Pages

Creations with Watermelons

 Kwa wale waandaaji wa sherehe mbalimbali hii ni zawadi kwenu!
 DarSlam
DarSlam
DarSlam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWLyTbWxrXqbjBsKvdKnmlOVkvSPVZJJufYT_JPYM8HhQv2MqvwCmjSwXPeJULCmV7BjGeqGAFqQOtIOXye440tYUbGLxXX4honteUJ-2yAJh31Xe6UEPAOZrS5cGKefPzk6vC5Yr-uxf8/s640/_DSC9803.JPG
DarSlam

DarSlam
DarSlam
click read more for more pics..

ROMA MKATOLIKI APATA AJALI MBAYA AKIELEA KWENYE SHOW

Muda mchache uliopita msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro.
DarSlam
 Kwa mujibu wa Hugo, Roma alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndio tairi la mbele lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia yake na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa akiendesha Roma kurudi lilipotokea.Kwa sasa anaelekea Hospital kwa check up zaidi ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima.
DarSlam
Roma akimwelezea police wa..

Do Not Try This at Home!!

DarSlam

Today's Quiz!!

http://a1.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash4/417546_10151993844745525_1418036641_n.jpg

Mwaliko kwa Wana Diaspora

DarSlam 
  UBALOZI WA TANZANIA, LONDON, KWA NIABA YA BENKI YA KCB TANZANIA LIMITED INAWAALIKA WATANZANIA WOTE WAISHIO UINGEREZA, KUJUMUIKA NA WENZAO WA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA HAFLA FUPI YA UFUNGUZI RASMI WA SHUGHULI ZA BENKI YA KCB NCHINI UINGEREZA, KWA WAISHIO UGHAIBUNI (DIASPORA).
   HAFLA HIYO FUPI YA UFUNGUZI AMBAYO ITAWAJUMUISHA WAAFRIKA MASHARIKI, INA LENGO LA KUPANUA WIGO WA SHUGHULI ZA BENKI YA KCB HAPA UINGEREZA, KUTANGAZA SHUGHULI ZA UTENDAJI WAKE KATIKA KUWASAIDIA WANANCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI KATIKA KUWEKEZA KIBENKI, KUFUNGUA AKAUNTI ZA AINA TOFAUTI, KUJIWEKEA AKIBA, KUWEKEZA NYUMBANI (TANZANIA), NJIA MBALIMBALI ZA KUTUMA NA KUPOTEKEA PESA KWA NJIA YA MTANDAO (INTERNET), KUTUMA PESA KWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI (MOBILE PHONES), IPADS NA NYINGINEZO.
    HALFA HIYO , ITAFANYIKA SIKU YAJUMAMOSI 4 AUGUST 2012, KUANZIA SAA 16:00pm, 
KWENYE HOTEL YA HOLIDAY INN, 
BLOOMSBURY, CORAM STREET, LONDON.

Most Amazing Daredevils

DarSlam
This skier really meant it when he said he was going off-piste as he leapt off amountain cliff face and landed safely 600 feet below. Daredevil Tomas Bergemalm, 35, decided to try the extreme drop as one of his last challengesbefore spending more time with his wife and family. And luckily for his beloved Fia and their young son Noah, he managed to pull it off and made it home without a scratch. The breathtaking stunt was a culmination of Mr Bergemalm and photographer Patrik Lindqvist's vision to push the sport of skiing to its limits.

DarSlam
Standing on top of Brazil's iconic Christ the Redeemer statue in January 1999, stuntman ‘Fearless Felix' Baumgartner braced himself for what was to be the world's lowest BASE jump at 29 metres (95 feet). When he stepped off the edge, split seconds would extend as Rio de Janeiro opened up before his eyes. Those who make jumps that fall into the highest category may win more plaudits as well as freefall time, but it's the lower jumps that are more dangerous because there is so little time for the parachute to open.

DarSlam
Eskil Ronningsbakken performs a handstand over a dramatic drop bizarrely as part of a Norwegian TV campaign about risk-taking.

DarSlam 
Snake man.

DarSlam 
Ivan Unger and Gladys Roy playing tennis on the..

Medal Count

DarSlam Olympic 
click read more..

Try to Define These Photos

DarSlamDarSlamDarSlam

Snoop Dogg Switches From Dogg to Lion -King of the Jungle

Whether or not you're a fan of his music, the name "Snoop Dogg" is a fun stage name that rolls off your tongue. But now Snoop has changed his name, and gone from the dog to the cat family.  
"Artist Formerly Known as Dog" the nickname reportedly came from his mom because he reminded her of snoopy with his long Snoopy-shaped face.
DarSlam
Snoop Dogg, who now goes by Snoop Lion, posing for a portrait at Miss Lily's in New York. Snoop Dogg says he was “born again” during a visit to Jamaica in February, changed his name to Snoop Lion and is ready to make music that his “kids and grandparents can listen to.”
DarSlam"I didn't know that until I went to the temple, where the High Priest asked me what my name was, and I said, 'Snoop Dogg.' And he looked me in my eyes and said, 'No more. You are the light; you are the lion.' From that moment on, it's like I had started to understand why I was there." Um, for really? 
The artist known for gangster rap is releasing a reggae album called “Reincarnated”.....does it mean Snoop has decided to ditch rap for reggae??  
He said that in Jamaica, he connected with Bob Marley's spirit and he is now..

Mtoto Aokotwa PPF Tower!!


Mtoto ameokotwa eneo la PPF Tower, Jijini Dar Es Salaam saa sita mchana wa leo. Amekutwa amelala chini eneo hilo.
Ameletwa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Askari wa Central Police. Mtoto huyu anakadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja na nusu hivi, kwa hiyo hawezi kuongea.
Yeyote anayemfahamu mtoto huyu au wazazi wa mtoto huyu ajitokeze na kutoa taarifa sahihi kwetu kupitia namba yangu 0755 64 86 36 au 0715 64 86 36. Mtoto tunaye Hospitalini, anaendelea kuhudumiwa. Tafadhali sambaza barua pepe hii.
Imetolewa na;
Aminiel Buberwa Aligaesha
Afisa Uhusiano Mwandamizi
Hospitali ya Taifa Muhimbili