Pages

PIMP My Ride

DarSlam 
 Alot of people do modify and turn parts of their car. From paint jobs to custom interior and with stereo systems that are louder than most of the club systems, cars like these are a popular way for owners to express their personality and their style ability what they are capable of..DarSlamDarSlamDarSlamDarSlam

Ndege Maalumu za Kivita Kutawala Anga Dar

Ndege za kivita Dar es Salaam. Idara ya Ujasusi ya Marekani imeweka bayana kwamba inajitegemea kwa ulinzi katika ziara nzima ya Rais Barack Obama kwa nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, Afrika Kusini na Senegal.
Kwa mujibu wa taarifa ya idara hiyo, katika kuhakikisha usalama wa kutosha wakati wa ziara ya Obama tayari maofisa wao wameshakamilisha maandalizi ya kiusalama katika nchi zote anazotarajiwa kutembelea.

Meli ya kivita kutua bandarini
Katika kuchukua hatua hizo, meli kubwa kabisa ya kivita yenye hospitali maalum zipo tayari kwa ya kambi maalumu katika bandari maalum za nchi atakazotembelea, kwa ajili ya kukabiliana na dharura yoyote ya kiafya ya Obama na familia yake.

Ili kuwawezesha maofisa wa kijasusi wa Marekani, ndege ya kijeshi ndiyo itakayobeba magari 56 zikiwemo limousine 14 na magari matatu maalumu ya...

Various Artists -- " GOODBYE " (OFFICIAL TRIB VIDEO)

AY Tanzanian Finest Interview -BBC World News

Kwa Mpango Huu, Ubao, Madaftari na Chaki Vitabaki Kutumika Bongo TU

touchscreenMADARASA ambayo yatakuwa na kila kitu katika mfumo wa 'touchscreen' ndio habari inayotaka kuuteka ulimwengu sasa. Kwa maana hiyo baada ya muda mchache tutakaobaki kutumia ubao, chaki na madaftari vitabaki kwetu sie ambao teknolojia inachelewa kutufikia.
Utafiti ulifanyika kwa miaka minne umeweza kuvumbua  kitu mfano wa meza kubwa ambacho ni 'touchscreen'.Kifaa hiki kinaweza kutumika kwa walimu kufundishia na wanafunzi kusomea na kuandika.
Watafiti hao kutoka Durham Univesity wamegundua kitu hiki kinachoitwa 'Star Trek classroom' au 'classroom of the future' ambacho hakitawafanya waalimu washike chaki tena wala wanafunzi wabebe madaftari.
Watafiti hao wamesema pia ugunduzi huo umeonyesha kuwasaidia wanafunzi, katika kuwa na uwezo zaidi katika hesabu tofauti na katika mfumo wa kuandika kwenye madaftari.
Aidha wanasema dawati hilo linawafanya wanafunzi wafanye kazi kwa pamoja, kitu ambacho kinaongeza juhudi kwa hata yule aliyekuwa na tabia ya kutegea.
Mtafiti Mkuu, Profesa Liz Burd anasema hata wakati wanatengeneza lengo lao kubwa lilikuwa ni kuona wanafunzi wanashiriki moja kwa moja darasani.
Dawati hilo linaweza kutumiwa na wanafunzi wawili mpaka watatu, mwalimu anaweza kuwatumia kazi kutoka dawati jingine.

2Face - Rainbow [Official Video]

YULE BIBI ALIYETISHIA KUGEUZA GESI KUWA MAJI ATOWEKA - MTWARA


GESI KUWA MAJIKIKONGWE Somoe Issa, anayekadiriwa kuwa na umri zaidi ya miaka 90, ambaye aliwahi kutishia kuigeuza gesi kuwa maji iwapo serikali itaendelea kulazimisha kusafirisha kwenda Dar es Salaam, sasa hajulikani alipo.
Taarifa zilizoifikia MTANZANIA Jumapili ambayo ipo mkoani Mtwara, zilidai kuwa bibi huyo baada ya kutoa tishio hilo sasa amefichwa, ili asiweze kutekeleza lengo lake hilo.
Bibi Somoe, anayeaminika kama Mkuu wa Kaya ya Msimbati, kijiji ambacho gesi asilia iligundulika, sasa hajulikani alipo, huku ndani ya kijiji hicho ulinzi mkali ukiwa umeendelea kutawala.
Ulinzi umeimarishwa katika kijiji hicho, lengo likiwa ni kuhakikisha hakuna mtu anayefika karibu na nyumba aliyokuwa akiishi bibi huyo.
MTANZANIA Jumapili, lilifika katika kijiji hicho juzi, ambako liliweza kuzungumza na Mwenyekiti wa Kijiji cha Msimbati, Salum Athuman Tostao, ambaye alikiri kuwa bibi huyo hayupo na wala...

