Pages

TUTAENDELEA KUSAFIRISHA MCHANGA WA DHAHABU NNJE YA NCHI

Profesa Sospeter Muhongo WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Serikali itaendelea kusafirisha mchanga ya madini nje ya nchi ili ukafanyiwe uchunguzi kutokana na ukosefu wa maabara zenye uwezo wa kubaini aina mbalimbali za madini nchini.
 
Alisema kusafirishwa kwa mchanga huo, si wizi bali hali hiyo inachangiwa na ukosefu wa vifaa vya kisasa vyenye uwezo wa kuchambua aina tofauti za madini.
Prof. Muhongo aliyasema hayo juzi wakati akihitimisha ziara yake katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara waakati akijibu swali la mkazi wa Kijiji cha Mwibara, Bw. Qudra Maalim.
Bw. Maalim alitaka kujua sababu ya mchanga ya dhahabu kutoka migodi mbalimbali kusafirishwa kwa ndege kwenda nchi za nje ambapo Prof. Muhongo alisisitiza kuwa, si Tanzania pekee inayofanywa bali nchi nyingi zinasafirisha mchanga huo.
“Serikali itaendelea kusafirisha mchanga huu wakati ikiendelea kutafuta njia mbadala, katika migodi mingi ya dhahabu yapo madini mengine kama shaba, fedha na kopa.
“Madini haya unaweza kuyakuta katika michanga ya dhahabu na suluhisho pekee la kutopeleka michanga nje ni kujengwa maabara za kisasa zenye uwezo wa kufanya uchambuzi,” alisema.
Aliongeza kuwa, maabara zilizopo zina uwezo wa kubainisha dhahabu katika miamba ya madini kwa asilimilia 40 hivyo ili kufiki asilimia 100 ya uchambuzi huo, asilimia 60 ya michanga itokanayo na miamba hupelekwa nje kuchambuliwa kwenye maabara za kisasa.
Alizitaja baadhi ya nchi zenye maabara za kisasa kuwa ni Ujerumani na Marekani ambapo pamoja na kufanya kazi ya madini nchini, hajawahi kutumia maabara kuchunguza miamba ya madini kwa sababu uwezo wake ni mdogo.
“Niseme ukweli kwamba, mimi nilisoma katika nchi zenye maabara ya hali za juu kama Ujerumani, pamoja na kufanya shughuli za nishati na madini, sijawahi kutumia vipimo vya mahabara zilizopo nchini kwetu, huu ndio ukweli,” alisema Prof. Muhongo.

34 Mine Workers Killed in Shootings - Mourners Gather on The "Hill of Horror"


Mourners at a memorial service at the Lonmin Platinum Mine near Rustenburg, South Africa, Aug. 23, crowd onto the "Hill of Horror," near the site where 34 protesting mine workers were killed last week when police opened fire.

Mourners at the memorial service at the Maikana platinum mine.

Yanga Uso kwa Uso na Rais Paul Kagame Ikulu, Kigali



Rais Paul Kagame wa Rwanda akisalimiana na kocha wa Yanga alipowakaribisha mabingwa hao wa Kombe la Kagame 2012 Ikulu jijini Kigali

Mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji akitoa neno la shukurani kwa heshima hiyo ya kukaribishwa Ikulu na Rais Kagame

Wachezaji wa Yanga wakisikiliza hotuba ya Rais Paul Kagame

Rais Paul Kagame akipokea kombe la ubingwa la Kagame toka kwa nahodha Haroub Nadir Canavaro na kocha wa timu hiyo

Rais Kagame akikabidhiwa zawadi ya jezi ya Yanga

Rais Paul Kagame akiongea na..

You Are Cordially Invited!

A celebration of fifty years of nationhood at
The Royal Commonwealth Club
on Tuesday 25th September, 2012 at 6.00pm
-Guest speaker at 6.30pm
His Excellency Dr Diodorus Kamala
Former Minister for East African Cooperation
-Followed by a reception with
An exhibition of recent work by
contemporary Tanzanian artists
This will be the Britain-Tanzania Society’s main celebration of this great anniversary. Tickets are available to the Society’s members, on a ‘first come, first served’ basis, for £15.00 each and for their non-member guests at £17.50 each. Please apply by Monday 3rd September
Janneh mourns loss of Prime Minister Meles, praises his committment to poverty eradication
ECA Press Release 134/2012
Addis Ababa, 23 August, 2012 (ECA) - Mr. Abdoulie Janneh, Under Secretary-General and..

