Pages

Vurugu Tupu Nchini Tanzania!!!

Morogoro, Mtwara na Dar es Salaam,
MAENEO ya mikoa ya Morogoro, Mtwara na Dar es Salaam, jana yaligeuka uwanja wa fujo na vurugu zilizosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali, huku polisi wakitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi.  Vijana wakazi wa Dumila na vitongo vyake wakiangusha gari aina ya Land Cruizer T 241 AMS mali ya mfugaji katika barabara kuu ya Dodoma-Morogoro wakati wa vurugu zilizodumu kwa masaa sita kwa kuweka vizuwizi kwa lengo la kumshinikiza mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bebdera kusikiliza kero za wakulima.Picha na Juma Mtanda
Vurugu hizo zimehusisha wakulima na wafugaji wa jamii ya Kimasai kwa upande mmoja wa Morogoro, Mtwara Mikindani wananchi waliizingira nyumba ya Diwani wa Kata ya Mikindani kwa madai ya kuwahifadhi watu wanaodaiwa kuwa washirikina ndani ya nyumba yake, huku Dar es Salaam eneo la Kariakoo, polisi na Wamachinga wakipambamba na Mgambo wa Jiji.
Mkoani Mororgoro mtu mmoja aliyefahamiwa kwa jina la Mohamed Msigara (60) amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea vurugu kati ya wakulima na wafugaji Kijiji cha Dumila, wila yani Kilosa, baada ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima yaliyo katika Kitongoji cha Mfulu, Kilosa.
Pamoja na mauaji hayo, wasafiri waliokuwa wakitumia Barabara ya Morogoro – Dodoma, nao walionja machungu ya vurugu hizo, baada ya kukwama kwa saa 5 kutokana na wananchi wa kijiji hicho, kufunga barabara kwa mawe, magogo ya miti na kuchoma magurudumu ya gari.
Wananchi hao walichukua hatua hiyo huku wakisisitiza kutaka kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ili kumaliza mvutano huo.

Katika vurugu hizo wanakijiji hao walivunja vioo vya madirisha ya baadhi ya nyumba tano za kulala wageni, kuharibu gari dogo aina ya Landcruser pamoja na kupora mali mbalimbali zi nazodaiwa kumilikiwa na wafanyabiashara wa jamii ya Kimasai.
Kabla ya kufanya uharibifu huo saa 2:30 asubuhi, wananchi hao walifanya maandamano sambamba na kusimama katikati ya barabara, hali iliyosababisha polisi kufika eneo hilo kwa ajili ya kuwadhibiti.
Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU), walifika eneo la tukio 5:20 asubuhi na kufanikiwa kuwatawanya wananchi hao kwa kutumia mabomu ya machozi, hatimaye kufungua barabara hiyo.
Pamoja na barabara hiyo ya Morogoro – Dodoma, wananchi hao pia walifunga barabara ya...

Burger King Drops Burgers from Irish firm Linked with Horse Meat & Dumps Millions of Burgers in Horse Meat Alert

Whoppers, Angus burgers
BURGER King is dumping millions of beef-burgers supplied by the horsemeat scandal firm — days after insisting it was unaffected. Managers have been told to box up Whoppers, Angus burgers and patties in a safe area and mark them with an X to ensure they are not sold to customers.
An internal memo also insists they “clean and sanitize” pans and sinks and throw away dishcloths used in the process
The burger scandal broke on Tuesday last week after horse DNA was found at ABP Foods’ Silvercrest meat processing factory in Ireland.
Asda and Tesco immediately withdrew some burgers. But last Thursday Burger King said: “We confirm Burger King will not be withdrawing product. This is because Burger King only sources 100 per cent UK and Irish beef and ensures the integrity of our production line.”

Three days later a memo from vice president Tracy Gehlan ordered 485 restaurant managers to remove all Silvercrest burgers — but not until replacements from a different...

Football Fights

football fights.. this is serious stuff!!

Deadly Prison Riot in Venezuela Leaves 50 People Dead

Barquisimeto
More than 50 people have been killed in a prison riot in western Venezuela, hospital staff say. The riot was triggered when local media broadcast news that soldiers had been sent to Uribana prison in Barquisimeto to search for weapons, Prisons Minister Iris Varela said.Hospital director Ruy Medina told AFP news agency that some 90 people were injured, mostly from gunshot wounds. The dead are thought to include inmates, guards and prison workers.

The director of Barquisimeto hospital, Ruy Medina, put the death toll at 54, Venezuela's Clarin newspaper reported.Venezuelan Human rights activist Carlos Nieto Palma told BBC Mundo: "What should have been a normal procedure in any prison ended in a clash between National Guard [soldiers] and inmates."
He added that Uribana prison was among the most dangerous in the country.
Opposition leader Henrique Capriles blamed the violence on "incompetent and irresponsible government".Venezuela's prisons are blighted by overcrowding and the proliferation of weapons and drugs. (BBC)

Mkoa wa Singida Wazindua Mradi wa Pikipiki kwa Ajili ya Kudhibiti Uhalifu!


