
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuzindua rasmi mradi wa ujenzi
wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es
salaam leo December 13, 2012, akiwa pamoja na Mama Salma Kikwete, Naibu
Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, Naibu
Waziri wa.. Fedha Sara Salum, Mwanaseheraia Mkuu wa Serikali Bw Jaji
Frederick Werema, Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile ,Mwenyekiti
wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita ,
Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Kushoto ni Mama Salma Kikwete, kulia ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, anayefuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea moja ya nyumba baada ya kuzindua
rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya
Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Wa tatu kulia ni
Mama Salma Kikwete, kulia ni wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Nyumba
na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, kushoto ni Mwenyekiti wa
Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita ,
Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment