Tangazo Tanzania DMV, Mazoezi ya Jumapili Kama Kawaida

Tanzania DMV kesho Jumapili itafanya mazoezi Midaa ya Saa 5: PM mahali ni :-
4203 Metzerott Rd College Park Maryland 20740 Mnaombwa wachezaji wote muwahi mapema iwezekanavyo
Juma Nature Ametolewa Nduki EATV, ni Baada ya Kungia Mjengoni Akiwa Amevaa Kandambili
"hivi kwa mfano angekuwepo mzungu pale na kavaa ndala wangesitisha mahojiano na kuvaa kaoshi ni tatizo,kunywa nimekunywa bt kuna baya nimeliongea na hivi kama kweri we nimuandishi wa habari unaruhusiwa kuvaa vile kisheria kama yule mtangazaji nimeboreka kinoma na ikiwezekana nasitisha kuanzia ssa kupeleka ngoma zangu pale siitaji interview"
Subscribe to:
Posts (Atom)
