Pages

Kali TV Online: This week, Meet Fredinah Peyton a.k.a Rah P

Kali TV visited Houston Texas and met with Fredinah Peyton a.k.a Rah P. Rah P was one of the promising female hip hop artist to come from Tanzania. Rah P explained to Kali TV what happened to her career and plans she has on the future.

UK Government to Make Mau Mau Apology

The UK government is to apologise and pay compensation to those tortured during the Mau Mau uprising in Kenya in the 1950s, the BBC understands. http://news.bbcimg.co.uk/media/images/63314000/jpg/_63314761_q322z9qw.jpg
Foreign Secretary William Hague is expected to announce compensation in the region of £14m ($20m).
More than 5,000 Kenyans say they were mistreated - some through torture - by the British administration in the 1950s.
Their lawyers allege Mr Nzili was castrated, Mr Nyingi was severely beaten and Mrs Mara was subjected to appalling sexual abuse in detention camps during the rebellion.
After the ruling, the case went back to the High Court to consider a claim by the UK Foreign and Commonwealth Office (FCO) that the actions had been brought outside the legal time limit.
The FCO said it had faced "irredeemable difficulties" in relation to the availability of witnesses and documents.
But in October last year, the court ruled the victims had established a proper case and allowed their claims to proceed to trial despite the time elapsed.
At the time, the lawyer for the three claimants said they would be pressing for a trial "as quickly as possible" but they would also be pushing for the government to reach an out-of-court settlement.
The Mau Mau, a guerrilla group, began a violent campaign against white settlers in 1952. The uprising was eventually put down by the British colonial government.
The Kenya Human Rights Commission says 90,000 Kenyans were executed, tortured or maimed, and 160,000 people were detained in appalling conditions.

Makamba Kuburuzwa Mahakamani

January Makamba
Sakata la naibu wazir January Makamba limechukua sura mpya kulikoni tuungane na Nipashe kwa taarifa hiyo .
Chama cha Wakuluma wa Chao Usambara (Utega) kimeazimia Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, apelekwe mahakamani kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi kuvamia na kufanya uharibifu kwenye kiwanda cha kusindika chai cha Mponde kilichopo wilayani Lushoto mkoani Tanga.
Uamuzi wa Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli umefikiwa katika kikao cha bodi ya kiwanda hicho kilichokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita kujadili uasi uliofanywa kiwandani hapo.
Mwenyekiti wa chama hicho, William Shellukindo, alisema jumatano jijini Dar es Salaam kuwa Makamba atakuwa mtuhumiwa namba moja.
“Tumeazimia kumfikisha mahakama ili tupate haki yetu kwani watu hao aliowahamasisha na kuvamia kiwanda chetu si wanachama wa Utega ni wahuni na Makamba hajui historia ya...

ITV Habari: Mwili wa Albert Mangwea Wasafirishwa Morogoro...(Video)

Mwili wa aliyekuwa msanii wa kizazi kipya Albert Mangwea umeagwa jijini Dar es Salaam leo na kusafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa maziko hapo kesho.

Video ya Ushahidi wa Madawa ya Kulevya Aliokamatwa Nayo Msichana wa KiTanzania Egypt, Inasemekana Atanyongwa.

Tanzani Egypt

Did You Know? Stephen Fry Tried to Commit Suicide Last Year with a Large Number of Pills and Vodka!

Stephen Fry Stephen Fry has revealed he had to be brought back to the UK to be “looked after” last year after attempting suicide while filming abroad.
In an interview for Richard Herring’s Leicester Square Theatre Podcast, Fry said: “I took a huge number of pills and a huge [amount] of vodka.”
The actor revealed his producer found him in an “unconscious state”.
Fry, who has bipolar disorder, has discussed his struggle with mental health issues in the past.
During the recording with Herring, in front of a live audience at the central London theatre, Fry said it was the first time he had said in public that he is “not always happy”.  “I am the victim of my own moods, more than most people are perhaps, in as much as I have a condition which requires me to take medication so that I don’t get either too hyper or too depressed to the point of suicide.”
Convulsions
Fry revealed the incident took place in a hotel room, adding the mixture of drugs and alcohol “made my body convulse so much that I broke four ribs”.  “It was a close run thing,” he said.
“Fortunately, the producer I was filming with at the time came into the hotel room and I was found in a sort of unconscious state and taken back to...

Official Trailer for Plants vs. Zombies™ 2: It's About Time!

The first official trailer for Plants vs. Zombies™ 2: It's About Time! The awesome sequel to the hit game Plants vs. Zombies will be released in July 2013, exclusively for iPad, iPhone and iPod touch on the App Store.

