Pages

Blog Zote za Tanzania Sasa Zinapatikana Ndani ya Blog Moja (Directory) Inaitwa Bongo Blogs

Tanzania Directory 
Acha kuzunguka blog kibao bila kupata habari uliyokua unaitafuta,  Blog ni moja tu Bongo Blogs ndio unatakiwa kukumbuka halafu nyinginezo zooote utazipata ndani yake (Bongo Blogs) bofya link..
 >> Bongo Blogs
 http://bongoblogs.blogspot.com
Blog yako ya Taifa

Video ya Mrisho Mpoto: Ukiona Mwenzako Amechukua Kijiti Usilalamike Kwenye Media, Jipange..!

Facebook - How Do They Do It

Ever wondered how Facebook stores all that data for 1 in 7 of the worlds population !!!
Nope... neither did I...
Anyway here's how it's done if you really wanted to know.

Diamond Kulamba Deal la Miito ya Simu (Caller Tune) Uingereza!

Makampuni ya Simu, WAKATI baadhi ya wasanii wakijitoa katika mikataba ya kuuza miito ya nyimbo zao kwenye Makampuni ya Simu, Msanii maafuru ndani na nje ya nchi Naseeb Abdul Diamond amekuwa msanii wa kwanza kupata mkataba wa kuuza nyimbo zake kwenye miito ya simu nchini Uingereza.

Diamond ambaye ndiye msanii pekee wa bongo fleva anaelipwa pesa nyingi nchini kutokana na mauzo ya nyimbo zake katika miito ya simu( caller tune), amesema kwamba miito hiyo ya simu itaongeza mauzo ya kazi zake na kwamba watanzania wanaoishi nchini humo pia watapata fulsa ya kusikiliza nyimbo zake kila wakati.

Mwanamuziki huyo wa Bongo Fleva amepata dili hilo kubwa la kuuza miito hiyo ya simu na kuwa msanii wa kwanza nchini kujipatia kitita kikubwa cha fedha kupitia nyimbo zake(caller tune) Nchini Uingereza. Dili hilo limeonyesha kumfurahisha sana Diamond kwani tayari anaamini kuwa kazi anayoifanya ni nzuri na naweza kusikilizwa na watanzania waishio Uingereza na Waingereza pia kwa kununua miito ya simu wakiwa nnchini humo. Msanii huyo anajivunia suala hilo kwa sababu itawezesha watanzania waishio nchini Uingereza kupata nyimbo zake kwa wakati unaotakiwa tofauti na ilivyo sasa.
Diamond Platinum ambaye hivi karibuni alikumbwa na kashfa ya kudanganya umma kuwa mpenzi wake wa sasa ambaye ni mtangazaji wa Runinga katika kituo cha DTV Peniel Mungilwa 'Penny' ni mjamzito wa miezi mitatu alikuwa nchini humo kwa ziara ya kisanaa.
Hata hivyo mwana dada huyo alikanusha taarifa hizo na kudai kwamba hana ujauzito wa msanii huyo na kwamba hajawai kubeba ujauzito wake.

Happy Mother's Day to All Mothers in The World

Happy Mother's Day
A Mother loves right from the beginning star. she holds her baby close to her heart. the bond that grows will never falter. her love is strong it will never alter. a mother gives never ending love. she never feels that she has given enough. for u she will always do  her best. give ur mother a day to have some peace of mind be gentle, be good, be helpful and be kind.
Happy mothers day to all mothers in the world.
From DarSlam Team

Jakaya Mrisho Kikwete wa Enzi Zileee

Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akionekana katika Sare zake za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Picha hii inatajwa kupigwa Mwanzoni mwa Miaka ya 80 wakati huo Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Jeshini.

Paul Scholes Announces His Retirement

In Search of Gandhi (Swahili video)

Why Democracy Presents: In Search of Gandhi (Kiswahili)
In the early decades of the twentieth century Mahatma Gandhi's legacy of non-violent revolution or Satyagraha inspired a mass movement of millions of Indians to rise up against the British colonial state and successfully agitate for the establishment of a democratic and free India. In 2007, the country is preparing to celebrate the sixtieth anniversary of its existence as an independent nation. But what kind of a democracy does India have today? What does it actually mean to live in the world's largest democracy? In road-movie style the film crew travels down the famous trail of Gandhi's salt march, the remarkable mass campaign that galvanized ordinary Indians to join the non-violent struggle for democracy and freedom almost a century ago. Stopping at the same villages and cities, where Gandhi and his followers had raised their call for independence, the film documents the stories of ordinary citizens in India today. Although inspired by a historical event In Search of Gandhi is not a journey back in time. Instead it is a search for the present and future of democracy in India.

Imran Khan - Satisfya (Official Music Video)

Vote For FID Q KTMA 2013

Vote For FID Q KTMA 2013