Tino Muya anapata wakati mgumu baada ya kugundua kuwa mtoto wake anaalama ya SINGLE ZERO inayomtambulisha kuwa ni mmoja kati ya watoto watatu waajabu wanaowindwa wauwawe ili wasizuie maangamizi ifikapo 2015...
The Woody Show - Will and Jade Smith Interview
Father-son Hollyweird acting duo Will and Jade Smith recently visited the "The Woody Show" in Bangkok, Thailand to promote their latest film "After Earth."
During the interview "The Woody Show" host Woody Milintachinda asked Will to show him something he's never done on television
During the interview "The Woody Show" host Woody Milintachinda asked Will to show him something he's never done on television
MZEE KILEO, BABA YAKE LANGA AMETHIBITISHA KAMA MWANAE LANGA AMEFARIKI, TARATIBU ZA MAZISHI ZITATOLEWA BAADA YA VIKAO VYA FAMILIA
Baba wa marehemu Mzee Kileo amesema kuwa mtoto wake Langa kwenye picha amefariki dunia leo majira ya saa 10 katika hospitali ya Taifa Muhimbili.Taarifa kamili na mipango ya mazishi zitatolewa pale vikao vya familia vitakapofanywa.Pia baba yake alisema msiba huu umetokea wakati mama yake Langa hayupo Tanzania,alisema kwa sasa mama yake Langa yupo Marekani lakini baada ya kupewa taarifa hizo tayari ameshakata tiketi ya kurudi Tanzania na ataanza safari kesho.Msiba uko nyumbani kwao maeneo ya Mikocheni #RIP.Imetolewa na Dj Choka
Matano Kuhusu King GK na DSTV
Kwenye backstage ya KTMA 2013 kwenye Exclusive interview, GK amezungumza mambo matano makubwa kuhusu yeye na muziki wake.
1. Baada ya ukimya wa zaidi ya miaka mitano, single yake mpya ya kurudi kwenye game rasmi inatoka kwenye kipindi kisichozidi mwezi mmoja kutoka sasa.
2. Uhusiano wake na Mwana FA na Ay uko poa kwa sasa.
3. Mpaka sasa amesharekodi nyimbo mpya zisizopungua sita zikiwemo kolabo ambapo Ay na Mwana FA wameshirikishwa.
4. East Coast bado ipo na itazidi kuwepo.
5. Hawezi kutaja tarehe rasmi ya kurudi kwa sasa kwa sababu anataka iwe surprise.
Kauli kama hizo kutoka kwa GK ni good news kwa kila shabiki anaemfahamu baada ya miaka mingi ya ukimya wa East Coast, ambayo ilianza kuwa kimya baada ya mastaa kadhaa kuanza kujiondoa kutokana na kutofautiana wakiwemo Ay na FA.
GK alikua mmoja wa wageni walioshiriki kukabidhi tuzo kwa washindi mbalimbali wa KTMA 2013.
DSTV
GARI INAUZWA! TOYOTA GLANZA TURBO BEI ni SH. MILIONI TANO!

Toyota Glanza Spot (Turbo Charger) Inauzwa kwa sh.milioni tano tu .Gari ipo ipo Dar es Salaam .Piga Simu 0714604974 or 0684885441 kwa mawasiliano zaidi..

Balotelli’s Engagement Is Confirmed With A £100,000 Engagement Ring
Mario Balotelli’s girlfriend Fanny Negeusha has appeared to confirm their engagement by posting a picture of herself wearing a dazzling diamond ring on her Instagram page.
According to reports, the 22-year-old footballer popped the question with the £100,000 (N250 Million) jewel this weekend.
Belgian model Fanny later confirmed the news by posting a picture of the diamond, alongside the caption: ‘It’s official!’Fans were quick to post their congratulations to the couple both in English and French following Fanny’s post. Mario and Fanny, who started dating six months ago, are now said to be putting plans for the lavish ceremony in action.
The pair had apparently spoken about getting married before, but the timing hadn’t been right.
However, now the pair are planning to take a luxury holiday in the near future to discuss details for their big day.
The engagement comes after the pair split briefly last month following allegations that Mario had made lewd comments about his model girlfriend.
Mario spoke of his love for Fanny during a magazine interview earlier this year, saying: ‘In a short time she found herself in sync with me. I could spend my whole life with someone like this.’ The footballer had previously been in a relationship with 25-year old presenter Raffaella Fico who claims her four-month old child Pia is his daughter.
Mario reportedly denies the fatherhood claims, and has asked for a paternity test to prove it before he sees the baby.

