Pages

Polisi Waendesha Msako wa Silaha

Polisi
Ni wa biashara za silaha zinazoendeshwa barabarani hasa wakati wa foleni huku wengi wao ni vijana wasio na ustaarabu kwa wateja.
Dar es Salaam. Polisi Mkoa wa Kinondoni limeanza msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya silaha mbalimbali zinazotumika kwenye uhalifu na kusababisha hofu na vitisho kwa watumiaji barabara.

Akizungumza jana Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni,Charles Kenyela alisema silaha hizo ni pamoja na mapanga,visu na bunduki bandia kuwauzia hasa wenye magari katika makutano ya barabara jambo linalosababisha wengine kutumia mwanya huo kufanya uhalifu. Kamanda Kenyela alisema wamepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara kufanyiwa uhalifu kwa kuporwa mali mbalimbali wanapokuwa kwenye vyombo vyao vya usafiri. “Tayari tumeshawakamata watuhumiwa wanne katika barabara za Kigogo mwisho na Mburahati kwa kukutwa wakiuza mapanga katika maeneo ya makutano ya barabara hizo,”alisema na kuongeza:
“Msako huu utakuwa endelevu kati ya hao wanaofanya biashara hizo wanatumika katika mitandao ya kihalifu,mfano unaweza ukaonyeshewa biashara ya toi la bastola baadaye wanabadilika na kukuibia na biashara ya mapanga,visu inaweza ikafanyika lakini siyo barabarani iwe sehemu rasmi,”alisema Kenyela.

Alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya vijana kufanya biashara ya kuuza kanda(CD’s au DVD’s) ambazo ni za ngono na zile za uchochezi wa kidini na siasa zinazosababisha mmomonyoko wa maadili na uvunjifu wa amani. “Kwa kuangalia mikanda hiyo ya ngono inasababisha kuongezeka kwa matukio ya ubakaji hasa kwa watoto na kwa upande wa kanda za uchochezi wa kidini na kisiasa zinasababisha uvunjifu wa amani,”alisema Kenyela.

Kamanda Kenyela aliwaomba viongozi wa Serikali za mitaa,madiwani,mgambo,vikundi vya ulinzi shirikishi na wananchi kutoa ushirikiano ili kukomesha biashara hizo zisizofaa katika jamii.
Mwananchi.

The True Story of Che Guevara (Documentary)

Argentinian doctor; joined Castro in Mexico in 1954; a leader of the 1956-59 Cuban Revolution. Che served as president of Cuba's national bank and as Cuba's minister of industry in the period immediately following the Cuban Revolution.

Towards the end of his formal affiliation with the Cuban government, Che came to implicitly criticize Soviet bureacracy. His positions put him at odds with the party line of the Cuban CP. In 1965, Che realized that the defence of the Cuban revolution and the creation of revolutions abroad were naturally not always in sync, and this ultimately led to his resignation and his return to revolutionary work abroad.

During Che's subsequent revolutionary campaigns, he wrote his Message to the Tricontinental (1967) in which he openly criticized the Soviet Union; claiming that the Northern hemisphere of the world, both the Soviet Union and the US, exploited the Southern hemisphere of the world. He strongly supported the Vietnamese Revolution, and urged his comrades in South America to create "many vietnams".

In 1965 Che left Cuba to set up guerrilla forces first in the Congo and then later in Bolivia, where he was ultimately captured and killed in October 1967. Accounts of his execution have varied over the years, but many contemprary accounts indicate some degree of collaboration between Bolivia's government troops and the United States CIA.

Guevara developed a theory of primacy of military struggle, in particular concept of guerilla foquismo. Many of Che's theories regarding guerilla tactics are articulated in his 1961 work "Guerilla Warfare."
Director: Maria Berry
Writer: Maria Berry
Stars: Mario Ramirez Reyes, Andrew Blood and Jay Costelo

BBC Infamous Assassinations: Che Guevara (Documentary)

Throughout this series some of the 20th century's most outrageous attempts can, thanks to rare archive footage and reconstructions, be seen first hand and viewers are brought closer to the events than ever before.
From the assassinations of John F Kennedy and Mahatma Ghandi, to attacks on royalty, politicians and media celebrities, this series uncovers the real reasons behind these events and how they unfolded.

Video of Filipino Genius Leroi Reading Sentences AT AGE 2

Dj Tass na JamboSquad @ Noizmekah Studios Arusha [HD]

Strong Earthquake Hits China,Magnitude 6.9 (Video)

Team Racerz - Tell A Friend Official HD Video