Pages

Did You Know??

The shortest war in history was fought between Britain and Zanzibar in 1896
-- Britain won it in just 38 minutes. The Anglo Zanzibar War
 Sultan's harem
The Sultan's harem after the bombardment.
By laprincessaworld

Jicho Pevu: "Kirindanda cha Uhalifu" pt.1 - Kenya (Video)

Visa vya uhalifu, mauaji na ubakaji hapa jijini vinazidi kugonga vichwa vya habari kila kukicha. La ajabu ni kwamba msururu wa mauaji na visa hivi vyote hutekelezwa na genge la majambazi linalohusisha vijana wadogo chini ya umri wa miaka 25. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali ni kwamba hata maafisa wa polisi sasa ni walengwa wakuu. Kwa ngoma kamili ya jinsi mambo yalivyokuwa katika patashika ya kwanza tunakusihi utulie tuli na ujionee jinsi ngoma ilivyosukwa.

Minecraft: Sky Den Survival Ep. 7 - Rite of Fire (Gaming)

Mkutano Mkuu wa TFF Wapitisha Katiba Yake

Mkutano mkuu wa shirikisho la soka Tanzania-TFF umepitisha katiba yake na inatarajia kuwasilisha kwa msajili wa vyama vya michezo hapo kesho tayari kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo.

Truthmeter -Kenya

It has been a week rich with lessons. In Kiambu County for example some remandees learned how dangerous it is to drink chang'aa meant for an exhibit in court. Teachers and the government on the other hand have been busy teaching each other some lessons with very comical results. Without further ado here is Willis Raburu's Truthmeter.

Danny Welbeck Produces One of the Worst Pieces of Skill Ever!

THIAGO ALCANTARA AJIUNGA RASMI NA BAYERN MUNICH

 BAYERN MUNICH
Hatimaye kiungo wa kimataifa wa Spain na FC Barcelona Thiago Alcantara ameuzwa rasmi kwenda kujiunga na mabingwa wa ulaya na Ujerumani Bayern Munich.

Thiago ambaye alikuwa akihusishwa mno na kujiunga na Manchester United ingawa juzi kocha David Moyes alisema hawakuwahi kusema wanamhitaji mchezaji, amejiunga rasmi ya Bayern Munich kwa ada ya uhamisho wa 25 million euros.

Mapema wiki iliyopita kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola alikaririwa akisema kwamba anamhitaji Thiago kwenye timu yake na amewaomba viongozi wake kumsajili mchezaji huyo tu msimu huu.

Thiago amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea Bayern Munich

Doctor Who Theme - Doctor Who Prom - BBC Proms 2013 - Video

Murray Gold's version of Ron Grainer's original Doctor Who Theme performed by the BBC National Orchestra of Wales and London Philharmonic Choir conducted by Ben Foster, at the BBC Proms' 50th anniversary celebration of the Doctor Who series.

Kanye West Paparazzi Tantrum REMIX -- D-D-Don't Talk to Me!!! (Video)

DARAJA LA KIGAMBONI LIPO ktk HATUA za MWISHO!

DARAJA LA KIGAMBONI