WASHINGTON DC YASHUTUMIWA KWA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA CHADEMA DMV


VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON DC AKIWEMO MWENYEKITI WA JUMUIYA,KATIBU,MWEKA HAZINA WANASHUTUMIWA NA WANAJUMUIYA WA WASHINGTON KWA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA CHAMA CHA CHADEMA KWA AJILI YA KUFANYIA PICNIC NA PARTY YA USIKU VITAKAVYO FANYIKA JUMAMOSI HII YA TAREHE 25.HABARI ZA KUHAMINIKA ZINASEMA KUWA JUMUIYA ILIKUWA NA PESA TASLIM ZISIZOZIDI DOLLAR 2000,AMBAZO ZINATOSHA KUFANYIA PARTY YA MCHANA YA PICNIC PEKEYAKE LAKINI KWA KUSHANGAZA WAKATI WANAJUMUIYA WAKIWA WANAHOJI KWANINI PARTY YA USIKU IFANYIKE WAKATI JUMUIYA IKIWA HAINA FEDHA ZA KUTOSHA....

.JUMUIYA HIYO IMEWEZA KUJA NA FUNGU KUBWA LA PESA AMBAZO WATAZITUMIA KUFANYA PARTY ZOTE MBILI KUBWA NA ZAKIFAHARI IKIWA NIPAMOJA NA KUWA NA CHAKULA BURE MCHANA NA USIKU,VINYWAJI BURE MCHANA NA USIKU POMBE BURE MPAKA SAA..

Kony Hunt for The World's Most Wanted

Somewhere in the vast, dense jungles of central Africa, is hidden Joseph Kony, one of the world's most wanted men. For the past 25 years, Kony and his Lord's Resistance Army have waged one of the continent's darkest conflicts,using an army of abducted and brutalised children to kill and maim tens of thousands of people. But how has one man, said to take his orders from the spirit world, managed to escape capture for so long? In the wake of the infamous 'Kony 2012' internet campaign to bring him to justice this year, Bafta-winning reporter, Sorious Samura, investigates the myths surrounding Kony and travels to the front line of the fight to bring one of Africa's most bizarre and brutal leaders to justice.

Wheelchair User Trying to Raise £3m by Pushing Himself Across Africa!!

Zackary Kimotho from Kenya has been a wheelchair user since he was shot in a car-jacking eight years ago.
While he is one of thousands of Kenyans with spinal injuries, there is currently no specialist care available in the country.
Now Zack is trying to raise nearly £3m to build a Spinal Injury Rehabilitation Unit in Nairobi - the first in East Africa.
To do this he has begun an attempt to push himself across Africa, from the Kenyan capital Nairobi to South Africa, where the nearest Spinal Unit is.
Matthew Pinsent met him as he approached the Kenya-Tanzania border - at which point he had covered over 100 miles but still had more than 2,000 remaining.
According to the latest reports, Zack's journey has paused near the Tanzanian border while he awaits the renewal of a fundraising license.
 BRING ZACK BACK HOME!

How to Add Donation Button to Your Site/Blog

Your readers can now reward you as much as they like,
they can pay via paypal.its easy.
DarSlam
Sign in to your paypal account.
1. Login to your paypal account  using your E-mail and password.
2. Go to top menu and select "Merchant Services"
3. Scroll down and find the "Donation"link Click on donation,after fill in the
informaton like Organization name/service, Donation I.
4. Now click "Customize Appearance".and filling the information and click "Create Button".
5.Now you can see HTML code,copy it.

Add HTML Code To Your Blogger
1. Sign In to your blogger and click "Design" on your dashboard and click "Page Element".
2. Click "Add Gadget " and select "HTML/JavaScript".
3. Now paste code,what You copy from paypal and save it.
4. After you can see paypal donation button from your blog.

Add HTML Code To Wordpress blog
1. Login to your Wordpress blog and go to its Dashboard,Click presentation>>Wideget
2. Click content area and in "Text 1" widget
3. Paste your code to HTML area and save it and open your blog and see donate button.

Coke and Egg Experiment