Pages

Jengo la Ofisi ya Chadema Lanusurika Kuteketea kwa Moto

Jengo la ofisi ya chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema mkoa wa Arusha limenusurika kuteketea kwa moto baada ya watu wasiyojulikana kudaiwa kuvunja sehemu ya nyumba yenye ofisi hizo na kuchoma moto katika vyumba vinavyotunza kumbukumu za chama hicho