Pages

LEMA KUMBURUZA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MAHAKAMANI!?

Godbless Lema
Akizungumza na waandishi wa habari hii jana katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki, Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho katika simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru Mashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu

Westminister Abbey jijini London ktk Misa Maalum ya Kuombea Amani Nchi Yetu ya Tanzania

Westminister Abbey jijini London
Wadau mbalimbali Kutoka kushoto Abu Faraji, Caroline Chipeta, Mirium Mungula na mdau baada ya ibada
Tanzania
Wadau wa serengeti freight
Urban Pulse Creative
Urban Pulse Creative
Bendara yetu ikipepea
Peter Kallaghe
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe akisalimiana na kiongozi wa...

Izzo B - Love Me (Audio)

 Izzo B

Tanzanian Ladies Night - June 1st 2013 DMV

Tanzanian Ladies Night  
You can now buy your ticket online
The $65 price includes:
- Dinner and dance
- Free Parking (Parking zipo za bure hotelini)
- Live performances
- Fashion shows
- and more

Obama Plays Daniel Day-Lewis in Hilarious Movie Spoof

President Obama stars as Daniel Day-Lewis in Steven Spielberg's spoof follow-up to Lincoln, entitled 'Obama,' in a sketch made for the White House Correspondents' Dinner 2013.

Msikilize Ndikumana wa Uwoya Ndani ya U Heard 29TH APRIL -Clouds FM

Scholarships to Learn Arabic at King Abdulaziz University in Jeddah - Saudi Arabia

King Abdulaziz University in Jeddah are now accepting applications for the 2 year Arabic scholarship program, which will begin in September 2013, inshaa'Allaah.
The program is free and accommodation, 3 daily meals, and even a monthly allowance will all be provided by the University.
The program is for males aged 17-25 ONLY. If you do not fit that criteria then please do not apply because you will not be accepted.
If you are married you can apply, but you will have to arrange and pay for your own accommodation and the husband will have to apply for his wife's visa after he arrives in Jeddah.

To apply you must do the following:
1. Complete the online student application form here: http://ali.kau.edu.sa/Pages-text12.aspx
2. Email PDF versions of the required documents to: ali@kau.edu.sa
You can see the list of required documents at the bottom of this page:http://ali.kau.edu.sa/Pages-text10.aspx
The deadline for applications is Thursday 15th May, 2013.

Tangazo!!!

Tangazo

Mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kuombwa Online, Hii Hapa Link Yao

Mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu pamoja na wanafunzi wanaoendelea kwa mwaka wa masomo 2013/2014 kuanzia Mei Mosi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas Mwaisobwa alisema maombi ya mikopo yatafanyika kwa njia ya mtandao kupitia anuani ya http://olas.heslb.go.tz
Alisema vipeperushi maalumu vyenye maelezo ya jinsi ya kuomba mkopo kwa njia ya mtandao vinapatikana kwenye vyuo vya elimu ya juu, ofisi za elimu za wilaya, watoa huduma ya intaneti, Makao Makuu ya Bodi ya Mikopo na ofisi za Bodi ya Mikopo za kanda.Aidha, alisema maelezo ya mikopo yanapatikana kwenye tovuti ya bodi ambayo ni www.heslb.go.tz
Alisema waombaji wapya wanatakiwa kulipa ada ya maombi ya sh 30,000 huku wanafunzi walio katika mwaka wa masomo wa tano au wa sita wataendelea kulipa ada ya maombi ya sh 10,000. "Wanafunzi wa mwaka wa pili, tatu na nne ambao walilipa ada ya maombi ya sh 30,000 katika miaka ya masomo ya 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 hawatakiwi kulipa tena ada hiyo," alisema.

Mwaisobwa alisema mwombaji anatakiwa kuwa raia wa Tanzania, kudahiliwa katika chuo cha elimu ya juu, kutokuwa na njia nyingine ya kugharamia elimu ya juu, kufaulu mitihani ya mwaka uliotangulia kwa waombaji wanaoendelea na masomo pamoja na kuwa mhitaji. "Bodi inasisitiza kwamba waombaji wa mikopo wazingatie muda uliopangwa na pia kufuata kwa umakini taratibu zote zilizoainishwa katika uombaji wa mikopo," alisema na kusisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa ziada baada ya muda uliopangwa kupita. Mwisho wa kupokea maombi hayo ya mikopo ni Juni 30.
TanzaniaDaima

President Obama at 2013 White House Correspondents' Dinner (C-SPAN)