Watu wawili ambao ni Masaganya Kalimanzila umri wa miaka 30 (mwanamke)
na Chiza Juma (mwanaume) waliotambulika kuwa ni wachawi mara baada ya
kubanwa na kujitambulisha wamekamatwa majira ya saa 12 asubuhi katika kanisa la Ufunuo lililopo maeneo ya Butimba jijini Mwanza
wakisafiri kwa ungo toka kijiji cha Kaziramihunda wilayani Kasulu mkoani
Kigoma hadi jijini Mwanza kwania ya kuwachukuwa watu watatu walioagizwa
kwaajili ya sadaka.
No comments:
Post a Comment