2013 NBA Finals: Game 5 Micro-Movie
Check out an all-access look at Game 5 of the 2013 NBA Finals as the San Antonio Spurs come up BIG and find themselves on the cusp of yet another NBA Championship with a 3-2 lead over the Miami Heat in the series.
About the NBA:
The NBA is the premier professional basketball league in the United States and Canada. The league is truly global, with games and programming in 215 countries and territories in 47 languages, as well as rosters that currently feature 85 international players from 36 countries and territories. For the 2012-13 season, each of the league's 30 teams will play 82 regular-season games, followed by a postseason for those that qualify.
The NBA consists of the following teams: Atlanta Hawks; Boston Celtics; Brooklyn Nets; Charlotte Bobcats; Chicago Bulls; Cleveland Cavaliers; Dallas Mavericks; Denver Nuggets; Detroit Pistons; Golden State Warriors; Houston Rockets; Indiana Pacers; Los Angeles Clippers; Los Angeles Lakers; Memphis Grizzlies; Miami Heat; Milwaukee Bucks; Minnesota Timberwolves; New Orleans Hornets; New York Knicks; Oklahoma City Thunder; Orlando Magic; Philadelphia 76ers; Phoenix Suns; Portland Trail Blazers; Sacramento Kings; San Antonio Spurs; Toronto Raptors; Utah Jazz; Washington Wizards.
The NBA offers real time access to live regular season NBA games with a subscription to NBA LEAGUE PASS, available globally for TV, broadband, and mobile. Real-time Stats, Scores, Highlights and more are available to fans on web and mobile with NBA Game Time.
For more information, as well as all the latest NBA news and highlights, log onto the league's official website at http://www.NBA.com

CHADEMA NI WAZUSHI - KAULI YA HOSPITALI
NA SHAABAN MDOE NA LILIAN JOEL,ARUSHA.UONGOZI wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian jijini Arusha umekanusha vikali taarifa zilizotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chadema John Mnyika kuwa serikali ilipeleka maafisa wa usalama hospitalini hapo kwa lengo la kumdhuru mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari pamoja na majeruhi wa mabomu waliolazwa katika hospitali hiyo na kusema ni uzushi mtupu.
Mnyika alisema kufuatia kitendo hicho mbunge Nassari alipiga kelele (yowe) akiwa katika korido ya wodi namba 14 aliyokua amelazwa ili kuomba msaada baada ya maafisa hao wa usalama waliokua wamevalia mavazi ya kitabibu na kubeba vifaa vya kitabibu kumtundikia drip aliyohisi ilikua na lengo la kumdhuru ambayo aliitoa na kuitupa.
Mnyika alitoa kauli hiyo leo alipokua akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha wakati akisubiri wabunge wanne wa chama chake pamoja na...
Hatimae Mbowe, Lema Wajisalimisha Polisi

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema hivi sasa bado wanahojiwa na Polisi baada ya Kujisalimisha kutokana na Maagizo ya Polisi ya kutaka kuwahoji kuhusiana na Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha. Baada ya Mohojiano hayo wanatarajia kushiriki kuaga mwili wa Marehemu Judith Moshi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Arusha, anayeagwa leo na kutarajia kuzikwa mjini Arusha leo.
Chadema blog
Maandalizi ya Sherehe za Miaka Mitatu ya Vijimambo
Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini, Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wanapanga kusheherekea miaka 3 ya Vijimambo na kukuletea tamasha ni kuendeleza lugha na utamaduni wa Kiswahili hapa Marekani ili watoto wanaoishi huku waweze kuendeleza matumizi ya lugha hii na utamaduni wake kizazi hadi kizazi. Siku ya July 6, 2013 hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo 207 w Hampton Pl,Capitol Height, MD Mambo mengi yatakuwepo, Vikundi mbalimbali vya utamaduni, wanamitindo ya mavazi mbalimbali kuwakilisha, vyakula vya Kitanzania, Wasanii kutoka nyumbani Shilole na Masanja wakishirikiana na hapa Marekani yote ni kudumisha utamaduni wetu wa kiswahili
HOTEL KWA WAGENI
Tumeongeza vyumba 35 Hotel ya Country Inn & Suites
Na unapopiga simu uliza SWAHILI CULTURE IN USA kusudi upate unafuu wa bei nambari ya simu ni 301 350 8088 na Addrees ni
8850 Hampton Malls Drive North
Capitol Heights, MD 20843
Hotel za jirani na hapa ni
Hampton Inn
9421 Largo Dr West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 499 4600
Extended Stay American
9401 Largo Drive West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 3339139
Confort Inn
56 Hampton Park Blvd
Capitol Heghts, MD20743
Simu ni 301 336 8900
MAONYESHO YA 37 YA SABA SABA 2013, TAN TRADE YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI MBALI MBALI
Washiriki mbali mbali kutoka katika mashirika na vyama mbali mbali vya
ujasiriamali kutoka nje na ndani ya Tanznia leo wamepatiwa semina
yenye mafunzo mbali mbali katika maandalizi ya maonyesho ya 37 ya saba
saba yatakayoanza hivi karibuani katika viwanya vya Mwalimu nyerere
vilivyopo kilwa road jijini Dar es salaam.
