Pages

Drunk Student Cooks Flatmate's Pet Hamster in a Frying Pan

James White
A student who cooked a hamster in a frying pan has been banned from keeping animals for eight years.
James White, 21, today admitted to killing his Korean flatmate’s female adult Syrian hamster after a drinking binge, but claimed it was dead before he put it in the pan.
White, in the final year of a Politics and International Relations degree, was in a drunken stupor when police arrived at his York University digs, with a “pungent” cooking smell coming from his room.
 Hamster
Officers found the hamster in a pan on a lit hob.
White, who has no recollection of the night, is said to have exclaimed: “I f****** fried it!”
District judge Roy Anderson read a letter from the hamster’s owner, who said he was still flatmates with White and that he hadn’t had time to name his pet before it died.
The judge banned White from keeping animals for eight years, ordered him to do 120 hours’ unpaid community work and told him to pay £1,000 prosecution costs.
He said: “By your treatment of this small, unfortunate rodent you have destroyed your character.”
The case had been set for a trial at Selby magistrates court, in North Yorkshire, but the guilty plea was made after the judge said he felt it was unnecessary to hear from two expert witnesses in forensic animal pathology. Mirror

Diamond Platnamz Ubishoo Hadi Nyumba ya Ibada

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni aliwachefua waumini wenzake wa dini ya Kiislam baada ya kutinga kwenye Maulidi akiwa amevaa hereni na cheni.
Tukio hilo lilijiri maeneo ya Tandale, Dar ambapo mama yake aliyemtambulisha kwa jina la Aunt Shani aliandaa maulidi kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Akiwa mmoja wa waalikwa, Diamond alinaswa akiomba dua sambamba na rafiki yake aitwaye Remeo Jones ‘RJ’ huku akiwa amevaa kanzu safi na balaghashia lakini akaharibu kwa kuvaa hereni na cheni.

Kitendo hicho kiliwachefua Waislam ambapo baadhi walifikia hatua ya kumchana laivu kuwa, alichokifanya kilikuwa kinyume na Uislam.

Ile Tweet ya CCM Yenye Kiingereza Kibovu na Maoni ya Wadau

CCM

Chini ni Baadhi ya Comments ziliandikwa na wadau baada ya Tweet hiyo:
>This is very disappointing and the reason why there are many Division 0's!!
>Mhhh so sad, its rather unfortunate aki, they should be banned from writing English comments, this is a serious offence to the language..lol
>No way could this be his Nyumba Ndogo coz seriously this is not serious at all. A disgrace once again to Tanzania.
> Did ccm really tweet this?!.. no wonder they are not serious...

Kijana wa Miaka 19 Aliyeshinda Udiwani Kenya

Kibiwota MungeAnaitwa Kibiwott Munge ambae amekua Mkenya wa kwanza mwenye umri mdogo kushinda kiti cha Udiwani na kuwashinda wagombea wengine wote ambao wengine wanalingana na baba yake.
Baba mzazi anasema alianza kumnunulia Munge Magazeti akiwa darasa la nne.

Kwa mapenzi aliyonayo kwa siasa, Munge anasema kwenye bunge la 9 la Kenya alikua ana uwezo wa kutaja majina ya wabunge wote 222, yani anawajua wote kichwani

Kipanya Leo

Kipanya

Dayna nyange ft Blu - Leo (Audio)

Dayna nyange ft Blu

Celta Vigo Sub Drinks Beer on the Bench (Video)

Most footballers' pre-match fluids consist of brightly-coloured isotonic drinks washed down with spring water.
Not so Celta Vigo's Enrique De Lucas, whose choice of beverage was caught on cameras before Celta Vigo's game against Sevilla on Monday.
The Celta substitute sat on the bench cradling a plastic cup of beer. He later came on in the 75th minute of a heavy 4-1 defeat.

Ujumbe kwa Wadau Toka kwa Dayna Nyange

Dayna Nyange. Naitwa Dayna Nyange. mwanamuziki wa bongo fleva. ni mwanamke wa kitanzania. naungana na wanawake wengne duniani kote ktk kuhadhmisha cku ya wanawake duniani. 
Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kuji2ma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini wenyewe 2naweza tena bila ata ya kuwezeshwa. Nakupitia siku hii muhmu kwetu. naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia tunaoupata wanawake. hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea zidi yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo. 
pia nijukumu la kila mwanamke na Niwajibu wetu kina mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea. Tupendandane tushikamane WANAWAKE TUNAWEZA. 
 by dayna nyange.