MSHTUKO mkubwa ulijiri Jumamosi iliyopita, ikiwa ni baada ya kusambaa
kwa habari za kumwagiwa tindikali, mfanyabiashara mwenye ‘levo’ ya
ubilionea, Said Said Mohammed, 42, ambaye ndiye mmiliki na Mkurugenzi
Mkuu wa Home Shopping Centre.
Said ambaye kwa utambulisho mwingine
anajulikana kama Said Mohammed Saad, alimwagiwa tindikali Ijumaa
iliyopita, saa 2 usiku, lakini habari zake zikavuma Jumamosi, hivyo
kuibua taharuki ya aina yake.
Kuhusu nani alimmwagia tindikali hiyo,
sababu ya kutendwa unyama huo, yupi mhusika mkuu wa ukatili wenyewe na
malengo ya uharamia, kwa jumla, hayo ni maswali yanayoendelea kuitesa
familia yake, watu wa karibu pamoja na Jeshi la Polisi Tanzania.
Taarifa za kipolisi zinathibitisha kwamba alimwagiwa tindikali akiwa
anazungumza na mfanyakazi wake wa duka lake lililopo kwenye Jengo la
Msasani City Mall kisha akakimbizwa Hospitali ya Ami Wellness Centre,
iliyopo Masaki, Dar es Salaam kabla ya kupelekwa Afrika Kusini kwa ndege
ya kukodi ndani ya kipindi kisichozidi dakika 60.
SAID NI NANI?
Ni Mtanzania mwenye asili ya Bara la Asia. Inadaiwa kwamba ndugu zake wengi wana asili ya nchi za Yemen na Saudi Arabia.
Ndiye mmiliki wa Kampuni ya Home Shopping Center. Kampuni hiyo ina
maduka mengi Dar es Salaam na katika mikoa kadhaa ambayo yanahusika
zaidi na uuzaji wa vitu vya nyumbani na ofisini.
Anatajwa kuwa tajiri mwenye uwezo zaidi katika jumuiya ya wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo, kifedha na ushawishi.
Inadaiwa kwamba wafanyabiashara wengi wenye...
Mahakama Yamruhusu Wilfred Lwakatare Kwenda India Kutibiwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imempa
kibali Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare, akatibiwe nje ya nchi.
Lwakatare ambaye anasumbuliwa na maumivu ya
shingo, kwa sasa amelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili (Moi) kwa uangalizi maalumu na kufanya mazoezi,
alipata kibali hicho kwa kuwa anakabiliwa na kesi ya kula njama za
kumdhuru
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Dennis Msacky.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Dennis Msacky.
Wakili wake, Nyaronyo Kicheere alililiambia gazeti
hili nje ya mahakama kuwa Lwakatare anatarajiwa kupelekwa India, lakini
akasema tarehe ya kusafirishwa inategemea na kukamilika kwa taratibu za
hospitali alikolazwa, na kule anakopelekwa.
Mahakama hiyo ilitoa kibali ili akatibiwe nje ya
nchi, baada ya Kicheere, kuiomba mahakama hiyo impe kibali ili akatibiwe
nje kama ilivyopendekezwa na madaktari wake.
Akizungumza na gazeti hili, Lwakatare alisema
ingawa yupo katika uangalizi maalumu, lakini amefikia uamuzi huo
aliosema umekuja baada ya kujadiliana na madaktari wanaomuhudumia.
“Bado nafanya mazoezi, lakini kulingana na hali
ilivyo imebidi nikae na madaktari nikashauriana nao nimewaomba niende
nje ya nchi nikatibiwe kama itawezekana,”alisema Lwakatare.
Alisema pamoja na maombi hayo pia alikuwa
anategemea kupata ruhusa kutoka mahakamani kwa sababu jana ilikuwa
tarehe ya kuendelea kutajajwa kwa kesi yake baada ya kuachiwa kwa
dhamana.
Alisema madaktari wanajaribu kufanya uchunguzi kwa kuzingatia uzoefu wao wao.
Awali aliwekwa katika Kitengo Maalumu cha
Uangalizi wa madaktari na mazoezi kwa muda wa siku nne madaktari
walimtaka kufanya mazoezi kwa saa tatu kwa siku ili aweze kupona tatizo
hilo kabla kufikia hatua ya upasuaji.
Lwakatare ameomba kwenda kutibiwa nje ya nchi baada ya kukaa muda mrefu hospitalini hapo bila mabadiliko yoyote.
Lwakatare alifika Muhimbili Julai 10 kufuatia maumivu ya shingo ambayo chanzo ni chake ni ajali ambayo iliipata mwaka 2002.
Mbali na maombi ya kibali cha Lwakatare kwenda
kutibiwa nje ya nchi, Wakili Nyaronyo pia aliiomba mahakama hiyo
imchukulie hatua mshirika wa Lwakatare kwenye kesi hiyo Ludovick Joseph
Rwezaura kwa kosa la kuandika makala kwenye mitandao ya kijamii,
akilenga kujitetea dhidi ya shtaka linalomkabili na Lwakatare.
Wakili Nyaronyo alililalamikia kitendo cha Ludovick, akidai kuwa si sahihi kujitetea katika jukwaa lingine nje ya mahakama.
Katika mitandao hiyo Ludovick pamoja na kueleza
uhusiano wake na watu mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa CCM,
Mwigulu Nchemba na Lwakatare, pia amekanusha tuhuma mbalimbali kuhusu
kesi hiyo.
MWANANCHI
MWANANCHI
Get to Know Big Guy's Ride na Price Tag ..You Know..!
KANYE WEST