Akifungua semina hiyo iliyofanyika leo mkurugenzi wa Tan Trade bi Anna F.Bulando ameelezea maonyesha haya ya 37 kuwa yatakuwa maonyesho makubwa ya kimataifa na ya kipekee kufanyika jijini Dar es salaam ukilinganisha na maonyesho ya miaka mingine kwani maonyesho haya yatashirikisha nchi nyingi zaidi kuliko miaka yote.
Nchi zitakazoshirkia katika maonyesho ya mwaka huu zimeongezeka kutoka nchi 11 zilizoshiriki mwaka jana na kuongezeka hadi kufikia nchi 32 ambazo zitashiriki katika maonyesho hayo mwaka huu.
mada zipatazo sita zimeweza kujadiliwa na kutolewa mafunzo kwa washiriki ili kuhakikisha kuwa wanafuata na kuzingatia hatua hizo ambazo kama wakifuata na kuheshimu basi watapata mafanikio makubwa katika biashara zao na pia kuzidi kuwa vutia washiriki wengine ambao bado hawajaonyesha nia ya kushirikia maonyesho ya saba saba.
baadhi ya mada au masomo yaliyotelewa kati ya sita ni elimu juu ya wajibu wa kila mshiriki kuhusu afya,usalama wa vyakula na usafi wa mazingira uliotolewa na afisa afya wa manispaa ya Temeke bwana William muhemu.
Ambapo alikazia zaidi kuhusu kila mshiriki kuhakikisha kuwa wakati wa maonyesho h ayo kila moja anakuwa msafi na kufuata kanuni za afya ili kuhakikisha kuwa shughuli zote za maonyesho ya 37 ya saba saba yanakwenda vizuri bila kutekea kwa maambuzi ya magonjwa ya mlipuko ambayo mara nyingi hutokea katika mikusanyiko mikubwa ya watu ambao hawafuati sheria na taratibu za afya pindi waendapo na watokapo katika maliwat na pia katika ulaji mbaya ambao mara nyingi watu hujikuta wakilishwa kinyesi cha binadamu bila wao kujua kutokana na kula katika magenge ya watu wanaotoa huduma bila kuwa wasafi na hivyo kusabisha kulipuka kwa magongwa ya milipuko kama kipindu pindu.
mada nyingine iliyopata wasaa wa kujadiliwa ni pamoja na mada ya upakiaji au auandaa na usafishaji wa bidhaa ambao uanatakiwa uwe na viwango madhubiti unaokubalika na mamlaka ya viwango Tanzania TBS kwa kuhakikisha kila mjasirialamali anafuata njia sahihi za uandaa na usindikaji wa bidhaa yake katika viwango vinavyokubalika na Tbs mada hiyo ilitolewa na bi Mary Meela kutoka TBS.
Mada nyingine ni masoko ya ndani na nje na mfumo wa ufuatiliaji na masoko ya kimataifa iliyotolewa na Bwana Pius Mikingoti wa GS1 Tanzania, mada nyingine ni madaraja na viwabgo vya bidha vinavyotengezwa na kusafirisha au kuuzwa kwa mteja /mlaji au mtuamiaji iliyotolewa na Bwana kiteka na mada nyingine ni kuhusu kodi ambayo mada hii imeandaliwa na kutolewa na bi. Rose Mahendeke kutoka TRA.
Subscribe to:
Posts (Atom)