Pages

Watu 11 Wamefariki Dunia Papo Hapo Hapo na Wengine 12 Wakijeruhiwa Vibaya Geita,Bunda Bus


MKUU wa mkoa wa Geita Magalula Said Magalula akiangalia miili ya marehemu waliokufa katika ajali ya Gari leo mchana Wilayani Geita,miili hiyo ilikuwa imelazwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya hiyo.Picha na David Azaria
 WATU 11 wamefariki Dunia Papo hapo hapo na wengine 12 wakijeruhiwa vibaya baada ya magari matatu mawili kati yao yakiwa ni ya abiria waliyokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka wilayani Geita Mkoani Geita.
Tukio hilo limetokea..

We Are 99.9% Sure It's Him!

American officials said they were ‘99.9 per cent confident’ that DNA evidence proved Osama Bin Laden is dead. Scientists compared forensic samples from the body in the Pakistan hideout with those taken from the brain of the terror mastermind’s late sister.
OSAMA_DEAD.jpg
Photos of the corpse have also been passed to experts in facial recognition, who are comparing them to previous indisputable images of the Al Qaeda leader. America has carried out such tests before on tissue samples from unrecognizable victims of drone bombing attacks on remote Afghan and Pakistani terror nests, who it was thought might have been Bin Laden. The apparent speed of the Bin Laden tests raised yet more questions about the U.S. operation. Merely transporting samples to laboratories where DNA profiling can be carried out usually takes..

Confession!!! The Most Honest Three And a half Minutes of Television, Ever!!

The Newsroom explaining why America's Not the Greatest Country Any Longer!

Anything About The Geek Zodiac?

African Gala

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnh1SNGlSlfDJ3DYC5Wh4w0wwE3Zw_jxMvge4a2vxNqCAUzV9UOcA-pfpUlij8k8LdQtSuXi9J4bMkEXUjiq3ez-Mu7qMUpE84to6n8pn9yrMWUlL7N1r9_G1LVo48e38NSMQn8jKEzTz0/s1600/photo+(57).JPG

Baada ya Wema Kuanika Nymba Yake,Mjambazi Yakamvalia Njuga.

SIKU chache baada ya kuanika utajiri wake, staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu (pichani),
http://api.ning.com/files/hxEThKxbygT1OASEWRXtvXOg709jt6GKo2CRQdVIp7LVUTf1Ef7iw**eKD4t4AzQJ62*B8P-LQrzgT9UpUPuDOEf666uj6CJ/wema.jpg?width=650  Amevamiwa na majambazi na kukombewa vitu kadhaa huku gari lake aina ya Toyota Lexus lenye namba za ujsali T 211 BXR likinusurika kuibwa, Ijumaa lina kila sababu ya kukujuza. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Julai 9, mwaka huu, nyumbani kwake Kijitonyama, jijini Dar es Salaam ambapo majambazi hayo yaliingia ndani kwake kwa kuruka ukuta licha ya kwamba kuna walinzi wawili.
KIKWAZO CHA NGUVU
Hata hivyo, baada ya kuzamia ndani ya geti, majambazi hayo..

Facebook Will Be Shutting Down JULY 15th is FAKE!!

http://Facebook-Shutdown.png 
Facebook Ending This Year. The same news or rather a rumor spread last year too proclaiming Zuckerberg is shutting down Facebook on march 15, 2011. However, the news that shook the hearts of many Facebook users turned out to be a rumor.
Vice President of Technical Affairs at Facebook Miss Avrat Humarthi has been reported to have said that Facebook is going to shut down this July 15th and she have also recommended the users to create a back up of their photos and videos that are only uploaded at Facebook as after the date mentioned, no one will be able to access his account, and all the personal data will be permanently erased.
The news has gone too far that some sites have been talking about the rumor on serious note. In addition to the above mentioned press release,the news has hit the Facebook Addicted users that are really huge in number with shock. The users are upset thinking that their social networking will also come to an end with Facebook. Users with moderate addiction are talking about the replacement of Facebook, which will take over the market after it.
However, no official news has been appeared on screen by now and the world is still confused about their Facebook Profile future. Looking forward to some authentic press release with Zuckerberg’s statement, Facebook users have kept their fingers crossed. At this point, it is hard to decide whether it is a rumor or a shock for the people all around the globe

What About this For Lunch Love? Shout to Wanyalukolo Tribe in Tanzania

zi.jpg

The Blue Diamond of Kigamboni - New Dar City Center

  
NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amemwadhibu Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndungulile kutohudhuria vikao vitatu mfululizo baada ya kushindwa kuthibitisha tuhuma kwamba madiwani wa Halmashauri ya Manispaa Temeke walihongwa ili kuukubali Mradi wa Mji Mpya wa Kigamboni. 
Ndugai alitumia kifungu cha 73 (3) ambacho..

Aliyemteka Dk Ulimboka Akamatwa na Kutinga Kortini.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Suleiman Kova

ADAIWA KUWA NI RAIA WA KENYA, ALIKODIWA.
Na waandishi Wetu,
RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka.Mtuhumiwa huyo alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana alasiri na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali, Ladslaus Komanya.
Wakili Komanya alidai mahakamani hapo kuwa Mulundi ambaye makazi yake ni Murang'a nchini Kenya kuwa, mnamo Juni 26, mwaka huu akiwa eneo la Leaders Club, jijini Dar es Salaam alimteka Dk Ulimboka.
Hata hivyo, kumetokea utata wa jina, umri wake na makazi ya mtuhumiwa huyo, kwani wakati hati ya mashtaka mahakamani inasema ni Joshua Mulundi mwenye umri wa miaka 21 na mkazi wa Murang’a nchini Kenya, taarifa ya Jeshi la Polisi imesema anaitwa..