Pages

Blog ya Taifa Sasa Inapatikana ktk Simu Yako ya Kiganjani kwa Ufasaha Zaidi Kupita Maelezo

Tanzania Directory 
Baada ya Kufanyiwa marekebisho ya hali ya juu, Blog yako ya Taifa Sasa Inapatikana pia kwa kutumia simu za mkononi za kisasa. Jaribu yako sasa upate kujua kila kinacho endelea ktk kila blog kupitia blog mmoja tu.
Acha kuzunguka blog kibao bila kupata habari uliyokua unaitafuta,
Blog ni moja tu Bongo Blogs ndio unatakiwa kukumbuka halafu nyinginezo zooote utazipata ndani yake (Bongo Blogs) bofya link hapo chini..
  Bongo Blogs
 http://bongoblogs.blogspot.com

Blog yako ya Taifa

Pata KuSikiliza Playlist ya Dj Choka Yenye Nyimbo 100. Hapa



Video ya Daktari Feki Aliekamatwa Akitoa Huduma za Tiba ktk Zahanati Bubu

Kijana mmoja amekutwa akitoa huduma za tiba zinazotolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika zahanati bubu maarufu kwa jina la kwa Docta Kondoliza eneo la Mji mpya Majohe kinyume na sheria .

Jay Z & Beyonce Protest In NYC With Trayvon Martin's Mom


Trayvon Martin
Jay Z and Beyonce have made it clear -- they believe justice was NOT served in the shooting death of Trayvon Martin ... they spent Saturday protesting the laws which allowed his killer to walk.

Photos of the superstar couple showed up on Instagram ... of Jay and Bey in NYC, protesting against "Stand Your Ground" laws ... the law in FL which allowed George Zimmerman to claim self-defense in the shooting of 17-year-old Trayvon.

J & B were seen posing with Trayvon's mother, Sybrina Fulton, and Al Sharpton. Al reportedly told the crowd of protesters the famous couple was there ... but didn't want to speak and didn't come for a photo op.

As TMZ previously reported ... both Beyonce and Jay have taken time out of recent performances to honor Trayvon. And last week, Beyonce tagged a photo on Instagram "JusticeForTrayvon."

BARUA INAYOSADIKIWA KUANDIKWA NA PAPII KOCHA KWA RAIS JAKAYA KIKWETE... KWA WALE AMBAO HAMJAISOMA HÍI HAPA

Gereza Kuu Ukonga
MF/NA: 836'04 Johnson Nguza
(Papii Kocha) Gereza Kuu Ukonga
S.L.P 9091
Dar es Salaam
Mh. Rais Jamuhuri ya Muungano Tanzania
YAH: MAOMBI YA KUPEWA MSAADA (MSAMAHA) WA KUFUTIWA ADHABU YA KIFUNGO NILIYOPEWA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU.
Husika na somo hilo hapo juu. Mimi ni mfungwa katika gereza kuu Ukonga. Kwa heshma na taadhima na kwa kutambua utu na huruma yako ya kiMUNGU ulionayo dhidi ya binadamu wenzako pamoja na mamlaka uliokabidhiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naanguka na kushika miguu yako mitukufu muheshimiwa rais.
Nakuomba msaada (msamaha) kwako muheshimiwa rais, kwa njia hii ya maandishi kusudi niweze kuondolewa adhabu ya kifungo cha maisha gerezani, niliyohukumiwa na mahakama tajwa hapo juu. Mh.Rais mimi nimefungwa nikiwa bado kijana mwenye umri mdogo, na ukweli kutoka moyoni sikufanya kosa hilo.
Si mimi, baba yangu Nguza wala ndugu yangu yeyote aliyefanya kitendo kile. Lakini wenye mamlaka wakatuona tuna hatia na kuamua kuteketeza kizazi chetu gerezani.
Natamani kiama ifike ili mwenyezi Mungu aweke wazi ukweli wote
uliojificha nyuma ya pazia. Mpaka sasa natambua wazi hatima pamoja na dhamana ya maisha yangu ipo katika mikono yako mitukufu Mh. Rais Naomba huruma yako muheshimiwa Rais maana mimi ni mtoto wako ninaehitaji huruma yako wewe mzazi. Lakini pia sisi ni binadamu wenye nafsi na miili kama wengine. Waliotumia mamlaka yao kutuweka gerezani nao ni binadamu pia, wenye miili na nafsi.
Ipo siku nafsi zetu zitapaswa kutoa hesabu ya tuliyoyafanya hapa duniani. wakati huo miili yetu tunayoitumia kunyanyasa wanyonge itakuwa imeoza mavumbini.
Natumaini kauli yako ya mwisho ndio itakayoleta pumzi ya uhai nafsini mwangu. Nakutakia kazi njema, afya njema na maisha marefu. Mungu akubariki. Wako mtiifu
Mfungwa NO:836'04 JOHNSON NGUZA (PAPII KOCHA)

SOURCE: INGRAM JOHN

Celebrity on Drugs Before & After -Video

Celebrity Drugs Before & After. What drugs does to a person. Its incredible how many famous people do drugs, how many have overdosed from doing drugs. Famous people like Lindsay Lohan, Whitney Houston,Charlie Sheen, Corey Haim.

MAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI CHA GONGOLAMBOTO, WAIBA SILAHA NA KUWAFUNGIA ASKARI KAMA MAHABUSU..!!


 Hii imetokea huko Gongolamboto jana ,majambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko Gongolamboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia mahabusu ya kituo hicho, majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka silaha zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwakuwa radiocall haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi.
RADIO WAPO

Mtaji wa Masikini ni Bidii Yake Mwenyewe

Mtaji wa Masikini

Hopsin - ILL MIND OF HOPSIN 6


Kira Kirami ft Bizzo - Nasaka Dough [Official video] HD