Pages

The Tanzania Effect!!!

 Tony Ventrella goes looking for answers behind the success of the Seattle sports teams at CenturyLink Field this season and as he comes to find out there is a connection to the new Tanzania murals in the North end of the stadium.
 Ever since the Tanzania ads have been plastering the walls of the CLink this year there has only been one [football] loss by a Seattle Sports team (UW, yesterday). There is a large contingent on twitter led by Alex Akita of Seattle Sports Net (@alexSSN) that believe in the magical powers of the Kilimanjaro, and the Serengeti to propel Seattle teams to victory in epic fashion. –warox13, via Reddit.
For statistical clarity, the Sounders have won four times since Tanzania’s arrival (with wins over Los Angeles, Vancouver, Chivas USA, and Portland), the Huskies thrice (San Diego State, Portland State, and Stanford), and the Seahawks five times (preseason wins over Tennessee and Oakland, regular season victories over Dallas, Green Bay, and New England).

Zanzibar Reloaded

Safari kubwa ya mwishoni mwa mwaka ambayo inawakutanisha vijana kutoka sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania kwa ajili ya kwenda kusheherekea kwa pamoja sherehe za mwaka mpya inatarajiwa kufanyika tena mwaka huu kwa jumla ya siku nne mfululizo visiwani Zanzibar kuanzia Desemba 31, 2012 mpaka Januari 3, 2013 ikiwa na lengo la kuwaleta vijana pamoja na kutangaza utalii wa ndani hapa nchini kwa.
Safari hiyo ambayo imekuwa na mafanikio tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010/2011 na vijana watatu wa Kitanzania waliokuwa wanachama wa..

Kipanya wa Leo


Kipanya


Ujumbe Kutoka Kwa Fid Q

Fid Q
Habari njema kwa WAJASIRIA HIPHOP wote wa DSM: Mpaka sasa nishapata mc'z watatu kati ya ngoma ishirini na mbili nilizotumiwa.. yupo RASCO, DEMETRIUS PONERA na Q- RAMO.. ninahitaji 'watatu' wengine ili nifikishe sita.. na pia nimesikia kuna wasanii wengi wako fiti lakini hawajui kutumia intaneti huko mitaani kwenu.. please nawaomba muwasaidie ili ngoma zao zinifikie humu.. ----> cheusidawatv@gmail.com #PEACE .
hayo ndio maneno ya mtumzima Fid Q kupitia page yake ya FB.

Big up Kwa Akina Mama Wote Duniani - Afande Sele

Afande Sele The'King:
"Leo nilijikuta nikiwekwa chini ya ulinzi wa nyumbani na huyu Princess mdogo ASANTESANAA, baada ya mama yake (ASHA) & dada yake princess TUNDAJEMA (TJ) kutoka kwenda dukani kufanya manunuzi ya mwisho ya mahitaji ya shule ya TJ, kwa kuwa anaripoti shuleni pale Kunduchi Girls Islamic high school, hivyo ilibidi nibebe majukumu haya makubwa na mageni "mashikolo maggeni".... kwa wakati fulani, big up kwa akina mama wote duniani kwa kutuzaa na kutulea, na zaidi katika umri mdogo kama huu.. hard work pays .. life goes on".

Madereva wa Maroli ya Mizig Kupimwa UKIMWI

DarSlam
MADEREVA wa maroli ya mizigo na kwenda mikoani na nchi jirani sasa watakuwa hawana shida ya kupata maarifa, elimu na hudumu mbali mbali za Virusi vya UKIMWI—ikiwa ni pamoja na kupima kwa hiari ili kujua hali zao—kutokana na ufunguzi wa kituo cha maarifa ya udhibiti wa ugonjwa huo katika eneo la Mdaula, nje kidogo ya mji wa Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Uzinduzi huo uliongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Bw. Ahmed Kipozi pamoja na viongozi mbalimbali wa wilaya na vijiji vya Mdaula, Matuli na Mbena.
Huduma zitakazotolewa na kituo hicho ambacho..

Angalia Video ya Ray C Akitoa Shukrani Zake za Dhati


Siku mwanamuziki wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila, maarufu kama RAY C, alipomtembela Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Desemba 10, 2012 Ikulu jijini Dare s Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu aliyompatia wakati alipokuwa mgonjwa hivi karibuni. Rehema aliyefuatana na Mama yake Mzazi Margareth Mtweve na Dada yake Sarah Mtweve alimweleza Rais kuwa afya yake sasa imeimarika na kwamba muda si mrefu ujao atarejea jukwaani kukonga nyoyo za mashabiki wake. Kwa upande wake, Mama Mzazi wa Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa kuokoa maisha ya mwanaye na vilevile ametoa wito kwa watu wanaokusanya michango kwa ajili ya mwanaye waache kufanya hivyo kwani matibabu ya Ray C yamegharamiwa na Rais.

The Man With No Face is Celebrating After his Wife Gave Birth to a Healthy Baby Girl

DarSlam
A FATHER with no face who feared his unborn child would inherit his shocking condition is celebrating after his wife gave birth to a healthy baby girl.
Mohammad Latif Khatana, 32, and his wife Salima, 25, from Jammu and Kashmir in India, have been enjoying every moment with their newborn daughter.
Ulfat, meaning love in Urdu, was born naturally at home, in Reasi district, on November 10, weighing a healthy 5lbs 5oz.
As soon as Latif held his new daughter he quickly checked her over for any visible marks. But the new parents were overjoyed to find their little girl was healthy and unmarked.
Latif said: “I was extremely worried about..

Angalia Video ya Yule Bibi Aliyepambana na Majambazi na Kuwaua


December 6 2012 Bibi huyu aitwae Mwajuma Said Marwa Masaigana alivamiwa nyumbani kwake usiku wa kati ya saa 5 na saa 6 Bagamoyo Pwani Tanzania, majambazi walikua nane wakiwa na silaha kama bunduki na mapanga, na yeye alikua na bastola ambayo ilimsaidia kupambana nao kwa risasi kwa dakika kama 20 mpaka alipofanikiwa kumuua mmoja wao kwa risasi kupitia mlango ambao walikua wamekaribia kuuvunja.

Dunga,P Funk,Karabani,Lamar na John Mahundi -Hands Up

DarSlam