Pages

Mizengo Pinda Amsindikiza Mfalme Mswati wa Swaziland Baada ya Kufungua Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Kwenye Uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1


Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Rais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo Jijini Dar es Salaam

 Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam leo
Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo
Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo
Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama wa Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao walipofanya ziara katika kituo hicho leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Symbion Power Bwana Paul Hinks.
Picha na IKULU

Iyanla to DMX: "Do You Want to Live Your Life as a Clean Man?" - Iyanla Fix My Life - OWN (Video)

USIOMBE IKUKUTE

USIOMBE

NAFASI MPYA ZA KAZI TANZANIA MPAKA JULAI 25

SENIOR LECTURER / LECTURER
Qualifications: PhD in Hydrology,
Hydraulics,Computational Fluid Mechanics/Dynamics/Hydrological Modeling Water Resources/Soil
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi , 28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROFESSOR/ASSOCIATE PROFESSOR
Qualifications: PhD and Master’s in Hydraulics,Computational Fluid Mechanics/Dynamics/Hydrological Modeling /Water Resources/Soil
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi , 28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROFESSOR/ASSOCIATE PROFESSOR / SENIOR LECTURER/LECTURER/ ASSISTANT LECTURER
Qualifications: PhD and Master’s in Biostastics,Master’s in Biostastics
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi ,
28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROFESSOR/ASSOCIATE PROFESSOR / SENIOR LECTURER/LECTURER/ ASSISTANT LECTURER- 2 POSTS
Qualifications: PhD and Master’s in Conservation Biology,Analytical Organic Chemistry,Master’s in Conservation Biology/Analytical
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi ,
28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROFESSOR/ASSOCIATE PROFESSOR / SENIOR LECTURER
Qualifications: PhD and Master’s in food Chemistry,first degree in Chemistry of Food Sciences
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi ,
28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROFESSOR/ASSOCIATE PROFESSOR /SENIOR LECTURER/LECTURER - 2 POSITIONS
Qualifications: PhD and Master’s Plant Biotechnology with knowledge in Molecular Biology and Biotic/Abiotic stress Biology,first degree in Agriculture mandatory
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi , 28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

ASSOCIATE PROFESSOR / SENIOR LECTURER/LECTURER
Qualifications: PhD and Master’s Public Health or Epidemiology first degree in Medicine mandatory
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi , 28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

ASSOCIATE PROFESSOR / SENIOR LECTURER/LECTURER- 2 POSITIONS Qualifications: PhD,Master’s and Bachelor’s in Bioengineering/Chemical Engineering/Life Sciences with experience in potent Chemistry/Drug Design and or Vaccine Discovery
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi , 28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROFESSOR/ASSOCIATE PROFESSOR /SENIOR LECTURER
Qualifications: PhD holders with Master’s in Bioinformatics and Bachelor’s in Biology or Computer Sciences
Apply: Deputy Vice Chancellor -
Palanning, Finance and
Administration
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology
Box 447 , Arusha
Details: Mwananchi ,
28 june 2013
Deadline: July 14, 2013

PROJECT FINANCIAL CONTROLLER AND INVESTMENT MANAGER
Qualifications: A holder of Master’s degree in Finace,Economics,Business Administration or any related field
Apply: Managing Director
Develoipment House
Box 2669 , Dar es Salaam
Details: Daily News ,
26 june 2013
Deadline: July 15, 2013

HEAD OF PUBLIC PRIVATE PARTINERSHIP DEVELOPMENT
Qualifications: A holder of Master’s degree in Entrepreneurship,Economics,Marketing,Business Administration or equivalent
Apply: Managing Director
Develoipment House
Box 2669 , Dar es Salaam
Details: Daily News , 26 june 2013
Deadline: July 15, 2013

PRINCIPAL PROJECT OFFICER
Qualifications: A holder of Bachelor’s degree in Agriculture, Agricultural Economics,Economic
Planning, Agricultural Engineering,
or any related field
Apply: Managing Director
Develoipment House
Box 2669 , Dar es Salaam
Details: Daily News ,
26 june 2013
Deadline: July 15, 2013

ASSISTANT LECTURER
Qualifications: Holder of a Master’s degree with an avaerage of B or higher in a specialized functional area.in addition the candidate must have a minimum GPA of 3.5 in first degree and assessed as potentially good academically
Apply: The Deputy Vice Chancellor (Administration and Finance)
Box 1, Mzumbe University
Details: Daily News ,
26 june 2013
Deadline: July 25, 2013

TUTORIAL ASSISTANT
Qualifications: Holder of a first degree from recognised institutions with a GPA of 3.5 and above
Apply: The Deputy Vice Chancellor (Administration and Finance)
Box 1, Mzumbe University
Details: Daily News ,
26 june 2013
Deadline: July 25, 2013

