
Naibu Waziri Philipho Mulugo
Kuanzia juzi taarifa na video ya Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa Tanzania Philipo Augustino Mulugo zimeanza kusambaa kwa watanzania wengi kuhusu alichosema akiwa Afrika Kusini kwenye mkutano wa kimataifa kwamba Tanzania ni muungano wa visiwa vya bahari ya Hindi, Pemba na Zimbabwe.
Mulugo leo amezungumza na Power Breakfast ya CLOUDS FM na kusema kabla ya yeye kupanda kuanza kuzungumza kulikua na kiongozi wa Zimbabwe ambae alitoka kuzungumza na nina mkariri akisema
“sasa ilibidi lazima baada ya kufika pale ni lazima umshukuru mwenzako aliepita sasa..