Pages

JINSI ya KUONDOA MADOA ya CHUNUSI kwa NJIA ya ASILI

 LIMAO NA MAJI YA ROSE
Chukua maji ya rose kiasi kama ni kijiko kimoja na maji ya limao nayo yawe kijiko kimoja paka eneo liloathiriwa na madoa, kaa kwa muda wa nusu saa mpaka saa moja kisha osha uso wako, fanya hivyo kwa muda wa wiki tatu utapona madoa doa yote usoni.
Juisi ya limao na liwa
Chukua juisi ya limao kiasi changanya na liwa kisha paka eneo lililoathirika, kaa kwa muda wa dakika tano utaona matokeo.
Juisi ya limao na unga wa mdalasini pia ni tiba nzuri ya kusafisha uso kuondokana na madoa yote.

Asali na mdalasini
Maji ya kitunguu swaumuChukua vijiko vitatu vya asali na kimoja cha mdalasini changanya kisha paka usoni pia ni tiba nzuri inasaidia kwa kiasi kikubwa.

Apple na asali
Chukua apple liponde changanya na asali kiasi, kisha paka usoni mbali na kutibu madoa pia inatibu chunusi.
Nyanya Maji ya kitunguu swaumu
chukua maji ya kitunguu swaumu paka kwenye madoa yote utaona matokeo.
Papai Nyanya
chukua kipande cha nyanya paka usoni kisha kaa kwa muda wa saa moja nayo ni tiba nzuri.
Papai
Chukua papai liponde kisha paka usoni litakusaidia kuondoa tatizo la madoa yote usoni.
Tango
Tango pia ni tiba, chukua kipande sugua uso wako kila siku asubuhi utaona matokeo. 
 GPL

Makavulive Top 101 Bongo Fleva PlayList. Sikiliza na Download

Linex -Kimugina (Audio)

Linex -Kimugina

Fact -Cheking The Alignment Of Tea Cups in Japanese Parliament

Great things happening in Japanese Parliament meeting ,even the arrangement of TEA CUPS in parliament needs aligned in a straight manner, you can see them for yourself
Japanese Parliament
Japanese Parliament

Tears of Gaza -Full Movie

"Tears of Gaza" is a Norwegian anti-war on the Gaza war movie as seen through the eyes of a group of Palestinian children.
Norwegian director Vibeke Løkkeberg, in cooperation with the people of Gaza has documented despair and winter 2008/2009 impotence of the Palestinian population in the Israeli bombing of Gaza.

"Tears of Gaza" est un film Norvégien anti-guerre concernant la guerre de Gaza comme on le voit à travers les yeux d'un groupe d'enfants palestiniens.
Le réalisateur norvégien Vibeke Løkkeberg, en coopération avec la population de Gaza a documenté le désespoir et l'impuissance de la population palestinienne au cours des bombardements israéliens sur Gaza l'hiver 2008/2009.

MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA MWANANCHI APIGWA RISASI..!

Mwananchi Communications Limited, Jackson Ngassa Jessica Ngassa akimuhudumia mumewe, Jackson Ngassa ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Idara ya Usambazaji wa Magazeti aliyejeruhiwa kwa kupigwa risasi na majambazi Jumamosi usiku jijini Dar es Salaam.

Watu ambao wanasadikiwa kuwa ni majambazi wamemjeruhi kwa risasi mfanyakazi wa Idara ya Usambazaji ya Mwananchi Communications Limited, Jackson Ngassa.
Tukio hilo lilitokea juzi Jumamosi saa 4 usiku eneo la Tabata Matumbi baada ya watu hao kumfuatilia Ngassa tangu alipokuwa anatoka ofisi za Mwananchi eneo la Tabata Relini.
Akizungumza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Mifupa (Moi), Ngassa alisema wakati akitoka ofisini siku hiyo aliona pikipiki tatu zikiwa nyuma yake lakini hakuhisi kama zilikuwa zinamfuata mpaka walipofika taa za kuongozea magari za Tabata Dampo.
“Nilipofika Tabata Dampo nilihisi kufuatiliwa kwa sababu kila nilipopunguza mwendo nao walipunguza mpaka nilipofika Matumbi ndipo nikasikia wakiniambia simama haraka na kisha wakapiga risasi moja ambayo ilitoboa tanki la mafuta la pikikipiki,” alisema Ngassa.
Alisema baada ya kuona hivyo akataka kukimbilia Benki ya Access iliyoko eneo hilo la Matumbi lakini kabla hajafanya hivyo pikipiki nyingine ilimzuia kwa mbele na ghafla akasikia risasi ambayo ilipasua sehemu ya goti mguu wake wa kulia.
Hata hivyo, Ngassa alisema begi hilo halikuwa na pesa zozote zaidi ya kadi ya benki na magari ya kuchezea watoto aliyowanunulia watoto wake.
Kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa kuunganisha mifupa iliyovunjika kwani risasi aliyopigwa iliingia na kutoka upande wa pili.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na tayari alikwisha mtembelea majeruhi katika hospitali ya Muhimbili alikolazwa

Nikki wa Pili ft Joh Makini - Bei ya Mkaa (Audio)

Nikki wa Pili ft Joh Makini - Bei ya Mkaa

Sikiliza Single 3 Kali Kutoka Kenya Wanadada Naomi Wachira, Kijani na Wangechi (Audios)

 Lovers Rave  
 DO FOR LUVAfrican Girl

This Is Trucking Awesome - شاحنات رائعة

MWISHO MWAMPAMBA AMEWATOLEA UVIVU CLOUDS FM NA KUWATUSI, SOMA HII

Mwisho Mwampamba amegeuka mbogo na kufurumua matusi ya nguoni kwa Clous Fm baada ya kituo hicho kuanza kumjadili na kumchambua...

Mwampamba, ambaye ni staa namba mbili wa shindano la big brother mwaka 2003 anadai kutoridhishwa na kitendo cha Cloud fm kuanza kumjadili...
Staa huyo amedai kwamba yeye anamaisha yake na hivyo haoni haya ya kuanza kufuatiliwa kwa kuwa hana mpango wa kuomba ajira kwa yeyote...

"Clouds fm siwaelewi mnatafuta nini . Nahisi mnatafuta kupakazwa mafuta ya ubuyu . Tafadhali kusaga naona heshima inapungua .

"Had mifugo yako hujawalea vizuri . Mimi sio msanii na pia sita ajiriwa na k**ma wowote yule . Stay away from me n my family.Ameandika staa huyo katika account yake ya facebook
Mwisho Mwampamba