Pages

Gyptian - Overtime Medley [Official Video]

Afande Sele - Dini Tumeletewa (Audio)

http://4.bp.blogspot.com/-WHPrftNWoq8/UIWLY0Mt9qI/AAAAAAAATG4/N_IvZP46bn4/s400/afande-sele.jpg

Tangazo Tanzania DMV, Mazoezi ya Jumapili Kama Kawaida

Tanzania DMV
Tanzania DMV kesho Jumapili itafanya mazoezi Midaa ya Saa 5: PM mahali ni :-
4203 Metzerott Rd College Park‎ Maryland‎ 20740 Mnaombwa wachezaji wote muwahi mapema iwezekanavyo

Lionel Messi vs Cristiano Ronaldo Top 30 Goals Ever (Video)

Matokeo ya Mechi za Ligi Kuu Uingereza

Ligi Kuu Uingereza
Ligi Kuu Uingereza

Juma Nature Ametolewa Nduki EATV, ni Baada ya Kungia Mjengoni Akiwa Amevaa Kandambili

http://a2.ec-images.myspacecdn.com/images01/21/77e52aae17de16b397d28185b7356534/l.jpg
Msanii mkongwe na maarufu nchini, Juma Kassin Kiroboto, aka Nature, ameonyesha kukerwa na kile kilichoendelea jana usiku katika kipindi cha burudani cha televishen inayotizamwa africa ya mashariki alipokuwa akifanya nao interview. Nature alionekana akiwa amevaa kawosh na ndala na mara baada ya mahojiano mafupi ya mwanzo ambapo mtangazaji alisema watarejea baada ya mapumziko mafupi Nature hakuonekana tena. Kilichotokea kwa mujibu wa Nature mwenyewe, ni wakati wa mapumziko hayo, mtangazaji wa kipindi hicho alimfata na kumuambia kuwa hataendelea na interview tena kwasababu ya mavazi aliyokuwa kavaa ambayo ni ndala na kawosh. kuonyesha kukerwa kwake na ishu hiyo Nature aliamua kuandika kupitia ukurasa wake wa facebook....
"hivi kwa mfano angekuwepo mzungu pale na kavaa ndala wangesitisha mahojiano na kuvaa kaoshi ni tatizo,kunywa nimekunywa bt kuna baya nimeliongea na hivi kama kweri we nimuandishi wa habari unaruhusiwa kuvaa vile kisheria kama yule mtangazaji nimeboreka kinoma na ikiwezekana nasitisha kuanzia ssa kupeleka ngoma zangu pale siitaji interview"
 http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/04/Juma-Nature-april-20-2013-on-kutolewa-kwenye-interview.png