Pages

Silaha 439 Zasalimishwa Kwa Hiari Polisi

Silaha 439 zasalimishwa
Jumla ya silaha 439 na risasi 37, vimesalimishwa kwa hiari katika ofisi za makao makuu ya Jeshi la Pilisi kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, aliyoitoa mwezi mmoja uliopita akiwataka watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha kwa hiari, vinginevyo operesheni maalum itafanywa dhidi yao.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Msemaji wa Jeshi la Polisi, ASP, Advera Senso, baadhi ya silaha zilizosalimishwa na idadi yake katika mabano ni pamoja na shortgun (29), gobore (352), SMG (11), riffle (20), bastola (22), airgun (1), rocket launcher (2) na SAR (2).
Kutokana na tatizo la kuzagaa na matumizi holela ya silaha zinazomilikiwa isivyo halali na kinyume cha sheria nchini, Desemba 4, mwaka jana, Waziri Nchimbi aliagiza kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja mtu yeyote ama kikundi chochote kinachomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha katika vituo vya polisi au ofisi yoyote ya serikali iliyo karibu nao.
Waziri Nchimbi aliagiza pia silaha hizo kusalimishwa kwa wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji, wakuu wa wilaya, mikoa na madhehebu ya dini.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, zoezi hilo limefanyika kote nchini kuanzia ...

Mbunge wa Kenya Atinga Bungeni na Kiduku -Mohawk

Mike Sonko Mike Sonko, Mbunge wa Makadara nchini Kenya, na rafiki wa karibu wa Jaguar, mwenye vioja kila kukicha ndani ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa ametupia hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa burand new hair style ya kijiduku kidogokidogo (mohawk), na kukiandika "PEACE" katikati
KidukuKiduku

Mkasi With Sajuki

Serikali ya Kongo na Waasi wa M23 Warejea Katika Mazungumzo Mjini Kampala

Kongo
Serikali ya Kongo na waasi wa kundi la M23 wameendelea tena na mazungumzo ya kutaka kutatua mgogoro unaendelea Mashariki mwa Kongo.
Mazungumzo hayo yanayoendeshwa na waziri wa Ulinzi wa Uganda Dkt. Crispus Kiyonga yameanza hapo jana mjini Kampala nchini Uganda.
Nia kuu ya mazungumzo hayo ni kutafuta suluhisho kwa njia ya amani la mgogoro unaofukuta katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kusini.
Awamu ya kwanza ya mazungumzo baina ya serikali ya Kongo na waasi wa M23 ilianza Disemba 7 2012 lakini yakasitishwa mnamo Disemba 18 kwa ajili ya sikukuu ya Christimas.

Chadema: Umri wa Urais uwe Miaka 18

CHADEMA
Haya ni maoni ya CHADEMA yaliyo tolewa mbele ya tume ya mabadiliko ya katiba,kuwa umri wa kugombea kiti cha Urais uwe miaka 18

Roma - 2030 Official Audio

Roma - 2030

They keep talkin' A Thug 79 ft O'ttuck William

Beatbox Battle World Champs 2012 - Final - Skiller VS Alem

Scam Series #5

Scam Series
Dear Partner
  I presumed that all is well with you and your family. Please let this do not be a surprise proposal to you because I got your contact information from the international directory in few weeks ago before I decided to contact you on this magnitude and lucrative transaction for our future survival in life. Moreover, I have laid all the solemn trust in you before I decided to disclose this successful & confidential transaction to you.

I, MR.DAVID AYOKO, THE CHIEF AUDITOR INCHARGE OF FOREIGN REMITTANCE UNIT of our bank and I have had the intent to contact you over this financial transaction worth the sum of FIVE MILLION UNITED STATES DOLLARS ($ 5,000.000, 00) for our success. This is an abandoned sum that belongs to one of our bank foreign customers who died along with his entire family through plane crash disaster since few years ago. Meanwhile I was very fortune to come across the deceased file when I was arranging the old and abandoned customer’s files in other to sign and submit to the entire bank management for an official re-documentation and audit of the year against 2012.

Be informed clearly that it was stated in our banking rules and regulations which were signed lawfully that if such fund remains unclaimed till the period of 6 years started from the date when the beneficiary died, the money will be transferred into the treasury as an unclaimed fund. As an honour and advantage bestowed to our foreign customers base on the rules guiding our bank, it was stated obviously that ...

Team Leader to Lead the Implementation of an Upcoming Education Quality Improvement Programme in Tanzania

The British Council is seeking an experienced Team Leader to lead the implementation of an upcoming Education Quality Improvement Programme in Tanzania.
EQUIP-T has an overall budget of around £50m - at least £30m will be delivered through this contract to the Government of Tanzania to improve the quality of education in primary schools and to increase the number of children, particularly girls, able to transfer to secondary education. The expected outcome of this programme is better quality education, especially for girls, and an approach ready for national scale up by the Tanzanian government.
Indicative minimum results include:
• Improved teaching of early-grade reading and numeracy in 2000 schools, resulting in an additional 230,000 eight and nine year old children able to read with comprehension.
• More time on task for 1 million primary school children, resulting in an extra 55,000 children passing their end of primary school examinations.
• 27,500 more girls able to make the transition to secondary schools.
The programme will take place over four years. The team leader will be expected to work closely with the Prime Minister’s Office – Regional and Local Government (PMO-RALG) who have responsibility for implementing primary and secondary education and who are based in Dodoma.
We will expect this post to be based in ...