Pages

Atupwa Jela Miezi 6 Baada ya Uchangudoa, Mchumba Wake Amwaga Machozi Hadharani

changudoa,
MREMBO Brandina Barthon (24), Jumatatu iliyopita alihukumiwa kwenda jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia kwenye kesi ya ukahaba iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Sokoine Drive (Jiji) jijini Dar.
Brandina alisomewa hukumu hiyo na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, William Mutaki ambaye alisema kutokana na ushahidi uliothibitika, mahakama hiyo inamhukumu kwenda jela miezi 6, ili liwe fundisho kwa wengine.
Hukumu hiyo ilimfanya mrembo huyo kuchanganyikiwa na kuangua kilio lakini mheshimiwa hakimu aliamua kukazia hukumu yake bila ya kupepesa macho. Wakati mwanamke huyo akiangua kilio, afande wa Jeshi la Magereza alimfikia na kumchukua kwa ajili ya kumpeleka kwenye Karandinga kuelekea Gereza la Segerea kuanza maisha ya jela.
Mbali na Brandina, mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa mtuhumiwa huyo aliyekuwa akifuatilia kesi hiyo naye alimwaga machozi baada ya kutolewa hukumu hiyo.

BREAKING NEWS ya Matokeo ya Kidato cha Nne!!

Mdau ameripoti kua: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAFUTWA........................ YATASAHIHISHWA UPYA;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; KWA WALE MNAO-APPEAL KUWENI MAKINI----INATOKEA BUNGENI MUDA HUU!!
      Ni habari ambazo bado hatuna uhakikanazo, tunaahidi kufatilia na kukujulisha ASAP 

Video ya Semina ya Kili Iliowashirikisha Wasanii Mbalimbali

Morgan Freeman Reads "I Hit It First" by Ray J

Welcome to Morgan Freeman's poetry corner. Today, he will be reading lyrics to Ray J's "I Hit it First."

Council Orders Homeowner to Repaint Her Pretty Because it's TOO PINK

Council
Ann Kennedy is upset after officers knocked on her door to say she should have applied for planning permission to paint her Grade II listed thatched cottage in the idyllic Devon countryside (right). Mrs Kennedy and her husband Mark say the cottage is exactly the same colour as it was when they bought it (bottom left). However, the couple claim that Teignbridge District Council in Devon have threatened legal action after a complaint from just ONE member of the public about the colour of Lantern Cottage.

Ni Beyonce and Jay Z in Tanzania

Beyonce and Jay Z

Gadna G Habash Afunguka Juu Ya Wosia Wa Lady Jay Dee

Gadna G Habash
Leo nilipata nafasi ya kuzingumza na Gadan G Habash ambaye ni Meneja na Mume wa Mwanamuziki maarufu nchin Lady Jay Dee, sote tunafahamu juu ya maneno aliyoyasema Lady Jay Dee kama ni Wosia wake.

Kupitia kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm haya ndio yalikuwa majibu ya maswali niliyomuuliza Gada G;
Ipi ni Kauli yako juu ya Wosia wa Lady Jay Dee...?

Gadna G: Ni maneno ambayo yametoka moyoni mwake na ni maneno mbayo anajitetea kama msanii, mimi kama Meneja ukiacha pia kama mke wangu naendelea kumsapot kwa kile ambacho anaona ni sawa, basi mimi nitaendelea kumsaport na kujaribu kuzungumza na Lady Jay Dee, mara nyingi anasema tu kwamba watu wasifikilie ni swala la wimbo kupigwa au kutokupigwa, hayo ni mambo ya kawaida lakini wafikirie tu kwamba huyu mtu anaongea kutokana experience yake aliyokuwa nayo na wale watu.
Baada ya mwaka 2003 kuacha kufanya kazi kwenye management yao ya Smooth Vibe, yalitokea mambo mengi hapa katikati ila hakusema lakini siku za hivi siku za karibuni kuna mengine ambayo yametokea, ndio akaona hapana nisipo sema nitazidi kukandamizwa na matokeo yake nitakufa kisabuni.

Hii ni kama vita mmejipangaje..?
Gadna G: Unapoamua kusema ukweli swala la kujipanga mara mbili huwa halipo, ni kwamba unasema ukweli watu wasikie naukizungumzia uhasama watu watauliza juu ya uhasama lakini ulikuwepo tayari kwahiyo tu watu wanajua kwa sasa kwa kuwa jdee ameamuwa kuongea lakini...

Paka Mwanga Apatikana Mombasa, Tazama Video

Meek Mill Talks Rick Ross Reebok Beef (Video)

Meek Mill sits down with Karen Civil to discuss the Rick Ross Reebok situation, Dreamchasers 3 and Lil Snupe.

Support Jambo Squad

Support Jambo Squad