Pages

Waliomaliza Darasa la Saba Kuanza Kujiunga na Chuo Kikuu -Tanzania

TCU
Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imepanga kuanza kuwadahili wanafunzi wa kujiunga na masomo ya vyuo vikuu kwa kutumia uzoefu wao ambapo udahili huo utakaoanza mwaka huu wa masomo 2013/14, utakuwa ukiwahusisha wale ambao elimu yao imeishia darasa la saba na kuendelea, lakini walikosa sifa ya kuendelea na masomo kwa ngazi ya chuo kikuu.

Kupitia utaratibu huo mpya, mtahiniwa atajiunga na Chuo Kikuu kulingana na fani atakayoiomba na atatakiwa kufanya mitihani mitatu na kufaulu kwa wastani wa daraja B ambapo Mkurugenzi wa Ithibati na Ubora wa Elimu ya Juu kutoka TCU, Dk Savinus Maronga aliliambia Mwananchi kwamba baada ya kuona kuna watu wengi wanaopenda kuendelea na masomo ya elimu ya juu lakini wameshindwa kutokana na kutokuwa na vigezo, TCU imeamua kuanzisha mitihani hiyo maalumu.
Alisema kuwa mfumo huo unaojulikana kama ‘Recognition of Prior Learning’ (RPL), utamwezesha mwombaji kudahiliwa vyuoni kupitia tume hiyo kama wanavyofanya watahiniwa wengine, Sifa zinazotakiwa ili kujiunga…. mwombaji anatakiwa kuwa na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea, sambamba na kuwa na elimu isiyopungua darasa la saba, atakiwa kuwa na nia ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu na uzoefu wa kile ambacho anakusudia kukisoma, awe na uwezo wa kuandika na kusoma Lugha ya Kiingereza, ambayo ndiyo inayotumika kufundishia vyuoni”

Mkurugenzi amekaririwa akisema “Kuna watu wameishia darasa la saba, lakini wamefanya kazi katika eneo moja, mfano karani wa mahakama, mwandishi wa habari kwa muda mrefu, mfumo huu utawawezesha kuendelea na masomo bila tatizo, kutakuwa na mitihani ya masomo matatu ambayo mtahiniwa ili apate nafasi ya kuendelea na masomo ni lazima afaulu kwa wastani wa daraja B, daraja la kwanza linaloanza na alama A ni 75-100, daraja B+ ni 60-75, B ni 50-59, C ni 40-49, D ni 35-39 na daraja E ni 0-34.

International African Festival Tübingen, Germany 2013, The Largest Extravanganza !

http://www.afrikafestival.net/templates/gkwebdesign_afrikv01/images/header.jpg
African Pilgrimage to Tübingen, Germany 2013 – outdoor & Entry Free
International African Festival Tübingen proudly announces its 2013 season today, bringing together world class African lifestyle, music, food, exciting newcomers to the international stage from 8- 11 august 2013 – African Village (Festplatz) Open-air –Down town Tübingen, Germany
It is the fastest and largest growing Diaspora cultural event transforming the city of Tübingen in south of Germany into a pilgrim city, bringing African Diaspora worldwide irrespective of country of origin, gender and religious background , friends and well wishers of Africa together
More than 100.000 visitors are expected to attend International African Festival Tübingen 2013
This event promises a multi-dimensional exploration of interplay of authentic African culture and lifestyle -150 artists –live- featuring fresh sounds and voices –Ngoma Africa Band, Soweto Entsha, Wamali percussions, street arts, workshops and culinary expression.
The Festival once again invites artist and audiences of all ages to experience African music, arts, culture and party, a mélange between traditional and modern Africa, bringing African hip-hop, Bongo Dansi,Kwaito,Afro-Pop,soukouss and African movies on the international stage
Festival highlights will include- a grandiose opening ceremony lead by African children & youths, celebrities, African ambassadors rep. in Germany under the chairman ship of the Ghana Ambassador, program for families, panel discussion and late night events - the biggest African party in Germany, Stuttgart on Saturday night –form 22 o’clock featuring celebrities and Sunday will be special day for family – special church and Gospel day and closing ceremony
Visual art is at the focus on our Festival and this year the African royal ballet is visiting all the way from Mali featuring Djiby & Basy Kouyate, dance styles and moves to support and build schools in Mali, Christoffel-Blindemission project helping the blind to see in Africa, bongob trust and many more.
Stay updated on www.afrikafestival.net, follow and like us on facebook
For more details you may please contact:
Madam Enie Muyang Tatah,CEO and Founder / Call +49-15210610374 /Email: kontakt@afrikafestival.net