Matumizi sahihi ya Dabo indiketa, gia L,2,3 na O/D katika gari za Automatic

Dabo indiketa inashauriwa itumike wakati una dharula kubwa mf: Ajari au gari Mbovu maana lengo lake ni kuwataarifu madereva wenzako kuwa gari yako inatatizo so wapite kwa uangalifu zaidi lakin utakuta wengi wetu tunatumia visivyo mf; katika kupita njia panda au ukipaki pembezoni mwa barabara. Pia niongezee kuna ambao aki over take gari anawasha indiketa ya kulia (hiyo sawa kabisa ila sasa unapotaka kurudi upande wako wa kushoto hunahaja yak u indiketa tena unless kama kuna gari nyuma yako na iko jirani sana sioHata uko pekee yako unawasha indiketa tu.
Katika gari za Automatic kuna gia za L, 2, 3 na O/D
Kwanza ujue kabisa katika hali ya kawaida gari yako inapaswa kuwa katika D kwa maana ya Drive na hii inategemeana na mazingira ya barabara na hali yali ya hewa kama ni nzuri ila 2, 3 hutumika tu pale unapokuwa either unashuka au unapanda mlima/mteremuko mkali sana na mrefu mf’ sekenke na unataka ushuke au upande kwa speed ile ile ila isizidi 40/60 basi ndo unaruhusiwa kutumia 2, 3. Namba 2, 3 na L inamaana kuwa ina inalock gear box ili gear zisibadilike (-/+) kama ambavyo zinabadika ukiweka D na itambulike kuwa unaweza kubadili toka D kwenda 2 au 3 wakati wowote gari inapokuwa katika mwendo ila hakikisha usiwe speed zaidi ya 40/60 maana kinachofanyika ni kwamba D inasababisha sahani (disks) zilizomo ndani ya gearbox kufanya gazi nah ii upelekea ile hydrolic iliyomo kupata joto linalotoka katika zile sahani ambalo joto lile husababisha gear box kutokuwa na nguvu ile ile (constant velocity) na ndo maana ukiweka 2, 3 au L gear box inakuwa kwenye lock na sahani hazisuguani maana inakuwa inatumika sahani/disk moja tu kwa hiyo inasaidia ile hydrolick kupoa pia na ndo maana gari huongeza nguvu kwa ghafla. L inatumika pale unapokuwa either umekwama au unavuta gari jingine au tera ila inapaswa itumike kwa muda mfupi sana maana inanguvu sana na pia inaongeza ulajo wa mafuta, so kama ukiishatoka katika mkwamo na unaona bado barabara si nzuri labda utelezi au unavuta mzigo kwa mwendo mrefu basi unaweka 2 au 3 na wakati huohuo unaweza kuweka hata D kama hali ya njia na mzigo vinaruhusu na unaweza kuongeza walau speed 40/60 au zaidi kama utaweka D. kwa maana rahisi zaidi kwamba 2,3,na L inafanya kazi kama gari ya Manual nah ii inakuwa rahisi kwa yeyote ambaye anafahamu kuendesha manual.

Over Drive inatumika pale gari inapokuwa speed zaidi ya 60/80 kutegemeana na aina ya gari na hili hutokea bila wewe kujua maana gari yenyewe ndo inafanya nan do maana unashauriwa iwe on muda wote kusudi gari ichague ni wkati gani iweke on au of maana uukiwa chini ya 60/80 hata kama umeweka on bado inakuwa haifanyi kazi.

Cha mwisho ndugu zangu ni kwamba OD unaweza kuitumia kama break/stop engine hasa unapokuwa zaid ya 80 na wakati huo iko ON yaan katika dashboard taa ya OD izime ikiwaka maana yake iko OFF, basi ili upunguze mwenda kwa haraka unachofanya ni kuweka OFF na wakati huo unakanyaga break taratibu utaona mwenyewe gari lako linavyopunguza mwendo tartibu na wakati mwingine si lazima ukanyage break, we iweke OFF tu halafu toa mguu katika pedal ya mafuta gari lazima li slow down na kama lilikuwa ni tuta na umeliisha lipita basii iweke tena ON ongeza mafuta auu unaweza kuweka 2 au 3 ili gari ianze kwa kasi zaidi na ikiisha changanya basi rudi kwenye D na endelea kama kawaida.

Tahadhari: never ever kata kona wakati uko speed kubwa na gear namba tano (Kwa manual) au rpm iko 3000 Kwa automatic hii husababisha kupitiliza maana gari inakuwa nyepesi sana. Hakikisha ume slow down mpaka gia namba nne na break kidogo na Kwa autimatic either uweke 2 au 3 ila lazima weka OD off na break kidogo

Sijui kama ntakuwa nimeeleweka maana Kiswahili na lugha yetu ila mmh …!

17th East Africa Int’l. Trade Exhibition 2013

Trade Exhibition 2013