Pages

Sunderland Kujenga Academy Dar es salaam

Sunderland

Club ya Sunderland ya Uingereza inatarajiwa kuanza ujenzi wa kituo cha michezo "Academy" katika eneo la kidongo chekundu jijini Dar es salaam kwa lengo la kuinua michezo nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi wa biashara wa Sunderland, Gary Hotchinson, alisema ujenzi huo utaanza hivi karibuni kwa kushirikiana na kampuni ya kufua umeme "Symbion Power".
"Academy hii tunataraji kabla ya mwaka huu kuisha tayari itakuwa imeanza kujengwa na huu ni kwasababu ya ushirikiano wetu mzuri na Tanzania kwa kushirikiana na Bodi ya utalii" na aliongea kuwa Tanzania itapata mafanikio makubwa kupitia mpango huu, hasa katika sekta ya utalii.

aidha Hotchinson aliongeza kuwa licha ya kujenga kituo hicho, wanatarajia kutoa mafunzo mbalimbali ya michezo, ikiwemo ya ukocha na kupitia Club hiyo watakuwa wakizileta timu mbalimbali nchini na kuzidi kuboresha sekta ya utalii na michezo.

Nae mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Dk Alloyce Nzuki, alisema wamefarijika na uhusiano huo, ambapo wanaimani kubwa kuwa sekta ya utalii itazidi kupanuka kutokana na ujio wa timu hiyo. 
Mtanzania

Destiny Shapers: The Vinyl Decorators

It is often said a true entrepreneur identifies a gap in the market and sets out to fill it. That truth hit home for Kevin and Mwatibo, a couple who stumbled into a business idea when they wanted to decorate their house, but found no one to do the interior design to their liking. They decided to do it themselves and from then on they have never stopped. in this episode of Destiny Shapers, Kevin takes us through their new found business.

Everything Wrong With Harry Potter & The Chamber Of Secrets

Well after many months of making you wait, we finally return to the Harry Potter series for the second installment, running down the list of sins in Harry Potter & The Chamber Of Secrets. Yes, there were many. Yes, it was more than we expected. No, we aren't doing Prisoner Of Azkhaban next week.

Masanja Akimdhibiti Joti Kwenye Wizi wa Pawa Windo


Tamwauwadaa: Masanja na NGO za dili kupambana na madawa ya kulevya

G.RAMO -AM A RAPPER (Video)

Samba Mapangala & Virunga - Vunja Mifupa. Audio (Congo-Kenya 80's Soukous) Zilipendwa

Late 80's Soukous Classic!
Vocals: Samba Mapangala, Wuta Mayi, Passi Jo
Lead Guitar: Syran M'Benza
Rhythm Guitar: Bopol Mansiamina
Bass: Miguel Yamba
Drums: Komba Bellow, Ti Paul
Percussion: Rudolph

Weird Therapies: Medicinal Stone

Garrys Mod Prop Hunt Part 3 - Hidden in Plain Sight

Kajoli Masai ft Queen A - Kama Unanipenda (Audio)

Kajoli Masai ft Queen A - Kama Unanipenda

Chalz ft Shosteez -Kazi (Audio)

Chalz,Shosteez,Kazi