Pages

Video ya Mh.Peter Serukamba Alipotumia Neno F** You Bungeni!!

West Wing Week: 04/19/13 or "Selflessly. Compassionately. Unafraid." (Video)

This week, the President Obama responded to the terror attack in Boston, met with Americorps volunteers, invited the Wounded Warrior riders to the White House, and for the first time, asked a citizen to deliver the weekly address.

Kim Kardashian and Kris Humphries Divorce Officially Settled!

Kim Kardashian and Kris Humphries Divorce
A Los Angeles judge has approved a divorce settlement between Kim Kardashian and Kris Humphries.
Details of the agreement were not disclosed in a brief court hearing Friday, but the judge said he felt that settlement talks had led to resolution.

The divorce will become final once papers are prepared and signed by the parties.
Kardashian appeared with her lawyer and said she understood the terms of the agreement.
Humphries did not attend. The judge dropped an order for the NBA player to appear and explain why he failed to attend a previous hearing.

Kardashian and Humphries were married in August 2011. The two were married for 72 days before Kardashian filed for divorce in Oct. 2011. She is currently pregnant with rapper Kanye West’s child.

Polisi Wamekamata Majambazi 5 wakiwa na Silaha 2 na Risasi 18 Tandika (Video)

Jeshi la pilisi limekamata majambazi matano yaliyohusika na tukio la kujaribu kupora fedha za kampuni ya mafuta ya Bigbon Yakiwa na silaha mbili za kivita na risasi 18 katika eneo la Tandika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Azam FC Kugawa Burudani Kesho!!?

Azam FCNa Boniface Wambura
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linaitakia kila la kheri timu ya Azam FC katika mechi yake ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho dhidi ya AS FAR Rabat ya Morocco itakayochezwa kesho (Aprili 20 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 kamili jioni.
Azam FC ina fursa nzuri ya kufanya vizuri kwenye mechi hiyo itakayochezeshwa na mwamuzi Emile Fred kutoka Shelisheli kutokana na maandalizi iliyofanya, lakini vilevile tunatoa mwito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuiunga mkono.

Makocha wasaidizi wa timu zote mbili, Kalimangonga Ongala wa Azam na Lahcen Ouadani wa AS FAR Rabat wamezungumza na Waandishi wa habari kuhusu mechi hiyo, kuwa wamejiandaa kuibuka na ushindi.
Kocha Ongala amesema wamepata DVD za mechi tatu za mwisho za AS FAR Rabat, moja ikiwa dhidi ya timu ya Al Nasir ya Libya ambayo waliitoa katika raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho na nyingine mbili za ligi ya Morocco ambazo wanazifanyia kazi kuhakikisha wanashinda kesho.
Naye Ouadani amesema hawaifahamu vizuri Azam, lakini wanaujua mpira wa Tanzania baada ya kuangalia mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas) iliyochezwa jijini Dar es Salaam Machi 24 mwaka huu na Stars kushinda mabao 3-1.

Baadhi ya wachezaji ambao Azam inatarajia kuwatumia kwenye mechi ya kesho ni pamoja na Aishi Manula, Mwadini Ally, Khamis Mcha, John Bocco na Salum Abubakar ambao pia wamo kwenye kikosi cha sasa cha Taifa Stars kilicho chini ya kocha Kim Poulsen.

AS FAR Rabat ina wachezaji sita kwenye timu ya Taifa ya Morocco. Wachezaji hao ni mabeki Younes Bellakhdar, Abderrahim Achchakir, Younnes Hammal, na viungo Salaheddine Said, Salaheddine Aqqal na Youssef Kaddioui.

Welcome Back Dear People..!!

Welcome