Sikiliza Kauli ya Ubalozi wa Tanzania Kuhusu Mtanzania Anaedaiwa kutaka Kunyongwa Egypt
Namkariri akizungumza
1. Ni kweli kuna raia wawili Watanzania wamekamatwa na dawa za kulevya ambao ni Mbarak Abdallah Salim (28) na Sharifa Mahmud (27) wakazi wa Magomeni Kagera Dar es salaam, wanaundugu wa mtoto wa shangazi na mjomba.
2. Walikamatwa tarehe 16 May 2013 wakati wakiingia Misri, kwa mujibu wa maelezo safari yao ilianzia Dar es salaam kwenda Mombasa, Nairobi mpaka Misri.
3. Dawa za kulevya walizokamatwa nazo zimetajwa kwamba ni Heroine kilo saba.
4. May 18 2013 ndio tuliitwa kwenda kutazama Raia wetu, nikatuma maafisa wawili wazuri kwenda kutazama ili raia wetu wasimbambikiwe kesi.
5. Baada ya hapo waliwekwa rumande na tukapata nafasi ya kuwaunganisha na nyumbani huku Tanzania wakaongea kwenye simu kilichowapata.
6. 26 May 2013 ndio walipelekwa Mahakamani kwa mara ya kwanza na kurudishwa rumande wote wawili.
7. Hawa ndio Watanzania wa kwanza kukamatwa na kesi kama hii na ikithibitishwa wamefanya kweli, hili kosa ndilo litakua doa la kwanza kwa Tanzania hapa Misri.
8. Ishu ya kunyongwa, tunajaribu kufanyia kazi lakini hakuna kumbukumbu za mgeni yeyote kwa sisi tunavyojua ambae amewahi kunyongwa kuhusu ishu ya dawa za kulevya.
9. Tunajitahidi kuwasiliana na mamlaka zinazohusika ili kujua siku gani watapelekwa tena Mahakamani alafu tutawafahamisha nyumbani. Kwa ushahidi unaweza kumsikiliza balozi hapa chini na pia kutazama video hapo chini ya ushahidi wa kukamatwa na dawa za kulevya…
All the News About my Renewal with Real Madrd are False: Cristiano Ronaldo
Sakata la usajili wa mchezaji Cristiano Ronaldo limezidi kupamba moto - wakati taarifa kadhaa kutoka barani ulaya zikisema kwamba Ronaldo anatarajia kusaini mkataba mpya na Real Madrid huku wengine wakisema yupo njiani kurejea Manchester United - leo hii mapema mchana Cristiano Ronaldo alitumia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter kukanusha taarifa zote zinahusu kuongeza mkataba wa kuichezea Real Madrid. Hata hivyo Ronaldo ameendelea kukaa kimya kuhusu taarifa za kutaka kurejea United.
Kwa wiki kadhaa taarifa za kurudi Man United kwa ada ya uhamisho wa paundi millioni 65 zimekuwa zikisambaa huku Raisi wa Madrid Florentino Perez akisisitiza anataka kumbakisha Cristiano kwa gharama yoyote.

NI KWELI LANGA AMEFARIKI DUNIA LEO!??
TAARIFA ILIYOTUFUKIA CHUMBA CHA HABARI, INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYADA LANGA KILEO A.K.A LANGA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA.
LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.
TAARIFA KAMILI YA UHAKIKA ITAKUJA
LANGA AMBAYE INADAIWA KUWA ALIPATWA NA MALARIA KALI SANA HALI ILIYOPELEKEA KUKIMBIZWA HOSPITALI SIKU YA JANA.
TAARIFA KAMILI YA UHAKIKA ITAKUJA
Subscribe to:
Posts (Atom)