Pages

Ariel Castro Appears in Court Where He Pleads Not Guilty Despite ‘Confessing’ to Abductions and Rape

The man accused of imprisoning three women for about a decade in the US city of Cleveland has made his first court appearance.
Wearing a navy blue prison jumpsuit and with his head bowed throughout, Castro was arraigned on four counts of kidnapping and three counts of rape this morning. He pleaded not guilty
Wearing a navy blue prison jumpsuit and with his head bowed throughout, Castro was arraigned on four counts of kidnapping and three counts of rape this morning. He pleaded not guilty
Ariel Castro, 52, is charged with kidnap and rape. He did not enter a plea.
Bail was set at $8m (£5.1m), meaning in effect that he will remain in custody.
The women were abducted at different times and held in Mr Castro’s house. One of those held, Amanda Berry, 27, escaped on Monday and raised the alarm.
The other women freed soon afterwards were Gina DeJesus, 23, and Michelle Knight, 32.
Mr Castro, handcuffed and dressed in blue overalls, remained silent and looked down while lawyers spoke to the judge.
The three Castro brothers, from left Onil, Pedro and Ariel, appeared in court this morning on separate charges
The three Castro brothers, from left Onil, Pedro and Ariel, appeared in court this morning on separate charges
The police detained two of Mr Castro’s brothers, Pedro and Onil, but later said they appeared to have no involvement in the crime.
They instead face misdemeanour charges of drinking in public. Onil Castro also faces an additional drug abuse charge.
Ariel Castro has put on suicide watch and will be kept in isolation, his court-appointed lawyer Kathleen DeMetz told reporters.
Police said the women could only remember being outside twice during their time in captivity, and were then only allowed into the garage.
Deputy police chief Ed Tomba said the women were not held in one room “but they...

Hukumu ya Sheikh Ponda na Wenzake!!!

 Sheikh Ponda Sheikh Ponda 
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam,imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za KiislamTanzania Shekhe Ponda Issa Ponda,huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru.Taarifa kamili za mambo yalivyoendeka mahakamani zitawekwa hapa punde zitakapopatikana.

Hasan Salaam - Musical Chairs feat. Baron from Red Clay (Video)

The concept behind Hasan Salaam's EP "Music Is My Weapon" is the belief that music can be used as a powerful tool in the pursuit of freedom, justice, and equality.

Three Emiratis Are Not Linked to Tanzania Church Bombing

Abu Dhabi: A top government official says three Emiratis have been wrongly linked to a deadly bombing of a church in Tanzania contrary to newswire reports out of the African country.
A government source told Gulf News, “Authorities in the UAE have received confirmations through official channels that the investigations undertaken by security in Tanzania showed no connection between the three Emiratis in question and the bombing, which took place at a church in Arusha city during a mass service.”

The source said that “the UAE is following up with the three Emiratis through diplomatic channels ever since they were taken in for investigations at a police station close to the bombing site. The UAE embassy is awaiting their arrival as soon as the case is closed and they are released”.
According to media reports, the three unidentified Emiratis were taken into custody following Sunday’s bombing when they tried to cross the border.

Five Tanzanian nationals were also arrested for the attack which killed three people and injured as many as 60.
Read more: GulfNews.com

Aliyemkamata Mlipua Bomu Kanisani Anane Mazito

Mlipua Bomu
Kijana aliyemkimbiza  hadi kumkamata mtu anayedaiwa kuhusika na kulipua bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, jijini Arusha Jumapili iliyopita na kuua watu 3 na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ameibuka.
Kijana huyo ambaye wakati akizungumza na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari jijini Arusha juzi alisahau kutaja jina lake, alisema kuwa shughuli ya kumnasa mtuhumiwa huyo haikuwa lelemama hata kidogo.
Alisema siku ya tukio baada ya bomu hilo kulipuliwa kanisani hapo, yeye alimwona mlipuaji huyo hivyo akaungana na watu wengine kumkimbiza.“Mtuhumiwa alikuwa akikimbia ujue, sisi tulimkimbiza bila kuogopa kama ana mabomu mengine kwenye mfuko. Alipoona hatukati tamaa, alifika kwenye shamba la miwa akajilaza, lakini mbwa waliokuwa na sisi walitusaidia sana,” alisema shujaa huyo.

Aliendelea kusema kuwa walipomdaka mtuhumiwa huyo walimkuta na mfuko wa rambo, walipochungulia ndani yake walishtuka, kumbe alikuwa na mabomu yaliyosalia!
Hata hivyo, alisema yeye na mabomu yake hawakumwachia na dakika chache wananchi wenye hasira kali walifika eneo hilo wakiwa na silaha za jadi wakitaka kumuua ndipo polisi walipofika eneo hilo na kumchukua mtuhumiwa huyo kwenda naye kituoni.

Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili walisema kijana huyo amekuwa staa ghafla, hivyo wakaitaka serikali kumfikiria kwani ameonesha kitendo cha kishujaa.
“Huyu kijana amekuwa staa ghafla aisee, kitendo alichokifanya ni cha kishujaa, si rahisi, serikali ingemfikiria kwa lolote,” alisema mtu mmoja aliyejiita Massawe na kuungwa mkono na wenzake. GPL

WANAJESHI WENGINE WA TANZANIA WAAGWA KWENDA NCHINI KONGO KUUNGANA NA WENZAO WALIOTANGULIA

Amiri Jeshi Mkuu Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania ( JWTZ), wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
------------
Wanajeshi wa Tanzania wanaokwenda kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wametakiwa kudumisha...
utamaduni wa askari wa kulinda amani wa Tanzania katika maeneo mbali mbali duniani kwa kuifanya kazi hiyo kwa heshima, nidhamu na utii ili kulinda heshima yao wenyewe na ile ya Tanzania.
Askari hao wamekumbushwa utamaduni huo wa askari wa kulinda amani wa Tanzania katika maeneo mbali mbali duniani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikuwa akiwaaga wanajeshi wa Tanzania wanaokwenda kulinda amani chini ya Umoja wa Mataifa katika DRC katika hafla iliyofanyika leo, Jumatano, Mei 8, 2012, kwenye Makao Makuu ya Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu la Tanzania yaliyoko Msangani, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Akizungumza na askari hao, Rais Kikwete amewaambia kuwa hana wasiwasi kuhusu...

C-Low Ft Yard Bash n Tammy - Side B (Official Video)

Kipanya Leo

Kipanya

Romeo Rommy Jones Kuiwakilisha Tanzania Ndani ya Jengo la Big Brother South Africa!?

Big Brother lililopo Africa kusini
Rumors mtaani zina tiririka kwamba eti aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndo mtanzania atakayetuwakilisha katika reality tv show maarufu barani africa inayoitwa Big Brother Africa 2013 itakayoanza tarehe 25 mwezi huu wa May, baada ya taarifa hizo kufika mezani kwa muhariri wa gazeti la makorokocho ikabidi nijaribu  kutafuta ukweli wake, nilicheki na Rommy Jones alikanusha ila kwa haraka haraka ukanushaji wake una kitu ndani, siku ishia hapo nikacheki na Afisa Mahusiano wa Multi Choice Tanzania Bibie Babra Kambogi yeye hakukanusha wala kukubali, zaidi akasema jina la mwakilishi wa Tanzania ni siri na siri hiyo itakuja kufichuka Tarehe 25 May 2013, ambapo tutaweza kujionea Live mshiriki huyo akiwakilisha ndani ya Jumba la Big Brother lililopo Africa kusini

Small Business Success: iCracked

See how two young entrepreneurs started a business of fixing broken iPhone screens and created more than 100 jobs through the help of Alibaba.com