Pages

Old School R&B & Hip-Hop Mix Vol. 03 -Audio By Dj Alex

 Fugees - Killing Me Softly
 - Whitney Houston - My Love Is Your Love
 - Bob Marley - Turn Your Lights Down Low (Feat. Lauryn Hill)
 - Brandy - I Wanna Be Down
 - Usher - You Make Me Wanna
 - Missy Elliott - Sock It 2 Me (Feat. Da Brat)
 - Ginuwine - Pony (Feat. Timbaland) (Ride It Mix
 - SWV - Can We (Feat. Missy Elliott)
 - Total - What About Us (Feat. Missy Elliott & Timbaland) (Remix)
 - 702 - Where My Girls At? (Feat. Missy Elliott) (Remix)
 - Dru Hill - How Deep Is Your Love (Feat. Redman) (Remix)
 - Jay-Z - Can I Get A... (Feat. Amil)
 - Big Pun - Still Not A Player (Feat. Joe)
 - Destiny's Child -- Jumpin' Jumpin' (Feat. Lil' Bow Wow) (Remix)
 - Aaliyah -- Try Again
 - TLC -- No Scrubs (Feat. Left Eye)
 - Diana King -- Shy Guy
 - Shaggy -- It Wasn't Me (Feat. Rikrok)
 - Dr. Dre -- The Next Episode (Feat. Snoop Dogg & Nate Dogg)
 - Bow Wow -- Bow Wow (That's My Name) (Feat. Snoop Dogg)
 - Gina Thompson - The Things That You Do (Feat. Missy Elliott) (Bad Boy Remix)
 - K-Ci & JoJo - You Bring Me Up
 - Brian McKnight - You Should Be Mine (Don't Waste Your Time) (Feat. Mase)
 - Horace Brown - Things We Do For Love
 - Next -- Too Close
 - Soul For Real - Candy Rain (Feat. Heavy D.) (Remix)
 - Faith Evans - All Night Long (Feat. P. Diddy) (Remix)
 - R. Kelly -- Home Alone (Feat. Keith Murray)
 - Mariah Carey -- Fantasy (Feat. ODB) (Bad Boy Remix)
 - Zhané - Hey Mr. DJ (Feat. Rottin Razkals)
 - Hi-Five - I Like The Way (The Kissing Game)
 - Janet Jackson - That's The Way Love Goes

Chic Raw ft Spade-O - Coming For Me (Official Music Video)

Official Visual for Chic Raw's track Coming for me featuring Spade-O. Directed by Hyspeed with Siight Effex Cinema and Grand Marq Films

MASTAA WA KIKE BONGO WANAOJIHESHIMU.

SALOME NDUMBAGWE MISAYO ‘THEABAADHI ya watu kwenye jamii wamezoea kusikia au kuona wasanii kibao wakifanya mambo ya ajabu na kuwa na skendo za hapa na pale kama kupigana, mapenzi na kuzungumza mambo yasiyofaa lakini leo tunakuletea listi ya mastaa wanaojiheshimu kwa hapa Bongo...

SALOME NDUMBAGWE MISAYO ‘THEA’Ni staa wa kitambo wa filamu za Kibongo. Ni mke wa ndoa wa mwigizaji Michael Sangu ‘Mike’. Thea amekuwa ni mfano wa kuigwa na kila msanii anayetaka au anayeingia kwenye tasnia ya filamu na jamii kwa jumla. Thea siyo mtu wa skendo kama walivyo wasanii wengine wa kike Bongo.
Amedumu kwenye sanaa kwa muda mrefu akianzia Kundi la Sanaa la Kaole wakati wa michezo ya runingani leo, leo amefikia hatua ya kucheza filamu zake mwenyewe japokuwa kumekuwa na malalamiko haonekani sana kama zamani.
SUZAN LEWIS ‘NATASHA
SUZAN LEWIS ‘NATASHA’
Ni mkongwe wa maigizo ambaye ni mama wa mtoto mmoja. Natasha ni msanii mwenye heshima tele kwenye tasnia ya filamu Bongo ambapo hivi karibuni aliingia kwenye ndoa ya uzeeni kwani alikuwa hajaolewa hivyo kuamua kutimiza agizo la Mungu alilowapa wanadamu.
Natasha hajawahi kuripotiwa na skendo yoyote kama baadhi ya wasanii walivyozoeleka kuwa kila siku ni watu wa matukio ya ajabu.
LLUMINATHA POSHI ‘DOTNATAI
LLUMINATHA POSHI ‘DOTNATA’
Dotnata ni staa wa maigizo, muziki na ni mjasiriamali. Ni mama asiyekuwa na skendo na hivi sasa ameokoka na amekuwa akiwashauri wasanii mbalimbali wabadilike lakini jitihada hizo zimekuwa zikigonga mwamba kutokana na wengi wao kutosikiliza ushauri wake.
Wengine humsikiliza na kumwambia asubiri kwanza wamalize starehe zao.
WASTARA JUMA
WASTARA JUMA
Ni mwigizaji ambaye ni mke wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’. Wastara amekuwa ni mfano wa kuigwa na wanawake wote ulimwenguni na siyo wa filamu pekee.
Wastara ni mchapakazi, hana muda wa kukaa na kufanya mambo yasiyofaa kama kuendekeza wanaume, majungu na kupigana kama ilivyo kwa wengine.
RIYAMA ALLY
RIYAMA ALLY
Mwanadada wa filamu za Kibongo anajiheshimu na amejaliwa kuwa na mtoto mmoja wa kike. Hajawahi kuripotiwa na skendo. Mara nyingi yupo bize na kazi zake na huwezi kukutana naye kwenye kumbi za starehe usiku au katika makundi yasiyofaa.
Kwenye filamu Riyama anakubalika kutokana na uigizaji wake wa kiuhalisia zaidi.
YVONE-CHERRY NGATIKWA ‘MONALISA
YVONE-CHERRY NGATIKWA ‘MONALISA’
Huyu ni mtoto wa Natasha ambaye kafuata nyayo za mama yake katika tasnia ya filamu Bongo. Monalisa ni mama wa watoto wawili.
Hana skendo na anajiheshimu na kujielewa yeye ni nani katika jamii.