ASSISTANT LECTURER
Qualifications: Holder of a Master’s degree in a specialized functional area, in addition the candidate must have a minimum GPA of 3.5 in first degree and assessed as potentially good academically
Apply: The Deputy Vice Chancellor (Administration and Finance)
Box 1, Mzumbe University
Details: Daily News ,
26 june 2013
Deadline: July 25, 2013

LOGISTICS COORDINATORS - MWANZA
Qualifications: Degree in Pharmacy,Public Health,Supply Chain Management or related field
Apply:Permanent Secretary, Ministry of Health and Social Welfare
Box 9083 , Dar es Salaam
Details: Daily News,
17 June 2013
Deadline: July 2, 2013

LECTURER
Qualifications: Holder of a good PhD degree in a specialized functional area
Apply: The Deputy Vice Chancellor (Administration and Finance)
Box 1, Mzumbe University
Details: Daily News ,
26 june 2013
Deadline: July 25, 2013

Maujanja Saplayaz ft. Mo Plus, G-Nako & JCB – Kipande Na Wana (Audio)

Maujanja Saplayaz ft. Mo Plus, G-Nako & JCB – Kipande Na Wana

Just A Band - Dunia Ina Mambo with Octopizzo and Stan (Video)

BEST FLOUR PRANK EVER!!!

WAKAZI WAKIZIDI KUMIMINIKA SABASABA BANDA LA MALIASILI KWAAJILI YA KUANGALIA WANYAMA HAI

 Simba
Wakazi wa Jiji la Dar wakipata maelezo ya Simba kutoka kwa mfanyakazi wa Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Sabasaba
 Simba
Maonyesho ya Sabasaba
Pundamilia naye yupo

Maonyesho ya Sabasaba
Wakazi wa Jiji la Dar wakimuangalia Sokwe katika banda la Maliasili na Utalii ndani ya viwanja vya Sabasaba
Sokwe katika banda la Maliasili na Utalii
Wakazi wa Dar wakiwaangalia Simba katika banda lao
Mnyama Chui
Mnyama Chui
Mnyama Chui
Chatu
Wakazi wa Jiji wakimwangalia Chatu huku wengine wakipata maelezo ya Chatu kutoka Kwa Mfanyakazi wa Maliasili na Utalii
Chatu
Wakazi wa jiji wakiwa wanatoka nje na wengine wakiwa wanaingia katika banda la Maliasili na Utalii lililopo Katika Viwanja Vya Sabasaba
Chatu
Chatu
Moja ya Nyumba za wazanaki iliyopo katika Banda la Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Sabasaba
kibiashara za kimataifa
Wakazi wa Jiji La Dar wakiingia katika Viwanja vya Maonyesho ya 37 ya kibiashara za kimataifa

William Ruto: SI HOJA OBAMA KUKWEPA KUITEMBELEA KENYA, TUNA MARAFIKI WENGI TOFAUTI NA MAREKANI NA KAMWE HATUWEZI KURUHUSU SERA YA USHOGA YA OBAMA..!!

William Ruto,NAIBU wa Rais Bw William Ruto, jana alivunja kimya chake kuhusu hatua ya rais wa Marekani Barack Obama kutozuru humu nchini kwa kusema hatua hiyo haina madhara yoyote kwa Kenya.
Huku akiongea katika kanisa la Katoliki la St Gabriel Bahati, kaunti ya Nakuru, Bw Ruto alisema nchi hii ina 'marafiki’ wengine wengi duniani ambao inaweza kushirikiana nao huku akiongezea kuwa hatua ya rais Obama kukwepa kutembelea Kenya haiwezi kutatiza kwa vyovyote vile uhusiano mwema uliopo wa kibiashara baina ya Marekani na Kenya.
“Tunaiheshimu nchi ya Marekani nayo inafaa kuwaheshimu Wakenya,” akasema Bw Ruto.
Alisema serikali tayari imeanzisha mikakati ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na mataifa mengine huku akikariri kuwa safari ya Rais Uhuru Kenyatta nchini Uganda ambapo alikutana na rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni na mwenzao wa Rwanda rais Paul Kagame kujadili jinsi nchi hizo tatu zinaweza kushirikiana kibiashara, ni miongoni mwa mikakati hiyo.

“Nchi yetu inamcha Mungu na kamwe hatutaruhusu mataifa ya kigeni kutuletea tamaduni ambazo zinakinzana na desturi zetu,” akasema Bw Ruto huku akirejelea hotuba ya Rais Obama nchini Senegal ambapo aliitaka nchi hiyo kuheshimu haki za Mashoga.

Wakati mwafaka
Rais Obama ambaye yuko barani Afrika alikosa kutembelea Kenya na badala yake akazuru mataifa ya Senegal, Afrika Kusini na Tanzania; kwa kile alichokitaja kuwa haukuwa wakati mwafaka wa kutembelea nchi hii kwani viongozi wake wanakumbwa na mashtaka katika mahakama ya Kimataifa ya kupambana na uharifu wa Kibinadamu (ICC) japo aliahidi kuitembelea Kenya kabla ya kipindi chake kama rais wa Marekani.