Parseko Vicent Kone

Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Vicent Kone (mwenye suti nyeusi) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa jeshi polisi mkoa wa Singida muda mfupi kabla ya kuzindua mradi wa pikipiki kwa ajili ya wakaguzi wa tarafa mkoani Singida.
Parseko Vicent Kone
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa pikipki kwa ajili ya ukaguzi wa makosa ya uhalifu katika tarafa za mkoa wa Singida. Kushoto ni Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida Linus Sinzumwa na kushoto ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida,Mgana Msindai.
Parseko Vicent Kone
Baadhi ya askari wa jeshi la polisi mkoa wa Singida wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa...

Eneo la Kigamboni, Dar es Salaam Limeondolewa Katika Utawala wa Manispaa ya Temeke

Kigamboni, KDA,
Eneo la Kigamboni, Dar es Salaam limeondolewa katika utawala wa Manispaa ya Temeke na kuundwa muundo mpya wa Wakala wa Kusimamia Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA) itakayoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji. Wakala huyo ametengewa bajeti inayojumuisha fidia ya Sh trilioni 11.5, fedha zitakazotolewa na Serikali na sekta binafsi kwa miaka 20 mpaka mwaka 2032 na kwa mwaka huu, Sh bilioni 60 zimetengwa kuanzisha wakala huyo.
Akizungumza Dar es Salaam jana na waandishi wa habari kuhusu uendelezaji wa mji huo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alisema utajengwa nyumba za kisasa na utakuwa na wakazi zaidi ya 400,000 wakati kwa sasa kuna wakazi 80,000 tu.

Pia wakala huyo atakuwa na wakurugenzi sita ambao watakuwa wakuu wa idara huku ikisimamiwa na Bodi na Baraza la Ushauri ambalo litakuwa na wajumbe wanaowakilisha wadau wote hususan wabunge na madiwani wa eneo litakaloendelezwa na KDA.
KDA itasimamia uendelezaji wa mji mpya Kigamboni kama Mamlaka ya Upangaji Mji katika eneo lenye ukubwa wa...

Kundi la Majambazi Limeteka Mabasi Matano na Kupora Kisha Kuwacharaza Viboko Abiria Mmoja Baada ya Mwingine

KUNDI la majambazi limeteka mabasi matano, mojawapo likiwa la wanajeshi wa Rwanda na kupora abiria na kisha kuwacharaza viboko.
Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Philip Kalangi zimeeleza kuwa tukio hilo lilitokea juzi alfajiri katika Kijiji cha Kikoma kilichoko Kata ya Rusahunga, Wilaya ya Biharamulo.Mashuhuda wameeleza kuwa majambazi hao wakiwa na silaha za kivita, waliweka kizuizi na kuyasimamisha magari hayo moja baada ya jingine kisha, kuwashusha abiria na kuwapora kila kitu.
“Baada ya kuwapora abiria, waliamua kuwacharaza viboko mmoja baada ya mwingine, kisha kutokomea kusikojulikana,” alisema shuhuda mmoja wa eneo hilo ambaye hakutaka jina lake liandikwe na kuongeza:
“Magari yaliyotekwa ni Toyota Hiace, gari moja ni la wanajeshi waliokuwa wakitokea Rwanda kwenda Dar es Salaam.”
Diwani wa Kata ya Rusahunga, Amon Mizengo alisema tukio hilo lilihusisha majambazi wanane waliokuwa na bunduki sita za kivita.
Diwani huyo alisema magari yaliyotekwa yalikuwa yakitokea...

Wamachinga wa Kariakoo Wawatembezea Kichapo Mgambo na Kuwakabidhi kwa Jeshi la Polisi

Askari mgambo wa jiji la Dar es Salaam wamejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya wafanyabiashara ndondogo maarufu kama Machinga kufanya msako wa kuwakamata na kuwapa kipigo, kisha kuwakabidhi kwa jeshi la polisi kutokana na madai ya mmojawapo ya askari wa jiji kujaribu kumpokonya silaha askari polisi aliyekuwa akimtetea mmoja wa Machinga asinyang`anywe bidhaa zake.

TANGAZA BIASHARA YAKO KATIKA MTANDAO HUU KWA BEI NAFUUU

DarSlam 
Mtandao huu unatoa punguzo maalum kwa wateja wake walio na matangazo ya aina yoyote na ukubwa wa saiz yoyote ikiwa ni pamoja kama unakodisha au unauza Shamba,Nyumba,Gari,Duka,Saluni,Ofisi,Kiwanda,Kampuni na Kadhalika.Pia ni fursa kwako kua sponsor wetu kwa matangazo ya muda mrefu.
Kumbuka mtandao wetu ni maarufu unatembelewa na watu wote ulimwenguni kutokana na mfumo wetu wa usambazaji wa habari ktk tovuti zetu nyingine pia mitandao ya kijamii
  • Hii ni nafasi yako.Wahi sasa..!!
Bei ni nafuu sana kwa maelewano usisite kutuandikia kupitia
darslam@rocketmail.com

Red Cafe Ft Chief Keef, French Montana & Fabolous - Gucci Everything (Official Video)