Pages

Mkali wa Vodacom

Je, unajiamini kuwa na kitu kinachokufanya uwe mkali mtarajiwa? Vodacom inatafuta mtangazaji mpya wa kipindi cha TV kitakachoanza hivi karibuni. Soma namna ya kushiriki na unaweza kuwa mmoja ya watangazaji wa kipindi hiki.
Kazi ni kwako.
Mkali wa Vodacom

RAMA MLA WATU AACHIWA HURU.!!

Ramadhani Selemani Mussa
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeamua kumuachia huru Ramadhani Selemani Mussa ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kukutwa na kichwa cha mtu. Rama, ambaye muda wote huo alikuwa rumande gereza la Segerea akisota kusubiri hukumu yake, alikamatwa hospitali ya Muhimbili mwaka 2008 ambapo pia alikiri kuwa alikuwa na tabia ya kula nyama za watu ambayo amefundishwa kichawi toka alipokuwa mdogo. Mahakama imemuachia huru kwasababu mtuhumiwa alitenda kosa hilo pasipo kuwa na akili timamu. Hata hivyo mahakama hiyo imetoa agizo la kuendelea kumuweka kijana huyo katika hospitali ya wagonjwa wenye matatizo ya akili, hospitali ya Isanga iliyopo Dodoma mpaka pale atakapona ndipo aruhusiwe kurudi mtaaani.habari kutoka karibu ndani

Thug Life The Reality: Part 1&2 (Video)

Former rap star Napoleon, who is now known as Mutah Beale, converted to Islam in 2001. At the height of his fame he had the worldly life laid out for him, and with his friend Tu-Pac Shakur and the rap group Outlawz, they sold millions of records and became famous all over the world.
His life however was that of a gangster, it was a lifestyle with drugs, women, and murders common place in his environment. As a practising Muslim he now educates the youth about the harms of gangs, drugs and shows them that life style is not the way to success
Part 2

Idadi ya Watu Waliofariki Kwenye Vurugu Mtwara (Video)

Idadi ya watu waliokufa kwenye vurugu za mkoani Mtwara za kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar es Salaam imefikia wawili akiwemo mama mjamzito huku baadhi ya wakazi wa mkoa huo wakiwemo akinamama na watoto wakiyakimbia makazi yao kuogopa mabomu na kukimbilia hospitali ya rufaa ya Ligula kunusuru maisha yao.

POLISI ALIEKAMATWA NA GUNIA ZA BANGI ATOKOMEA KIZANI NA WALE WALIOKAMATWA NA FUVU NAO VILE VILE!

Arusha ASKARI Polisi Koplo Edward, Na Eliya Mbonea, Arusha ASKARI Polisi Koplo Edward, anayedaiwa kusafirisha dawa za kulevya (bangi) gunia 18 ametoroka chini ya ulinzi wa askari polisi saba na kutokomea kusikojulikana. Mtuhumiwa huyo, alikuwa dereva wa gari aina ya Toyota Landcruiser namba PT. 2025 la Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoa wa Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, aliwaambia waandishi wa habari ofisini kwake jana, kwamba askari huyo akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi saba, walikwenda nyumbani kwake kwa ajili ya ukaguzi.
Alisema wakiwa nyumbani kwa mtuhumiwa, waliingia ndani kuendelea na upekuzi, lakini katika mazingira ya kutatanisha aliwatoroka na kukimbia bila kufanikiwa kumkamata.
Alisema kutokana na hali hiyo, polisi mkoani Arusha limemkamata Inspekta wa Polisi Izaack Manoni aliyekuwa anasimamia upekuzi huo.
“Inspekta Manoni yupo chini ya ulinzi na hatua za kinidhamu dhidi yake zitachukuliwa,” alisema ACP Sabas na kuongeza:“Mtuhumiwa Edward, anayetafutwa kwa sasa alishafukuzwa kazi, akipatikana atafikishwa mahakama ya kiraia kusomewa mashitaka ya kufanya biashara ya dawa za kulevya,” alisema.

Mei 18, mwaka huu saa 5 usiku eneo la Himo, polisi wa Kilimanjaro walikamata gari la polisi lenye namba PT 2025, likiwa limesheheni magunia 18 ya bangi likielekea Holili, karibu na mpaka wa Kenya.
Alisema tayari mtuhumiwa mwenzake ambaye ni askari polisi mwenye namba G. 2434 PC George, amesomewa mashitaka yake jana. Mbali na mtuhumiwa huyo, watuhumiwa wengine waliokamatwa na magunia 30 ya bangi wilayani Arumeru nao wamepandishwa kizimbani kusomewa mashitaka yao.
Taarifa kutoka eneo la Kwa-Morombo ilipo nyumba ya mtuhumiwa aliyetoroka, zilidai baada ya kufika nyumbani kwake, askari saba waliiongozana naye walimuamini na..

MOURINHO AGREE 4-YEAR POUND 250,000-A- WEEK CHELSEA DEAL

Mourinho
And in case you missed it! Mourinho agrees 4-year deal with Chelsea. Jose Mourinho will move to Chelsea on a four-year contract. Mourinho's split from Real Madrid was confirmed this week. The Daily Star says he will fly to London on June 2 – and sign a four-year contract at Chelsea worth £250,000 a week. Mourinho will jet in the day after his final game in charge of Real Madrid to seal his mega deal. That is a commitment of around £50m from owner Roman Abramovich for the second coming of The Spe

The Words of Woolwich Attack Suspect Michael 'Mujahid' Adebolajo (Video)


.."We must fight them. I apologise that women had to witness this today, but in our land our women have to see the same. You people will never be safe. Remove your government. They don't care about you."....

The 10 Most Powerful Women In The World 2013

Melinda Gates, Hillary Clinton, Sheryl Sandberg and Beyonce are all featured on Forbes‘ 2013 ranking of the World’s 100 Most Powerful Women. This is the 10th annual look at the heads of state, CEOs, entrepreneurs, philanthropists, celebrities and billionaires who truly matter most. Watch the video below as Forbes contributors Caroline Howard and Clare O’Connor discuss these women of power.

Waliomwagia Tindikali Sheha wa Shehia ya Tomondo Wachukuliwe Hatua

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi amelaani kitendo cha kumwagia tindikali sheha wa Shehia ya Tomondo Mohamed Omar Said na kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka na kuwakamata waliohusika na kitendo hicho.

New Kigali City, RWANDA "Quick View" Video 3D Animation

The New Kigali City Master Plan gives a detailed account of the design and structure of roads and structures in the city. In doing so, it set the stage for the Kigali conceptual Master Plan, which in turn outlines the designs, strategies and actions that will guide Kigali planners and citizens into future more detailed District Plans and implementation