Pages

Kipanya Leo

Kipanya

Romeo Rommy Jones Kuiwakilisha Tanzania Ndani ya Jengo la Big Brother South Africa!?

Big Brother lililopo Africa kusini
Rumors mtaani zina tiririka kwamba eti aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndo mtanzania atakayetuwakilisha katika reality tv show maarufu barani africa inayoitwa Big Brother Africa 2013 itakayoanza tarehe 25 mwezi huu wa May, baada ya taarifa hizo kufika mezani kwa muhariri wa gazeti la makorokocho ikabidi nijaribu  kutafuta ukweli wake, nilicheki na Rommy Jones alikanusha ila kwa haraka haraka ukanushaji wake una kitu ndani, siku ishia hapo nikacheki na Afisa Mahusiano wa Multi Choice Tanzania Bibie Babra Kambogi yeye hakukanusha wala kukubali, zaidi akasema jina la mwakilishi wa Tanzania ni siri na siri hiyo itakuja kufichuka Tarehe 25 May 2013, ambapo tutaweza kujionea Live mshiriki huyo akiwakilisha ndani ya Jumba la Big Brother lililopo Africa kusini

Small Business Success: iCracked

See how two young entrepreneurs started a business of fixing broken iPhone screens and created more than 100 jobs through the help of Alibaba.com

TMK Wanaume Halisi - Fitina (Audio)

TMK Wanaume Halisi - Fitina

Chris Brown – I Can’t Win (Audio)


MWENYEKITI WA BARAZA LA MITIHANI - (NECTA ) ANADAI KUWA HAYUKO TAYARI KUYABADILI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE -2012

Prof.Mukandala Kuna tetesi kwamba Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amegomai kubadili matokeo ya Kidato cha Nne- 2012.

Chanzo cha karibu cha Prof.Mukandala kinadai kuwa mara baada ya kutolewa taarifa ya Serikali inayotaka 'kuboreshwa' kwa matokeo hayo,Prof.Mukandala ameonesha kukataa amri hiyo hadi sasa.
"Sisi tulipitisha matokeo hayo mbele yao na kwa idhini yao.Iweje leo Baraza libadili matokeo?.Tunafanya hivi kwa faida ya nani na kwa ustawi wa elimu ya wapi?" alinukuliwa akihoji Prof.Mukandala.
Habari za kuaminka zinadai kuwa Prof.Mukandala pamoja na Katibu Mtendaji Dr.Joyce Ndalichako wanajiandaa kuachia ngazi kama Serikali itasimamia uamuzi wake huo.

Hata hivyo, siku za hivi karibuni mwanahabari wetu alizungumza na Ofisa Habari wa NECTA, John Nchimbi ambaye alisema wamekwishapokea maelekezo kwa barua na kufanyia kazi ili kujitahidi ndani ya muda mfupi matokeo yawe yametoka.
Nchimbi alikiri kuwapo kwa kasoro katika matumizi ya mfumo huo mpya wa usahihishaji, kwani hawakushirikisha wadau wengi kabla ya kuanza kutumia, lakini lengo la Baraza lilikuwa jema katika kukuza elimu nchini
“Kutokana na tangazo hili, wanafunzi hawa wote hawana matokeo tangu juzi ( yalipofutwa bungeni ), hivyo wasubiri matokeo mapya yatakayotangazwa, na waelewe wazi kuwa si lazima waliofeli wafaulu wote,” alisema Nchimbi.
 Freebongo

Nikki Mbishi - Ney Wa Mitego (Audio)

Nikki Mbishi - Ney Wa Mitego

Alex Ferguson Retires as Manchester United Manager

Alex Ferguson
Manchester United manager Alex Ferguson is retiring after more than a quarter of a century at the helm, thesoccer club announced Wednesday.
The 71-year-old Scot has managed the English club — which is listed on the New York Stock Exchange and has millions of fans around the world — since 1986.

During more than two decades at the helm, Ferguson has won more than 30 trophies, including 13 league championships and two Champions League wins.
Tanzania Sports

PRESIDENT JAKAYA KIKWETE PRESS CONFERENCE IN ARUSHA AFTER CHURCH BOMBING

President Jakaya Mrisho Kikwete talks to the press at the Kilimanjaro International Airport in Arusha after visiting the bombed church at Olasiti, consoled families of victims who died from the blast and visited the injured admitted at St Elizabeth and Mount Meru Hospitals in Arusha May 7, 2013

DJ Simple K on The Mix. Muungano Day

DJ Simple
DJ Simple
DJ Simple K
DJ Simple K
Reggae and dance hall finest Dj...Dj simple do what he does....Shout out to ya boy!!!