Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Apata Mtoto
Leo hiiMh Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya kupitia ukurasa wake wa facebook, akionyesha furaha aliyonayo amejulisha uma kuwa amepata mtoto wakike aliempa jina la Sasha Desderia J. Mbilinyi.
"Amazing grace!..I thank GOD for giving me a baby girl born today on 26th Sept,her name is SASHA-DESDERIA J. MBILINYI..she is my new darling and my everything now...May God also bless me and her monther Faiza so we can live longer enough to see her grow..."
EPIQ Bongo Star Serch
Hii ndiyo nyumba ambayo jana ilifunguliwa rasmi kwa wageni waalikwa walikuja kushudia jinsi washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanavyoishi na kupata malezi bora kabisa katika nyumba hiyo.
Madam Ritha ambaye ni judge wa Epiq bongo star search akikaribisha ndani wageni waje kushuhudia jinsi washiriki hawa wanavyoishi katika nyumba hiyo bila kupatwa na
Watanzania wanaoishi Ujerumani kufanya Mkutano mkuu
Jumamosi 29.09.2012 mjini Frankfurt,Ujerumani
UNION OF TANZANIANS IN GERMANY
MKTANO MKUU 20.SEP. 2012
Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) Unapenda kuwakaribisha wanachama wote wa UTU, Katika Mkutano mkuu wa UTU. Utakaofanyika Katika ukumbi Uliopo Ringstr. 109, 65479 Raunheim). Siku ya Tarehe 29.09.2012, Kuanzia saa 08:00 Mchana. Tunawaomba wanachama wote wa UTU mhudhurie katika mkutano huu muhimu. Na kwa wale ambao sio wanachaama na wanahitaji kujiunga na UTU, tuandikie barua pepe kamati.utu@googlemail.com au unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti kupitia simu ya mkononi. 0173-4298997Karibuni sana

Subscribe to:
Posts (Atom)