Ndugu Viongozi Wenzangu, Kama ambavyo wengi wenu mmshapata habari, na pia kushiriki. Kwa wale ambao taarifa hii haijawafikia, naomba niwajulishe kuwa, tumefikwa na msiba. Tumeondokewa na kijana mwenzetu Ahmed Bawazir. Ni kijana mtaratibu, mcheshi na mwenye heshima kwa kila mtu. Kijana ambaye amefariki katika umri mdogo (30's), na ameacha mke na mtoto mmoja. Bwana Prosper na familia yake wamejitahidi kwa kila hali kumsaidia ili kuokoa maisha yake, lakini Mwenyezi Mungu ameamua vinginevyo, na hatuna budi kumshukuru, na kuendelea kumuombea ndugu yetu apumzike pema Peponi. Kama kawaida yetu tujitahidi kujumuika na.. familia ya wafiwa, kuwafariji na kutoa rambi rambi zetu. Record zinaonyesha marehemu aliwahi kujiunga na chama ingawa hakutoa michango ya kila mwezi. Sasa naomba ridhaa yenu na pendekezo lenu kwamba sisi kama Chama tuchangie kiasi gani. Mikusanyiko na michango inaendelea pale Odakyu Sagamihara - Kwa Mwidi, Ijumaa, Jumamosi. Jumapili itakuwa siku ya mwisho. Kama ratiba hii itabadilika tutapeana taarifa. Nawashukuruni na pia nasubiri kutoka kwenu.

Marehemu Bwana Ahmed Mbarouk Bawaziri aliyefariki kwa kusumbuliwa na maradhi ya muda mrefu. Taratibu za kusafirisha mwili wa ndugu yetu Ahmed Bawazir kurudi nyumbani Tanzania unafanywa na katika kuchangia ghalama za usafirishaji kila Mtanzania anayeishi nchini Japan anatakiwa kuchangia kiasi cha USD 350 au zaidi ili kukamilisha ghalama za usafirishaji wa mwili wa ndugu yetu,rafiki yetu na Mtanzania mwenzetu Marehemu Ahmed Mbarouk Bawazir toka Japan mpaka Dar es salaam Tanzania.
Kwa Watanzania walio mbali na maeneo ya Tokyo au nje ya Japan na watakaokuwa tayari katika kuchangia ghalama za nauli za usafirishaji wa mwili wa ndugu yetu wanaweza kutumia account ifuatayo ili kuweka sadaka zao.
ACCOUNT USER NAME
SUGAI PROSPER,
BANK OF TOKYO MITSUBISHI UFJ,
ACCOUNT NUMBER 366 255 8,
SHINJUKU - CHUO BRANCH,
SWIFT CODE - BOTJKJK,
CODE - 0005
TEL - 81 90 223 084 35..
KWA MAWASILIANO ZAIDI ZAIDI WASILIANA NA,
PEMBE RASHID 080 3458 8786
MARTIN GONGOLI 080 3455 1970
AMARIDO CHARLES 080 3721 1868..

No comments:
Post a Comment