Pages

Lord Eyez Studio Teaser

Kamera za Siri Zaibua Mazito ya Wafanyakazi wa Ndani Wanavyo Wafanyia Watoto!!

Kwa kawaida ni azma ya mzazi kumuona mwanawe akikuwa kuanzia siku yake ya kwanza atakapozaliwa,lakini kuna wakati hufika mzazi analazimika kumuacha mwanawe nyumbani ili aweze kuendelea na kazi zake za kawaida za kutafuta lishe. Na hivyo basi mtoto anasalia na mlezi mwengine wengi humtambua kama yaya au kama mnavyomuita mfanyikazi.wa nyumbani.....yaya huyu anakuwa macho yako na mzazi wa pili wa mtoto na hivyo basi mzazi huwa na imani kwamba kila kitu kiko shwari. Lakini waswahili wanasema sio chote king'acho ni dhahabu,je unafahamu ni mangapi yanayotendwa nyakati ambazo hakuna mwenye nyumba?.

How to See Who Is Looking At Your Facebook

facebook

The rumors out there for the answer on this are many and the opinions on whether or not it can be done are even greater. There are a bunch of Facebook Applications that promise to tell you who ‘Your Top 5 Visitors’ or let you ‘See Who Is Looking At Your Pictures’. The sad thing is, most of the time these applications are just getting your hopes up.

In exchange for your data and access to a lot of your Facebook account, these ‘Applications’ end up delivering nothing, or worse, an infection of some kind. Since it’s a little scary that people are out there trying out the sketchy applications and compromising their Facebook and computers along the way, we set out to solve the problem for once and for all.

After some digging around in the Facebook FAQ, I found a definitive answer that can finally debunk the myth that you can see who looked at your page or that others can see if you looked at theirs. From the mouth of a Facebook engineer:

Facebook does not allow users to track profile views or see statistics on how often a particular piece of content has been viewed and by whom. Third party developers, however, may offer applications that provide some of this functionality. Please keep a few things in mind when using these, however:

Applications cannot track profile views for users who simply visit another person’s profile. Facebook has made this technically impossible.Facebook filters (does not allow) HTML or JAVASCRIPT: This means that you simply cannot paste any 'tracker code' onto your page like you can with Myspace. Well.. you could, but Facebook would filter it out rendering it useless
In order to be tracked by an application, you must explicitly agree to allow the application to access your information.Facebook Tracking apps don't work!: Well, actually, some of the Facebook tracking apps DO work as advertised - but what they dont mention up front is..

Close Your Facebook Account..!!!

Watch this video and you will say goodbye to your facebook friends

Bakhresa Ameshika Namba 30 Kati ya Matajiri 40 wa Afrika -Forbes

DarSlam
Jarida la Forbes ambalo mara nyingi limekua likitoa ripoti za matajiri wa dunia na utajiri wao limesema tajiri wa Tanzania Said Salim Bakhresa ambae ameshika namba 30 kati ya matajiri 40 wa Afrika aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuanza kuuza potato mix baada ya hapo akafungua restaurant ndogo lakini leo ameajiri zaidi ya watu elfu mbili kwenye kampuni yake.
Kampuni hii ndio kampuni inayoongoza kwa kutengeneza unga wa ngano Afrika Mashariki na kati ambapo kwa siku inatoa tani 3,200.

10 Facts You Didn't Know About Facebook

Watch this Battery Trick They Don't Want You to Know!

Askari Polisi Wazuia Raia Wasipate Elimu ya Ukimwi

DarSlam 
  Katika hali ya isiyo ya kawaida askari polisi zaidi ya watatu waliokuwa katika doria katika maeneo ya kata ya Makorongoni mjini Iringa jana usiku walizuia tamasha la elimu ya UKIMWI lililokuwa likiendelea nje ya vibanda vya UV CCM mjini Iringa
Askari hao ambao walikuwa na silaha walifika eneo hilo na kuwataka waandaaji wa tamasha hilo ambalo tayari lilikuwa limeanza kusitisha tamasha hilo na kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa..

Afande Sele ft Koba - Amani na Upendo

DarSlam

Making of Underwater Nightclub NYC

The Underwater Nightclub was created by Thinkmodo for TechnoMarine. The video was filmed inside a pool at Survival Systems in Groton, CT. The bar and the set were custom built by Mystic Scenic Studios and the set was put together underwater by divers. The custom diving helmets were provided by Sea Trek and the video was shot on a RED Epic by Air Sea Land Productions. The entire production took 3 days.