Pages

Solo Thang Ft Chidi Benz - Viini Macho [Audio]

Solo Thang Ft Chidi Benz - Viini Macho [Audio]

Ney wa Mitego: ‘Siwezi Kumjibu Nikki Mbishi, Naweza Nikamlea Yeye na Akaishi Vizuri na Kumkodishia Salon ya Kusuka

Ney wa Mitego 
Rapper na hitmaker wa ‘Nasema Nao’ Ney wa Mitego ameimbia‘exclusively’ Bongo5 kuwa hana mpango wa kumjibu Nikki Mbishi aliyeandika wimbo wa kumdiss uitwao ‘New wa Mitego’. Miongoni mwa mashairi kwenye wimbo huo yanasema, “’Ney wa mitego, anagawa ndogo ka gay mwenye pepo’
Pia February 6, Nikki alitweet, ‘I am deeply in love with this shawty named @Nay wa mitego’.Bongo5 imeongea na Ney kuhusiana na issue hiyo ambaye amesema hana mpango wa kumjibu Nikki kwakuwa anatafuta pa kutokea.
“Anatafuta pa kutokea mimi sitaki kuongea lolote kuhusu yeye. Mimi sitaki kufuatilia kwasababu nimeshagundua kuwa ni upuuzi, yeye anatafuta njia ya kupita mimi sitaki kuzungumza chochote, hata interview yoyote kuhusu yeye sitaki, yaani nalizungumza hili kwasababu nyinyi ni wanangu (bongo5) lakini nimekataa, nimekataa kabisa, sitaki kabisa kumzungumzia huyo mtu,” amesema Ney.

“Kama kuna wananchi ambao ni matahira wanaweza kuelewa hicho alichokifanya it’s okay. Mimi huwa namuimba mtu kwa kitu ambacho kila mtu anakiona na ndio maana nimekuwa na mashabiki wengi sana kwasababu mimi huwa naongea ukweli. Nikisema Chidi Benz katoboa pua ni ...

Steve RnB - Jambo Jambo

Police Hunt for Suspected Cop Killer

San Bernardino
Christopher Dorner Manhunt: Police Hunt for Suspected Cop Killer With Door-to-Door Search

More than 100 police officers were going door-to-door and searching for new tracks in the snow in hopes of catching suspected cop-killer Christopher Dorner overnight in Big Bear Lake, Calif., before he strikes again, as laid out in his rambling online manifesto.

Police late Thursday night alerted the residents near Big Bear Lake that Dorner was still on the loose after finding his truck burning earlier in the day.

San Bernardino County Sheriff's spokeswoman Cindy Bachman said authorities can't say for certain that he's not in the area. More than half of the 400 homes in the area had been searched by police as of late Thursday. Police traveled in two-man teamsBachman urged people in the area not to answer the door, unless they know the person or see a law enforcement officer in uniform.

After discovering Dorner's burning truck near a Bear Mountain ski resort, police discovered tracks in the snow leading away from the vehicle. The truck has been taken to ...

Kipanya Leo

Kipanya

UN and Humanitarian Partners In D.R. Congo Launch Us$892.6 Million Action Plan For 2013

UN
 United Nations agencies, humanitarian partners and the Government of D.R. Congo today launched a US$892.6 million Humanitarian Action Plan (HAP) to provide aid to millions of people affected by food insecurity, conflict and disease in 2013.

“The HAP represents the hope that affected families have in us. In return we promise to do all we can to help them meet their essential humanitarian needs,” said the Humanitarian Coordinator, Moustapha Soumaré, at the launch in Kinshasa.

The Plan responds to the growing needs of 3.9 million people across the country including 2.7 million internally displaced, more than half of them in the eastern Kivu provinces. Also the...

Actress Amanda Bynes Calls Jay Z ugly

Amanda BynesJay Z The actress posted this on her twitter page and deleted it a few minutes later after she was bashed by Jay Z fans and people who found it offensive. She took it down but didn't apologize or offer an explanation.I smell twitter war lol

Mabondia Fransic Miyeyusho na Sadiki Momba Kuzichapa Pasaka

Sadiki Momba
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na Sadiki Momba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka.
Fransic Miyeyusho
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na Sadiki Momba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya Pasaka, wanashudia katikati ni Promota wa mpambano huo, Kaike Silaju na Makamu wa Rais wa PST, Aga Peter .

UmojaPhone – Rates Decrease to Tanzania Now Only 16.9cts/min, Lowest Rates To Other Destinations


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMqaQaTRfoziaoelZd4uj6cH95O8OZ3HawZGKVvKDzPLnZbw6CLqNjS5xmSZYEkVEcSt3sAuy0nIsARTmblU6rzj_9-MfO1oT7zVtkXIVEY3bcsg83DJ1Rzaf-BuuGl1d2SzR-T4KSmYp1/s640/UmojaPone+Tanzania+Rate+Decrease+(1).jpg