Pages

Scene ya Mchina Ndani ya Bongo Movies

Mojawapo yatakayovutia katika filamu mpya ya Dkt Cheni iitwayo 'Nimekubali Kuolewa' ni muigizaji mpya Mchina ambaye ameonesha kwamba tasnia hii haina mipaka. Huyu Mchina na yule Shabiki wa Yanga mliji ni baadhi tu ya nyota katika filamu hiyo ambayo Dokta Cheni anaibuka nayo baada ya mwaka mmoja wa ukimya.

No comments: