Police in India say the main suspect in a brutal gang rape committed
suicide in prison. Ram Singh was on trial for a crime that set off
protests across India. (March 11)
Justin Bieber Attacks Paparazzi/ Cameraman in London [Full Video]
LONDON — Justin Bieber's week just got worse. Following a brief hospital stay after fainting backstage, the 19-year-old pop star's preparation for a final concert in London on Friday hit a speed bump. Bieber got into an altercation with insult-hurling paparazzi, lashing out at a photographer with a stream of expletives as he was restrained by minders.
The singer quickly took to Twitter to address the incident, which was captured by Channel 5 news, and pledged to channel his "adrenaline" into his Friday show.
"Ahhhhh! Rough morning. Trying to feel better for this show tonight but let the paps get the best of me," he posted on the social networking site.
"Sometimes when people r shoving cameras in your face all day and yelling the worst thing possible at u...well I'm human. Rough week."
The scuffle came just hours after Bieber said he was "getting better" after struggling to breathe during the previous night's concert at the O2 arena, and pledged the show would go on as planned.

Wamiliki wa Vyombo vya Utangazaji Waomba Analogia Iruhusiwe kwa Muda (Video)
Wamiliki wa vituo vya utangazaji nchini wameomba kuruhusiwa kwa muda
matumizi sanjari ya mfumo wa utangazaji wa analojia na digitali ili
wananchi wasio na uwezo waendelee kupata habari kupitia luninga kama
zamani.
Mjadala Ughaibuni, Kushuka kwa Elimu Tanzania. Sehemu ya Kwanza
Sehemu ya kwanza ya WanaDMV wafanya mjadala wa kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeoa mabaya ya kidato cha Nne wakianza kuelezea Elimu zamani ilikuwaje na nini kimesababbisha kuporomoka kwa Elimu Je nani alaumiwe na nini kifanyike kuokoa janga hili, by Luke Joe
Uhuru Attends Thanksgiving Prayers in Gatundu (Video)
President elect Uhuru Kenyatta went back to his roots in Gatundu . Uhuru, who served as the member of parliament for two terms, returned for the first time to thank the residents for electing him as the fourth president of Kenya. Uhuru accompanied by his family attended a church service in his home area. NTV's Jane Ngoiri was there to witness the occasion.
Ile Harusi ya Mtoto wa Miaka 8 Aliyemuoa Mwanamke wa Miaka 61,Hii Hapa
Mtoto huyu aitwae Sanele amekaririwa akisema “nilimwambia mama yangu, nahitaji kweli kuoa na nimefurahi nimemuoa Helen lakini nikikua nitaoa mwanamke wa umri wangu”
Mama mzazi wa Sanale anasema “babu yake ndio alimchangulia Sanale amuoe Helen kwa sababu yeye(Babu) anampenda, na wamefanya hivyo ili kutimiza maagizo ya wazee wa koo ambao wameshafariki, yani ni kama matambiko”
Honi ya Dalala Yamshtua Mwanafunzi,Aangukia Mtaro wa Maji ya Mvua na Kufariki
Inataarifiwa kuwa watoto hao walikuwa wawili wakipita eneo hilo na kushitushwa na honi ya gari ya daladala iliokuwa ikiwapita, ndipo ikabidi kusogea pembeni. Watoto wale wawili wakateleza katika eneo hilo. Mmoja wao alijitahidi kutoka na kutaka kumuokoa mwezake lakini akashindwa kutokana na nguvu ya maji yaliokuwa yakipita katika mtaro huo unaokatiza barabara.
Jitihada za wananchi zilishindikana kuuopoa mwili huo uliokuwa umeganda katika mtaro huo na kikosi cha zimamoto wakachukua jitihada za kuchimba sehemu ya pili ya barabara hiyo na kuupata.
Wananchi wakiangalia sehemu uliotolewa mwili wa Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza wa skuli ya Kijitoupele , baada ya kuteleza na kuingia katika mtaro wa maji na huku mvua ikinyesha na kusababisha kuchukuliwa na maji na kuvutwa katika mtaro huo na kusababisha kifo chake, wakati akienda skuli asubuhi leo.na Picha ya chini ni eneo aliloteleza na kuingia katika mtaro huo katika eneo hilo wananchi wakiangalia baada ya kutolewa.
