Crane ikivunjika kutokana na upepo mkali kwenye jengo lililokua linajengwa Mtaa wa West 57th Manhattan, New York. Mpaka sasa hizi ni watu 16, wameipoteza maisha wengi wao kuangukiwa na miti kutokana na Hurricane Sandy na watu milioni 7 hawana umeme
Jiji la Manhattan likiwa limegubikwa na wingu zito la Hurricane Sandy na huku likiwa kwenye kiza kinene
Holland Tunnel New York City, New York ikiwa imefungwa, Holland Tunnel ni daraja linalopita chini ya maji ya mto Hudson unaotenganisha New York na New Jersey
Maji ya bahari yakifurika mitaani katika mji wa Atlantic City, New Jersey
Mitaa ya Atlantic City ikiwa..


