Mabondia Fransic Miyeyusho na Sadiki Momba Kuzichapa Pasaka
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akitunishina msuri na Sadiki Momba
wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika siku ya sikukuu ya
Pasaka.

Pasaka, wanashudia katikati ni Promota wa mpambano huo, Kaike Silaju na
Makamu wa Rais wa PST, Aga Peter .
Picha na superdboxingcoach.blogspot.com
Solar Superstorm. UK Warning!!

Britain must do more to prepare for a once-in-a-century "solar superstorm", according to experts.
The Government is being urged by the Royal Academy of Engineering to set up a UK Space Weather Board to help cope with a massive radiation blast from the Sun.
Such an explosion could trigger black-outs, knock out one in 10 satellites, and disrupt aircraft and GPS systems.
Statistically a solar superstorm is likely to occur every 100 to 200 years.
Although solar weather events happen regularly, the Earth has not experienced a superstorm since the start of the space age.
More..

Utalii Waingiza Sh10.8 Trilioni

JUMLA ya Dola za Marekani 6.3 bilioni sawa na Sh10.8 trilioni,zilipatikana katika kipindi cha mwaka 2007 hadi 2011,kupitia njia ya utalii kwa kupokea watalii 3,854,467, Bunge lililezwa jana.
Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,Adam Malima ambaye alikuwa akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utali, Hamisi Kagasheki.
Malima alikiri kuwa ni kweli Tanzania ina vivutio vingi na ambavyo ni maarufu ikilinganishwa na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),licha ya kuwa havijatangazwa kikamilifu.
Alisema kwa sasa wastani wa watalii wanaoingia Tanzania ni kati ya 770,894 ambao huingia kwa ajili ya kufanya shughuli za utalii katika maeneo ya uwindaji, utalii wa picha pamoja na kuangalia ndege.
Katika swali la msingi,Kombo Khamisi Kombo (CUF) alitaka kujua Tanzania inaingiza mapato kiasi gani ikilinganishwa na vivutio vilivyoko nchini kuliko nchi nyingine wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mbunge huyo alitaka kujua pia wastani wa watalii wanaoingia nchini kwa kila mwaka na kuhoji kwa nini serikali inaendelea kulifumbia macho na kuwaachia wananchi wa Kenya kuendelea ...

Subscribe to:
Comments (Atom)