Gari la Wagongwa la Kikosi cha Uokozi Zanzibar likiondoka sehemu ya tukio baada ya kufanikiwa kuupata mwili wa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa skuli ya Kijitoupele, baada ya kuteleza na kuingia katika mtaro huo ulioko katika barabara ya kwenda fuoni eneo la Kijitoupele Zanzibar.
Picha zote, maelezo na taarifa shukrani: Othman Mapara wa ZanziNews blog
Jack Patrick, Jamii Imechoka Kuona Picha Zako za Uchi!!
NI kipindi ambacho sekta ya urembo inakua japo kwa kusuasua Bongo. Leo ngoja nizungumze na modo maarufu Jacqueline Patrick Cliff mwenye hulka ya kujianika utupu kwa asilimia 95 mitandaoni kila kukicha.
Jack ulipata jina uliposhika namba tatu kwenye Miss Ilala na kushiriki Miss Tanzania mwaka 2005/06.
Pia uliuza nyago kwenye video ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Albert Magwea ‘Ngwair’ iliyokwenda kwa jina la She Got A Gwain. Kuanzia hapo jina likawa kubwa na ukawa mwanamitindo maarufu Bongo.
Ni katika kipindi hicho cha umaarufu ukaolewa na mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Abdallah Fundikira, Abdulatif kabla ya jamaa huyo kutupwa nyuma ya nondo za mahabusu ya Keko, Dar akikabiliwa na msala wa kusafirisha mihadarati. Tangu hapo ndoa yenu ilidaiwa kuingia mdudu kwa kuwa wewe hukuwahi kwenda kumuona mumeo mahabusu.
Utambulisho huo unakutosha.
Mara kadhaa Jack uliwahi kuripotiwa kwa picha zisizotazamika kwa watoto na wakubwa. Wiki iliyopita tena ilisambaa picha ukiwa mtupu kwa madai kwamba ni za jarida maarufu.
Sawa, wewe ni modo lakini mbona kuna mamodo wengi ndani na nje ya Bongo hawakai utupu kama wewe?
Mara zote picha zako zikisambaa mitandaoni ukiwa ovyo huwa zinaambata na maandishi kutoka kwako kuwa ‘huna tatizo na mtu’ hivyo unajiachia unavyotaka. Sawa, kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake lakini wewe sasa umezidi.
Ni juzi tu zilisambaa zile zilizokuonesha ukishikwa vibaya kwenye maungo nyeti wakati wa utengenezaji wa video ya Nataka Kulewa ya Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kuna wenye mtazamo kama wako, wanapenda kukusifia mitandaoni kuwa upo ‘seksi’ lakini matunda yake ni nini? Kwa nini wakusifie wewe wasijiweke wao wakiwa utupu? Wakati mwingine si kila anayekupigia makofi anakupongeza.
Ukitaka kujua, sikiliza milio ya makofi. Mingine ni ya kukukejeli, irekodi halafu isikilize ukiwa umetulia, utagundua ninachokisema. Ni mfano tu hapa hakuna makofi bali maoni ya kukusifia. Yapime. Utajua ni ya kukuchora.
Wakati unaolewa ulijitetea juu ya suala hilo kuwa jamaa anakuoa wewe na siyo picha na pia anajua vyema kazi yako ya mitindo.
Baadaye pia nilikusikia tena ukitoa utetezi dhaifu kuwa unafanya hivyo ili kupata tenda za matangazo. Mbona hayo matangazo hatuyaoni? Au yanatumika wapi? Kuna mtu aliwahi kudai upigaji wa picha hizo una biashara nyuma yake. Je, ni kweli? Mbali na matangazo yasiyoonekana, hiyo biashara nyingine ni ipi?
Nilichojifunza ni kwamba ukiacha wazazi, hata watoto wamechoshwa na picha zako za utupu.
Wanajiuliza, wanajifunza nini kutoka kwako kama dada, mke wa mtu au kioo cha jamii. Wamezichoka! For the love of game!
GLOBAL PUBLISHER

Subscribe to:
Posts (Atom)