Pages

Gharama za Kupiga Simu Sasa ni Sawa na Bure!

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA
GHARAMA za kupiga simu kutoka mtandao wa kampuni moja ya simu za mikononi kwenda mwingine nchini kuanzia Machi Mosi, mwaka huu, zitashuka kutoka Sh. 115 hadi Sh. 34.92 kwa dakika moja.
Uamuzi huo umefanywa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya kufanya mapitio ya gharama za mwingiliano kwa kampuni za simu nchini wa mwaka 2013, pia kuanzia Januari Mosi, mwakani, gharama hizo zitapungua hadi Sh. 32.40.

Vilevile, Januari, 2015 gharama hizo zitashuka hadi Sh. 30.58; Januari, 2016 zitashuka hadi Sh. 28.57 na Januari, 2017 zitashuka hadi Sh. 26.96 kwa dakika moja. Akitangaza uamuzi huo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma pichani, alisema umetolewa kwa mujibu wa sheria ya TCRA ya mwaka 2003 Sura 172.

Profesa Nkoma alisema viwango hivyo ni vya kikomo cha juu na pia ni elekezi, lakini akasema kampuni za simu zina uhuru wa kukubaliana kibiashara ili mradi makubaliano yao yasizidi gharama zilizoelekezwa na TCRA. Alisema gharama hizo zitatumika kwa mawasiliano ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na simu za kimataifa zinazoingia katika mitandao nchini.
Hivyo, ameziagiza kampuni zote za simu kufanya makubaliano mapya baina yao na ...

Watu Wawili Wanaosadikiwa Kuwa Wezi wa Pikipiki Wamechomwa Moto Tegeta

Watu wawili wanao sadikiwa kuwa ni wezi wa pikipiki maarufu kama boda boda wameuwawa na wananchi wenye hasira kali huku mmoja akinusurika kufa katika eneo la tegeta masaiti, kwa tuhuma nyingine za jaribio la wizi wa pikipiki.

Deaths and Desperate Need for Aid in Flood-Stricken Mozambique

Flooding in three southern states of Mozambique has killed at least 40 people, with several reports of a death toll of up to 70. Low-lying coastal areas of the southern African country have been hit especially hard in this year's rainy season.
Flooding in 2000 killed 700 people and displaced millions.This time, boats are being used to evacuate thousands of people.
Helicopters from both Mozambique and South Africa's militaries have had to rescue those stranded on the rooftops of their homes.
Around 100,000 people have been affected in Gaza province alone according to the UN, which estimates more than 11 million euros will be needed for aid to prevent the spread of diseases.
The Chikahalani camp is now home to 65,000 people but only has 28 toilets.

Maino - Nino Brown -Official Video

Ray Yamemkuta

Irene Uwoya
TUKISEMA staa wa filamu za Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ yamemkuta ni sawa, kisa ni ile ishu yake ya kutengeneza filamu inayoitwa Sister Marry ambapo mapadri wamemtaka asiipeleke sokoni milele, Risasi Jumamosi lina mkanda wote.
Ishu hiyo ilitokea kwenye kikao kizito cha saa 5 kilichofanyika Jumanne iliyopita katika Ofisi za Utamaduni jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa kikao hicho walikuwa Ray, Mkurugenzi Mtendaji wa Utamaduni aliyetajwa kwa jina moja la Mwansoke, mapadri wanne na mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni wa kutoka Ofisi za Usalama wa Taifa.
Kikao hicho kilikuja baada ya hivi karibuni viongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam kumtaka msanii huyo ajieleze kimaandishi ni kwa nini mtawa Sister Marry (Irene Uwoya pichani) alikuwa akifanya matendo ambayo kiuhalisia, Wakatoliki wenyewe huwa hawayafanyi.
Kabla Ray hajajieleza kwa maandishi ndipo alipoitwa huko na kukubaliana ana kwa ana na jopo hilo huku mashinikizo kadhaa yakielekezwa kwake.
Awali, wajumbe wote wakiwa wamekaa kwenye viti, filamu hiyo yenye saa 3 iliwekwa mwanzo mwisho huku mapadri hao wakiguna kila wakati, hasa wakati Sister Marry akiwa anafanya...

Chris Martin - Mama -Official Video

B.O.B The Dreamers ft Ailer - Mama Africa

Mnakaribisha Wanachama hai wa Jumaiya ya waTanzania DMV

Tanzania DMV

Mawakala wa Kuuza Wasichana Watiwa Mbaroni Zanzibar

Kahaba
Sakata la biashara ya binadamu ambalo limeibuka kwa kasi nchini limeanza kufanyiwa kazi na serikali baada ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Maji kuwatia mbaroni mawakala watano ambao ni wanawake wakituhumiwa kujihusisha na biashara hiyo. Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Maji, Mboje Kanga, akizungumza na NIPASHE jana kuhusu hatua ambazo zinachukuliwa na jeshi hilo kukabiliana na tatizo hilo, alisema mawakala waliokamatwa ni wakazi wa Zanzibar na kwamba hatua za kisheria zimeanza kuchukuliwa dhidi yao.
Kamanda Kanga ambaye hata hivyo, hakutaja majina ya mawakala hao, alisema walikamatwa kati ya Januari 23 na 24, mwaka huu wakiwa na watoto watano ambao waliwanunua kutoka mikoani.

Alisema watoto ambao ni wanafunzi wa shule za msingi walikamatwa wakitaka kusafirishwa na mawakala hao kwenda Zanzibar, umri wao ni kati ya miaka 14 na 15 na walitoka katika wilaya za mikoa ya Ruvuma, Tabora na Mtwara.
Aliongeza kuwa katika mahojiano na watoto hao walisema walipata ridhaa ya kuchukuliwa na mawakala hao ambao haijafahamika baada ya kusafirishwa kwenda Zanzibar wangepelekwa katika nchi gani.
“Biashara ya binadamu imeshamiri sana nchini, lakini tumejipanga kukabiliana nayo, tutaendelea kuwasaka mawakala wengine zaidi wanaojihusisha na biashara hiyo,” alisema Kamanda Kanga.

Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE, umebaini kuwa biashara hiyo iliibuka kuanzia Desemba mwaka jana na kushika kasi Januari mwaka huu na wanaosafirishwa wengi ni watoto wa kike kutoka ...

50 Cent Azungumzia Shambulizi La Risasi Kwa Rick Ross

50 Cent
Kama ulisikia, Jumapili hii rapper kutoka Miami, Rick Ross alirushiwa risasi na watu wasiojulikana akiwa na gari yake aina ya Rolls Royce na kunusurika kuuawa... Sasa... Rapper 50 Cent azungumzia tukio hili na kuliita kuwa lilipangwa. "Staged"
50 Cent ambae amekuwa kwenye beef na Rick Ross kwa muda mrefu sasa, amesema hili limekuwa kama tukio lilipangwa na la kudanganya. Rapper huyo anasema, kama hakukua hata na matundu ya risasi katika gari hiyo aliyokuwa anaendesha jamaa, then huu wote ni uongo.
50 Cent alitweet, "Hahaha fat boy hit the building? lol it looks staged to me. No hole’s in da car".Miami
Ripoti ya police wa eneo hilo, Fort Lauderdale pia ilisema, risasi nyingi zilirushwa ila hakuna hata moja iliyolipata gari alilokuwa anaendesha Rick Ross.