This is World’s First $332000 Lab-Grown Beef Burger Tasted in London

Lab-Grown Beef Burger The world’s first lab-grown burger was cooked and eaten at a news conference in London on Monday.
Scientists took cells from a cow and, at an institute in the Netherlands, turned them into strips of muscle that they combined to make a patty.
Researchers say the technology could be a sustainable way of meeting what they say is a growing demand for meat.
Critics say that eating less meat would be an easier way to tackle predicted food shortages.
The burger was cooked by chef Richard McGowan, from Cornwall, and tasted by critics Hanni Ruetzler and Josh Schonwald.
Upon tasting the burger, Austrian food researcher Ms Ruetzler said: “I was expecting the texture to be more soft… there is quite some intense taste, it’s close to meat, but it’s not that juicy. The consistency is perfect, but I miss salt and pepper.” She added: “This is meat to me. It’s not falling apart.”
Beef Burger ,
From London presentation
Food writer Mr Schonwald said: “The mouthfeel is like meat. I miss the fat, there’s a leanness to it, but the general bite feels like a hamburger.
“What was consistently different was flavour.”
Prof Mark Post, of Maastricht University, the scientist behind the burger, remarked: “It’s a very good start.”

The professor said the meat was made up of tens of billions of lab-grown cells. Asked when lab-grown burgers would reach market, he said: “I think it will take a while. This is just to show we can do it.”

Sergey Brin, co-founder of Google, has been revealed as the project’s mystery backer.
Prof Tara Garnett, head of the Food Policy Research Network at Oxford University, said decision-makers needed to look beyond technological solutions.
“We have a situation where 1.4 billion people in the world are overweight and obese, and at the same time one billion people worldwide go to bed hungry,” she said.
“That’s just weird and unacceptable. The solutions don’t just lie with producing more food but changing the systems of supply and access and affordability, so not just more food but better food gets to the people who need it.”
By In2EastAfrica Reporter

TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA UTOAJI WA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU

WAHAMIAJI HARAMU
Watanzania wametakiwa kuitumia vema huduma mpya ya utoaji taarifa za wahamiaji haramu pamoja na taarifa za waathirika wa biashara hiyo, ili kupata msaada na kupunguza kasi ya biashara hiyo nchini.
Huduma hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam na shirika la kimatiafa la Wahamiaji (IOM) kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani, ambapo Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo, Haji Janabi ametoa wito wa matumizi sahihi ya huduma hiyo katika kutoa taarifa za wahamiaji haramu pamoja na vitendo vya biashara haramu ya binadamu.
Huduma hiyo ambayo ni kitabu chenye namba za simu za vyombo mbalimbali, vikiwemo vyombo vya dola vinavyotoa msaada wa haraka, imekuja wakati ambapo Tanzania imekuwa ikishuhudia ongezeko la matukio ya wahamiaji pamoja na biashara haramu ya binadamu.

Unaikumbuka Hii? Jogoo Aliyesema

Jogoo Aliyesema

Katuni ya Leo

Katuni

Mkasi with Jokate Kidoti

AU, SADC, EU Watofautiana Ushindi wa Mugabe

AU, SADC, EU
Wafuasi wa Chama cha Zanu-PF kinachoongozwa na Robert Mugabe ambaye juzi alitangazwa kwa mara ya saba kuliongoza Taifa la Zimbabwe wakifurahia baada ya kutolewa kwa matokeo hayo.Picha na AFP

Harare. Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Zimbabwe huku Rais Robert Mugabe akiibuka kidedea kwa mara ya saba, waangalizi wa Umoja wa Ulaya (EU), Umoja wa Afrika (AU), na Jumuiya ya Kiuchumi ya Kusini mwa Afrika (SADC), wametofautiana kuhusu matokeo hayo.
Wakati waangalizi AU na SADC wakisema uchaguzi huo ulikuwa huru na haki, wenzao wa EU wamesema kulikuwa na kasoro kadhaa. Hata hivyo, AU na SADC walisema kulikuwa na hitilafu katika daftari la wapigakura kwani baadhi hawakuruhusiwa kupiga kura wakati walikuwa na haki ya kufanya hivyo.

