Pages

SOLO THANG a.k.a TRAVELLAH (Audio Playlist)


Aliyemtukana Spika kwa Simu Kizimbani


Dodoma, 

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, limemkamata mkazi wa Chang’ombe mkoani hapa, Noel Mlingwa (25), kwa tuhuma za kumtumia ujumbe mfupi wa matusi kwa njia ya simu, Spika wa Bunge Anne Makinda na Naibu wake, Job Ndugai. Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alitoa taarifa hiyo jana kwenye vyombo vya habari. Alisema mtu huyo alikamatwa Februari 12, mwaka huu, eneo la Shule ya Sekondari ya City iliyopo Area A, mjini hapa. Bila kutaja matusi yaliyotumwa na mtuhumiwa huyo, Misime alisema, mtuhumiwa huyo alitumia simu yake ya mkononi yenye namba 0763-448556 kutuma ujumbe huo wa matusi.

Alisema mtuhumiwa huyo ambaye amekana mashtaka hayo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini, juzi na kesi yake imeahirishwa hadi Machi 21, mwaka huu itakapotajwa tena.
Kamanda Misime aliwataka wakazi wa Mkoa wa Dodoma kuacha kutumia simu zao za mkononi kwa kutuma ujumbe wa matusi na vitisho kwa watu wengine.
Alisisitiza kuwa atakayekamatwa kwa tuhuma hizo atafikishwa katika vyombo vya sheria.

Kutukanwa kwa viongozi hao wa Bunge, kulifuatia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza namba za Spika na Naibu wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Dar es Salaam ili wawashinikize wajiuzulu.
Siku moja baada ya mkutano huo, chanzo kilicho karibu na Spika Anne Makinda , kilisema jumla ya simu 200 zilipigwa kwa ajili ya kumtukana.
Hali kadhalika katika kipindi hicho jumla ya ujumbe mfupi 400 wa simu za mkononi (SMS), uliokuwa ukimtukana ulipokelewa katika simu zake.

habari nA SHARON SAUWA
CHANZO: NIPASHE

Siri ya Mtungi Sehemu ya 8

Mke wa kwanza wa Mzee Kizito, Farida, hafurahishwi hata kidogo na ujio wa bi harusi, Nusura, na anafanya juhudi zote kutoonyesha hali hiyo.
Cheche anafanya kosa jingine kubwa pale anapoamua, binafsi, kumpelekea Lulu, picha zake kwenye nyumba yake ya ufukweni. Pamoja na dhamira yake safi, jambo moja linazua jingine na mwisho wa yote pikipiki yake inamgomea kuwaka na kujikuta kachelewa kuwahi kwenye uzao wa mtoto wake!

Chris Brown Cursing Valet Attendant for $5 Overcharge

Studio City, California
Chris Brown cursed and threatened a valet attendant who allegedly tried to scam him by asking $10 for service, instead of the usual $5. A source told TMZ that Brown lost his temper because he felt cheated. The source claimed that other people were charged $5 for valet service, but Brown was singled out because he was a celebrity. The source explained that this incident was not about the money, but principle.

The incident took place in Studio City, California on Wednesday, March 6. Brown attended Stars and Strikes Celebrity Charity Bowling Tournament at Pinz Bowling Alley, in which other celebrities such as The Wanted, Pete Wentz, Patrick Stump, Nick Cannon and will.i.am were expected to be present. After attending the event, Brown went to a valet attendant to get his car, but the valet attendant asked for $10 for the service.

Feeling cheated, Brown exploded at the scene, “Give me my keys. F**k ten dollars. We’re gonna turn this spot up, I promise you.” Someone from Brown’s entourage tried to calm him down, saying, “We got the money, don’t worry about it.” Brown cursed the valet attendant one more time before leaving the place with his group, “F**k a** ten dollars.”

It seemed that Chris Brown kept having bad day recently. A day before, he reportedly left his bodyguard in Bermuda airport because of an altercation. The bodyguard ended up catching another flight to bring him home.

Carlos Slim Helu Is #1 On Forbes 2013 Billionaire List With A $73 Billion Net-Worth.

