape unharmed.
We are releasing the images in a bid to find the driver and the car which, despite national checks, is yet to be recovered.
Were you on or around King William Street in the Hillfields area of Coventry just before 7.30pm on Friday 7 December 2012? Did you see a black Audi estate with a registration plate starting with EN57? Are you a mechanic who has since repaired a black Audi estate with front end damage? Have you seen a black Audi estate being taken to a lock-up or garage and not come out?
If so, you must contact West Midlands Police immediately on 101.
Alternatively, people who do not want to speak with police officers can contact the independent charity Crimestoppers anonymously on 0800 555 111.

BUM KUBAM OFFICIAL VIDEO: DK 4 KATI YA DK 55 ZA BUM KUBAM DVD

Ni DK 4 kati ya DK 55 za BUM KUBAM DVD inayoelezea maisha ya Nick wa pili na mzik anaoufanya. Kuna mengi zaid ya hii video yanayooneka kwenye BUM KUBAM DVD, kama bado hujapata copy yako, Mawasiliano 0655671550
WAKALA WAKUU:
ARUSHA: Wakala anapatikana SABENA opposite na daladala za njiro. au Mnara wa mwenge duka la kwanza la nguo( Kwa mchiz soo)
MOSHI; Stend ghorofa ya kwanza (TUMA TECHNOLOGY)
DAR: Kariakoo Aggrey/congo. Kijitonyama shule ya msingi baada ya Kituo cha bajaj(France corner), Born 2 shine Mwenge opposite na TRA, Sinza mori (PLAN B)opposite na kanisa la Worl alive.

Epic Baby - Ninja

Rick Ross: I Ain't Scared of Another Shooting!

Daniela in Trouble

Daniela
Mke wa Star wa muziki kutoka Uganda Jose Chameleone, Daniella Atim ameingia matatani mikononi mwa sheria baada ya kufunguliwa mashtaka kwa kumshambulia na kumpiga kofi mwandishi wa habari ambaye amefahamika kwa jina Kuku Wazabanga.
Imedaiwa Daniella alifikia hatua hii baada ya paparazi huyu kuzua Ishu kuwa Nyumba ya Msanii Chameleone iliyopo huko Sseguku aliyohama na familia yake recently kwa sababu za kiusalama, ipo katika hatihati ya kutaifishwa na maafisa mkopo kutokana na Deni ambalo hawajalipa.
Taarifa hizi ambazo zimeonyesha dhahiri kumuudhi Daniella, Zilizosababisha apige mishe za kumtafuta mwandishi huyu na kuingia naye katika ugomvi mkubwa uliozaa tukio hili.
Kwa sasa Daniella anakabiliwa na kesi ya kushambulia/kupigana hadharani na yupo nje kwa dhamana ya kitita cha shilingi milioni 20 za Uganda.

JB AFARIKI DUNIA CHUMBANI KWAKE

JB
JB Msanii wa filamu mwenye mashabiki lukuki ndani na nnje ya dar Jb ama Jacob Stephen amesema ameshtushwa sana na sms pamoja na simu alizopokea Ray zikijieleza au kuuliza kama yeye ( Jb) yupo hai
Jb amesema kuwa yeye yupo hai hajafa na amesikitishwa sana kifo cha kaka yake huyo.
Mashabiki na wadau wa filamu jana walizua utata na huzuni ya ghafla mara baada ya kuanza kutumiana sms zinazosema jb kafariki huku wengine wakiwasiliana na msanii Vicent Kigosi Ray kutaka kujua ukweli.
MSANII JACOB STEPHAN (JB)ALIYEDHANIWA KAFARIKI
Akiongea na sisi kwa njia ya simu Jb amesema kuwa,,,Naomba mashabiki wangu wasipatwe na hofu kwani mimi nipo hai na wala siumwi, jb aliendelea kutowa ufafanuzi kwamba aliyefariki ni yule big bosi mwenye kumiliki hotel kadhaa kama,,,,JB BELMONTE YA DAR NA YA MWANZA- AMBASSADOR CLUB,NA SAVANNAH LOUNGE,,,Kusema kweli nimepokea simu na sms nyingi sana lakini kifupi naomba kaka uwajulishe watu juu ya hili na amini blog yako inasomwa sana na mashabiki wangu sasa wape taarifa kuwa nipo hai na hakika nimeumia sana kwa kuondokewa na ndugu yangu wajina wangu kaka yangu rafiki yangu marehemu justus baguma alimaarufu kama Jb Belimonte,huyo ndio Jb aliyefariki na sio mimi alisema JB.

Taarifa za ndani zinadai Jb Belmonte alikumbwa na umauti wakati akiwa chumbani kwake kalala huku chanzo cha kifo hicho kikiwa ...

Polisi Waanza Kuwafuatilia na Kuwasaka Waliomtukana Spika

Spika wa Bunge,Anne Makinda  
POLISI mkoani Dar es Salaam wametangaza kuwafuatilia, kuwasaka na kuwachukulia hatua wote waliotuma ujumbe wa matusi ama kupiga simu ya vitisho kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda. Viongozi wa Chadema walifanya mkutano wao mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, jijini Dar es Salaam na kutoa namba za Spika wa Bunge ili mashabiki wamshinikize ajiuzulu. Pia viongozi hao walitoa namba za simu za Naibu Spika, Job Ndugai ili naye ashinikizwe ang’oke katika nafasi yake kwa madai ya kukandamiza upinzani bungeni. Chadema walidai kuwa

Makinda na Ndugai wamekuwa wakipindisha kanuni wakati wa kuliongoza Bunge. Pia walidai kuandaa taarifa ya kutokuwa na imani na maspika hao, ripoti ambayo wataiwasilisha kwenye Bunge lijalo.
Wakati Polisi wakitangaza hayo, juzi Ofisi ya Bunge kupitia kwa katibu wake, Thomas Kashilillah ilisema itawachukulia hatua kali wale wote waliotumia lugha chafu kwa ujumbe mfupi ama kupiga moja kwa moja kwa Spika na Naibu wake.
Hatua hiyo ya polisi inachukuliwa baada ya Makinda kudai kuwa ametumiwa ujumbe mfupi zaidi ya 400 na kupigiwa simu zisizopungua 200, zinazomkashifu na nyingine zikiwa ni za ...