Waangalizi wa EU wameeleza wasiwasi wao juu ya kutokukamilika kwa ushiriki wa wapigakura na kwamba kulikuwa na udhaifu kwenye mchakato wa upigaji kura pamoja na ukosefu wa uwazi.

Kwa upande wake, Tume ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC), ilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, licha ya hitilafu mbalimbali zilizojitokeza. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Solomon Zwana, alisema iwapo kuna chama ambacho hakijaridhishwa na matokeo, kinaweza kufuata njia za kisheria.  “Tuna imani vyama vitaheshimu ahadi walizoweka kwamba watafuata njia za kisheria na si kuanzisha vurugu. Hilo ndilo tumaini letu na ujumbe wetu kwa wadau wa kisiasa,” alisema Zwana.

Zuma wa kwanza kumpongeza Mugabe
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amempongeza Rais mteule wa Zimbabwe, Robert Mugabe kwa kuchaguliwa tena kuliongoza taifa hilo la Kusini mwa Afrika. Katika salamu zake, Rais Zuma aliwataka wapinzani kukubaliana na matokeo hayo kwa ajili ya kudumisha amani nchini humo.” Zuma anaonekana kutofautiana na misimamo ya Marekani, Uingereza na Australia, zilizokataa kukubaliana na ushindi wa Mugabe.
Uchaguzi wa Zimbabwe umemrudisha madarakani Mugabe kwa ushindi wa asilimia 61 dhidi ya aliyekuwa Waziri wake Mkuu, Morgan Tsvangirai aliyeambulia asilimia 34.
Tsvangirai alisema kulikuwa na rafu na wizi wa kura na anapanga kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo.

Tsvangirai alifahamu mapema
Tangu kuanza kwa mchakato wa kura, Mgombea wa MDC, Morgan Tsvangirai aliapa kupinga matokeo hayo mahakamani na kusema chama chake kitasusia taasisi za Serikali.

“Hatutajihusisha na masuala yoyote ya Serikali... tutakwenda mahakamani kupinga matokeo haya,” alisema Tsvangirai aliyekuwa akiwania kiti hicho kwa mara ya tatu. Mugabe mwenye umri wa miaka 89, ameiongoza Zimbabwe tangu taifa hilo lilipopata uhuru wake kutoka kwa Waingereza 1980.

Baada ya ZEC kumtangaza Mugabe kuwa ndiye mshindi, Tsvangirai alisema uamuzi huo wa tume utaiyumbisha nchi hiyo. Alisema kutokana na kitendo cha udanganyifu na kuiba kura katika uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita, Zimbabwe itaingia katika mzozo wa kikatiba, kisiasa na uchumi.

Mgombea huyo alitetea uamuzi wa MDC wa kuingia katika Serikali ya kugawana madaraka na Mugabe, ambaye alitoa amri ya kukamatwa kwake, kupigwa na kufikishwa mahakamani kwa madai ya uhaini. “Kushiriki kwetu kumeiokoa nchi hii, kwani shule, hospitali zilifungwa. Tulikuwa tunatumia sarafu ya Zimbabwe ambayo haikuwa na thamani, hakukuwa na bidhaa katika maduka, kila mtu alikuwa katika mtafaruku,” alisema.

Akiwa mwenye hasira, Tsvangirai alisema: “Siku za kuishi kwa kudanganywa zimekwisha na Jumatano (keshokutwa) MDC itawasilisha ushahidi wake wa udanganyifu katika Mahakama Kuu.”

Tsvangirai alisema atawasilisha waraka wa ‘upungufu wote na hali zote za kuendewa kinyume na sheria’ kwa SADC na kutoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha jumuiya hiyo. “Haimaanishi kwamba SADC na AU ndivyo vigezo vya kimataifa vya uchaguzi wa huru na wa haki,” alisema Tsvangirai na kuongeza: “Niseme pia kwamba licha ya vikwazo tulivyokumbana navyo, baadhi yetu tuliamini kwamba uchaguzi huu ungesuluhisha matatizo ya kiuchumi na ya kisiasa hapa Zimbabwe.”

Tsvangirai alisema raia wa Zimbabwe watalazimika kubeba athari za uamuzi wa kisiasa na kiuchumi uliofanywa na Mugabe na Zanu-PF. Waziri wa Ulinzi, Emmerson Munangagwa alisema kwamba matokeo hayo ni mabadiliko ya mchezo.
“Mataifa ya Magharibi sasa yatabidi kutafuta ngazi na kushuka... uchaguzi wa kidemokrasia umefanyika nchini Zimbabwe,” alisema Munangagwa.
Mwananchi

Jetman Yves Rossy Flies Alongside B-17 Bomber Plane

A Swiss adventurer is making his first public flights in the United States this summer with his custom-built jet suit. Yves Rossy, also known as Jetman, flew in his carbon-Kevlar jetwing with four engines next to a B17 plane for reporters on Monday.