ForbesCompleting 27 years of building the much-awaited Billionaires List, Forbes with its elaborate global wealth team of reporters and editors churn out the 2013 list of the World’s Richest! List reads former number one telecom tycoon Carlos Slim continuing his reign on number one with riches worth $73 billion, followed by Bill Gates with $67 billion and Amancio Ortega on number three worth $57 billion. Calculating from among 1,426 contenders, a net aggregate of their wealth amounts to $5.4 trillion, recording a 17% increase from its previous $4.6 trillion. 210 new ten-figure fortunes were identified this year and reports claim that the constant rise in asset value is the driving force behind the increase in wealth. U.S takes away the “most number of billionaire” trophy with 442 billionaires, followed by Asia-Pacific with 386, Europe – 366, the Americas – 129 and Middle East & Africa -103. Here’s a brief on the Top Ten Billionaires of the World in 2013:

1. Carlos Slim Helu: Staying on the top of the list, fourth year in a row, Carlos Slim, the telecom tycoon even at age 73 is up and about churning billions every year. The reason being his good fortune with the surging stock prices and successful expansions over the last year. As earlier mentioned, this booming billionaire is worth $73 billion in comparison to $69 billion from last year. 

Jose Chameleone - Valu Valu (Video)

Gerge Foreman vs Joe Frazier II (Library) 1976.06.15

Nassau Coliseum, Uniondale, New York, United States
Gerge Foreman vs Joe Frazier for the NABF heavyweight title.

Drunk Student Cooks Flatmate's Pet Hamster in a Frying Pan

James White
A student who cooked a hamster in a frying pan has been banned from keeping animals for eight years.
James White, 21, today admitted to killing his Korean flatmate’s female adult Syrian hamster after a drinking binge, but claimed it was dead before he put it in the pan.
White, in the final year of a Politics and International Relations degree, was in a drunken stupor when police arrived at his York University digs, with a “pungent” cooking smell coming from his room.
 Hamster
Officers found the hamster in a pan on a lit hob.
White, who has no recollection of the night, is said to have exclaimed: “I f****** fried it!”
District judge Roy Anderson read a letter from the hamster’s owner, who said he was still flatmates with White and that he hadn’t had time to name his pet before it died.
The judge banned White from keeping animals for eight years, ordered him to do 120 hours’ unpaid community work and told him to pay £1,000 prosecution costs.
He said: “By your treatment of this small, unfortunate rodent you have destroyed your character.”
The case had been set for a trial at Selby magistrates court, in North Yorkshire, but the guilty plea was made after the judge said he felt it was unnecessary to hear from two expert witnesses in forensic animal pathology. Mirror

Diamond Platnamz Ubishoo Hadi Nyumba ya Ibada

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni aliwachefua waumini wenzake wa dini ya Kiislam baada ya kutinga kwenye Maulidi akiwa amevaa hereni na cheni.
Tukio hilo lilijiri maeneo ya Tandale, Dar ambapo mama yake aliyemtambulisha kwa jina la Aunt Shani aliandaa maulidi kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Akiwa mmoja wa waalikwa, Diamond alinaswa akiomba dua sambamba na rafiki yake aitwaye Remeo Jones ‘RJ’ huku akiwa amevaa kanzu safi na balaghashia lakini akaharibu kwa kuvaa hereni na cheni.

Kitendo hicho kiliwachefua Waislam ambapo baadhi walifikia hatua ya kumchana laivu kuwa, alichokifanya kilikuwa kinyume na Uislam.

Ile Tweet ya CCM Yenye Kiingereza Kibovu na Maoni ya Wadau

CCM

Chini ni Baadhi ya Comments ziliandikwa na wadau baada ya Tweet hiyo:
>This is very disappointing and the reason why there are many Division 0's!!
>Mhhh so sad, its rather unfortunate aki, they should be banned from writing English comments, this is a serious offence to the language..lol
>No way could this be his Nyumba Ndogo coz seriously this is not serious at all. A disgrace once again to Tanzania.
> Did ccm really tweet this?!.. no wonder they are not serious...