Saigon ft. Lecrae n Corbett - Best Thing That I Found (Video)

Lord Eyez ft Damian - Mapito(Video)

50 Cent ft. Kendrick Lamar - We Up (Video)

Video ya Mh.Peter Serukamba Alipotumia Neno F** You Bungeni!!

West Wing Week: 04/19/13 or "Selflessly. Compassionately. Unafraid." (Video)

This week, the President Obama responded to the terror attack in Boston, met with Americorps volunteers, invited the Wounded Warrior riders to the White House, and for the first time, asked a citizen to deliver the weekly address.

Kim Kardashian and Kris Humphries Divorce Officially Settled!

Kim Kardashian and Kris Humphries Divorce
A Los Angeles judge has approved a divorce settlement between Kim Kardashian and Kris Humphries.
Details of the agreement were not disclosed in a brief court hearing Friday, but the judge said he felt that settlement talks had led to resolution.

The divorce will become final once papers are prepared and signed by the parties.
Kardashian appeared with her lawyer and said she understood the terms of the agreement.
Humphries did not attend. The judge dropped an order for the NBA player to appear and explain why he failed to attend a previous hearing.

Kardashian and Humphries were married in August 2011. The two were married for 72 days before Kardashian filed for divorce in Oct. 2011. She is currently pregnant with rapper Kanye West’s child.

Polisi Wamekamata Majambazi 5 wakiwa na Silaha 2 na Risasi 18 Tandika (Video)

Jeshi la pilisi limekamata majambazi matano yaliyohusika na tukio la kujaribu kupora fedha za kampuni ya mafuta ya Bigbon Yakiwa na silaha mbili za kivita na risasi 18 katika eneo la Tandika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Azam FC Kugawa Burudani Kesho!!?

Azam FCNa Boniface Wambura
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linaitakia kila la kheri timu ya Azam FC katika mechi yake ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho dhidi ya AS FAR Rabat ya Morocco itakayochezwa kesho (Aprili 20 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 kamili jioni.
Azam FC ina fursa nzuri ya kufanya vizuri kwenye mechi hiyo itakayochezeshwa na mwamuzi Emile Fred kutoka Shelisheli kutokana na maandalizi iliyofanya, lakini vilevile tunatoa mwito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuiunga mkono.

Makocha wasaidizi wa timu zote mbili, Kalimangonga Ongala wa Azam na Lahcen Ouadani wa AS FAR Rabat wamezungumza na Waandishi wa habari kuhusu mechi hiyo, kuwa wamejiandaa kuibuka na ushindi.
Kocha Ongala amesema wamepata DVD za mechi tatu za mwisho za AS FAR Rabat, moja ikiwa dhidi ya timu ya Al Nasir ya Libya ambayo waliitoa katika raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho na nyingine mbili za ligi ya Morocco ambazo wanazifanyia kazi kuhakikisha wanashinda kesho.
Naye Ouadani amesema hawaifahamu vizuri Azam, lakini wanaujua mpira wa Tanzania baada ya kuangalia mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas) iliyochezwa jijini Dar es Salaam Machi 24 mwaka huu na Stars kushinda mabao 3-1.

Baadhi ya wachezaji ambao Azam inatarajia kuwatumia kwenye mechi ya kesho ni pamoja na Aishi Manula, Mwadini Ally, Khamis Mcha, John Bocco na Salum Abubakar ambao pia wamo kwenye kikosi cha sasa cha Taifa Stars kilicho chini ya kocha Kim Poulsen.

AS FAR Rabat ina wachezaji sita kwenye timu ya Taifa ya Morocco. Wachezaji hao ni mabeki Younes Bellakhdar, Abderrahim Achchakir, Younnes Hammal, na viungo Salaheddine Said, Salaheddine Aqqal na Youssef Kaddioui.