LANGA - RAFIKI WA KWELI (OFFICIAL VIDEO) [HD]

MSICHANA WA MIAKA 19 ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUMTUPA MTOTO WA SIKU 10 SINGIDA.

 Singida ACP.Geofrey Kamwela a Kamanda mpya wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP.Geofrey Kamwela akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya kukamatwa kwa Aziza Jumanne (19) mkazi wa kijiji cha Sughana jimbo la Singida kaskazini kwa tuhuma ya jaribio la kuuwa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa siku kumi.(Picha na Nathaniel Limu).
 Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia mkulima Aziza Jumanne (19) mkazi wa kijiji cha Sughana tarafa ya Mgori jimbo la Singida Kaskazini, kwa tuhuma ya jaribio la kumtupa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa siku 10 kwa lengo la kumuua.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida Geofrey Kamwela, amesema kuwa tukio hilo la aibu na la kusikitisha, limetokea Juni 12 mwaka huu saa nane mchana kweupe katika kijiji cha Sughana.
Amemtaja mtoto huyo mchanga wa kiume aliyetupwa na mama yake kuwa ni Akramu Alfa.

Kamwela amesema siku ya tukio mama yake mkubwa na mtuhumiwa Mariamu Ramadhanai alipata wasi wasi baada ya kutomwona Aziza akiwa muda mrefu bila kuwa na mtoto wake mchanga.
Amesema “kutokana na wasi wasi huo, Mariamu aliweza kuita majirani kwa ajili ya kumhoji Aziza alikompeleka mtoto wake mchanga.
Baada ya kumhoji Aziza aliweza kufunguka na hivyo kwenda kuonyesha mtoto wake shambani alikomtupa na bahati nzuri, walikikuta kichanga hicho bado ki hai”.
Kamanda huyo amesema kuwa uchunguzi wa awali unaomyesha wazi kuwa Aziza ametenda kosa hilo baya baada ya kutekelezwa na mwanaume aliyempa mimba na kumzaa Akramu.
Hili ni tukio la pili ndani ya mwezi moja na nusu kwa watoto kutupwa na mama zao kwa lengo la kuwaua.
Mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu, inadaiwa mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu tawi la mkoa wa Singida, alimtupa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miezi mitano kwenye pagala la nyumba.
Kwa mujibu wa Kamanda Kamwela hadi sasa mzazi huyo hajulikani alikokimbilia na mama yake mzazi kutoka Babati alifika ili amchukue mtoto huyo aliyetekelezwa, lakini hakuweza kukabidhiwa kwa madai hakuna ushahidi wa kuonyesha amezaliwa na mtoto wake aliyekuwa akisoma uhasibu.

Bagamoyo Art Institute Wins EA Centre of Excellence Status

Bagamoyo Institute of Artisan Culture (TASUBA) has been accorded the East African Centre of Excellence status, the National Assembly was told here.
TASUBA was among four Tanzanian training institutions that had qualified to be accorded the East African Centre of Excellence status. Bagamoyo Art Institute Minister for East African Cooperation Samuel Sitta said when moving in the Parliament the 2013/14 revenue and expenditure estimates for the ministry named other institutions as Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), Moshi University of Cooperatives and Business Studies (MUCCOBs) and Mweka Wildlife College.
He said EAC Partner States have agreed to appoint one among the qualifying institutions as the first centre of excellence to be facilitated by the Community. In this regard, Sitta said, Tanzania has appointed TASUBA.

He also said that the ministry in collaboration with stakeholders in Arts and Culture, coordinated and participated in the festival on Arts and Culture of East Africa called ‘Jumuiya Afrika Mashariki Utamaduni Festival’ (JAMAFEST).

The festival was held in February this year in Kigali, Rwanda. Sitta said during the festival, Tanzania was able to promote herself and build relationship with people from other partner states.

Moreover, he said, participants were able to sell cultural and artistic ware like apparel and Kiswahili books, decorations and handicrafts.
Partner States have agreed to appoint one among the qualifying institutions as the first centre of excellence to be facilitated by the Community. In this regard, Sitta said, Tanzania has appointed TASUBA.

He also said that the ministry in collaboration with stakeholders in Arts and Culture, coordinated and participated in the festival on Arts and Culture of East Africa called ‘Jumuiya Afrika Mashariki Utamaduni Festival’ (JAMAFEST).
The festival was held in February this year in Kigali, Rwanda. Sitta said during the festival, Tanzania was able to promote herself and build relationship with people from other partner states.
Moreover, he said, participants were able to sell cultural and artistic ware like apparel and Kiswahili books, decorations and handicrafts.