This $750,000 Lamborghini Aventador was recently scratched up, as he
tried to get into Kim Kardashian’s property; it was squeezed by the
electric gates as he drove through.
LUDACRIS

The $300,000 Ferrari FF is a hatchback, and a very fast one. It’s capable of going from 0 to 60 mph in 3.5 seconds.
50 CENT

A Lamborghini Murciellago will cost you about $350,000.
NICK MINAJ

Nicki’s pink Bentley Continental GT costs around $175,000.
WAKA FLOCKA FLAME

The Rolls Royce Ghost costs around $280,000. It looks classy yet aggressive.
TYGA

Tyga’s Audi R8 is covered in a special Gold paint job. It costs $200,000 even without the paint.
THE GAME

A new Ferrari F430 costs around $200,000. The Game bought this one in France, covered completely in leather. Very unique.
T.I

A new Ferrari 599 costs around $310,000 and has 750 horsepower. This is one of the fastest Ferrari's ever!
DRAKE

You can get a Bugatti Veyron for about $2.5 million, and that’s without
any bells and whistles. Drake “started from the bottom” and now he’s in
this car.
WIZ KHALIFA

This Dodge Challenger SRT8 is Black and Yellow.
WIZ KHALIFA

This Dodge Challenger SRT8 is Black and Yellow.
Duchess of Cambridge Gives Birth to Son 8lbs 4ozs -Royal Baby Boy
The Duchess of Cambridge has given birth to a son, Kensington Palace has confirmed.
The baby weighed 8lbs 6oz and was born at 4.24pm.

Crowds cheer after hearing of the royal baby announcement at St Mary's hospital on Monday evening. The palace said in a statement: "Her Royal Highness The Duchess of Cambridge was safely delivered of a son at 4.24pm. The baby weighs 8lbs 6oz. The Duke of Cambridge was present for the birth.
The Prince of Wales said that he was "enormously proud and happy to be a grandfather for the first time", adding that it was "an incredibly special moment for William and Catherine".
"The Queen, The Duke of Edinburgh, The Prince of Wales, The Duchess of Cornwall, Prince Harry and members of both families have been informed and are delighted with the news.
The Duke and a pregnant Duchess of Cambridge at Westminster Abbey last month. (PA)
"Her Royal Highness and her child are both doing well and will remain in hospital overnight."
The baby weighed 8lbs 6oz and was born at 4.24pm.
Crowds cheer after hearing of the royal baby announcement at St Mary's hospital on Monday evening. The palace said in a statement: "Her Royal Highness The Duchess of Cambridge was safely delivered of a son at 4.24pm. The baby weighs 8lbs 6oz. The Duke of Cambridge was present for the birth.
The Prince of Wales said that he was "enormously proud and happy to be a grandfather for the first time", adding that it was "an incredibly special moment for William and Catherine".
"The Queen, The Duke of Edinburgh, The Prince of Wales, The Duchess of Cornwall, Prince Harry and members of both families have been informed and are delighted with the news.
"Her Royal Highness and her child are both doing well and will remain in hospital overnight."
The Miraa'cle Tree Part 2
Now on the 24th of July 2013 a case will be up for hearing at the High Court sitting in Nairobi where a group of Miraa traders are seeking to have Miraa removed from NACADA's list as a drug. While the fight continues in the courtrooms, the Ameru people continue to fight for their heritage and culture. In the second and final part of a series we are calling the Miraa'cle tree Willis Raburu delves into the cultural value placed on Miraa and as he now tells us not only is Miraa used to pay dowry in Meru county but in dispute resolution as well. Let's take a look.
Subscribe to:
Posts (Atom)