Pages

Young Suma ft. Nyemo - Dont Give Up

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6kX0fXFLoiDGMXngejxixrl-G1GALZCrVu_nMmOez64fBdJbOrZsQ5s4SnHG3iSDhoATMmRmOCobPFRu6HEcKmFQkL7qS2I6Umf5Pc7Y58_eeLDrsRT5Ijq-BySDQASg9wPPadmZVMZI/s640/young+suma.jpg

Vodacom Tanzania - Harlem Shake #BongoShake (Video)

Watch the Vodacom Executive team do the Harlem shake! See if you can spot anyone you recognize. Share with your friends and represent! #BongoShake

Los Angeles Judge Issues Arrest Warrants For Suge Knight

Arrest Warrants
Suge Knight skipped out on a court date, Thursday and is now a wanted man in California. A Los Angeles County judged issued two bench warrants for the oft-in trouble former Death Row CEO after he missed a court date involving two driving violations, according to TMZ.

His scheduled day in court stems from two separate incidents where Suge was arrested for driving on a suspended license in 2011 and 2012. He was given three years probation for one of the charges while the other has yet to be settled.

Suge now faces two bench warrants totaling $35,000 and is to be apprehended on sight.

Lady Jaydee ft Prof. Jay - Joto hasira (Audio)


Shule za Mafunzo ya Qur'an Kufungwa Senegal

http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2013/03/05/130305165109_senegal_304x171_afp_nocredit.jpg
Rais wa senegal Macky Sall, anasema kuwa serikali itafunga shule zote za mafunzo ya dini ambazo zitakosa kutimiza mahitaji ya usalama kwa watoto.
Matamshi yake Rais Macky Sall, yanajiri baada ya watoto tisa kufariki katika ajali ya moto katika shule iliyo karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Dakar.

Moto huo, ulizuka wakati watoto 45 wa shule wenye kati ya umri wa miaka sita na kumi na mbili, wakiwa ndani ya chumba kimoja katika eneo la Medina.
Inaarifiwa huenda mshumaa ndio ulisababisha ajali hiyo ya moto uliozuka Jumapili jioni.
Baada ya kuzuru eneo la ajali, bwana Sall, alisema kuwa shule za mafunzo ya kidini ambazo zinawadhulumu watoto na kukosa kuhakikisha usalama wao, lazima zifungwe.
''Watoto watarejeshwa kwa familia zao,'' aliongeza rais Sall

Mwandishi wa BBC Thomas Fessy mjini Dakar, alisema kuwa makundi ya kutetea haki za binadamu, yalionya dhidi ya mazingira mabovu ambamo watoto wanaishi kama makaazi yao kwenye shule za mafunzo ya dini na baadhi ya walimu wanawadhulumu watoto. Wanafunzi wengi wanajulikana kama "talibes" kwa lugha ya kiasili, na husihia kuomba omba chakula na pesa mitaani na kisha kuwapelekea

The Sporah Show on DSTV Channel 291.


Sporah Njau.
WE ARE NOW ON DSTV CHANNEL291.
YOU CAN NOW WATCH London's number one African talk show, on DSTV CHANNEL 291 - Every Friday 6:pm & Saturday 1:pm in all Africa.
AND every Monday ON UK's premier TV Channel for Africans and Caribbean, on SKY 182.
Simply means wherever you may be, you can watch
THE SPORAH TV SHOW!

Kate Middleton 'Lets Slip' The Sex of Her Royal Baby

Kate Middleton
The Duchess of Cambridge appears to have let slip the suggestion that the baby she is expecting with husband Prince William is a little girl.
Kate, 31, was visiting the Northern fishing post of Grimsby and meeting a crowd of around 2,000 people on an official engagement when she supposedly made the comments.

The Duchess was given a teddy bear by 41-year-old Diana Burton standing in the crowd.
But it was Sandra Cook, 67, who was standing next to Diana who has set rumours flying, saying she heard Kate say: "Thank you, I will take that for my d..." before stopping herself.

Sandra continued: "I leant over and said to her: 'You were going to say daughter weren't you?'. She said, 'No, we don't know!'. I said, 'Oh I think you do,' to which she replied: 'We're not telling'."

It's not the first time meet-and-greets with the Royal couple have caused wagging tongues, Prince William accepted a baby grow a few months before...

UN,''Mauaji ya Albino Yaongezeka Tanzania''

http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2012/07/02/120702184317_navi_pillay_304x171_s_nocredit.jpg
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa,Navi Pillay, amelaani mashambulizi mabaya yaliyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi au Albino nchini Tanzania ikiwemo mauaji ya mtoto mvulana.
Serikali inapaswa kukomesha mauaji hayo pamoja na unyanyapaa dhidi yao , alisema Bi Pillay.
Muaji ya kinyama yanayofanyiwa watu hao huhusishwa na ushirikina , kulingana na UN.
Watu watano pekee wameshtakiwa mahakamani nchini Tanzania, tangu mwaka 2000 kwa mauaji ya maalbino.

Takriban wengine 72 waliuawa katika kipindi hicho.
Mnamo mwaka 2009, rais Jakaya Kiwete, alisema kuwa mauaji hayo yaliiletea Tanzania aibu kubwa na kulazimu nchi hiyo kufanya kampeini ya kitaifa ili kukomesha dhulma hizo dhidi ya maalbino.
Mnamo mwaka 2010, Salum Khalfani alikuwa mtu wa kwanza mwenye ulemavu huo kuchaguliwa kama mbunge nchini Tanzania.
Bi Pillay alisema kuwa watu wenye ulemavu wa ngozi wana haki ya kuishi kama mtu yeyote ule bila hofu ya kuuawa au kubaguliwa.

Katika taarifa yake, Bi Pillay alisema kuwa mashambulizi manne ya watanzania wenye ulemavu wa ngozi, yaliripotiwa katika siku kumi na sita kati ya mwezi Januari na Februari.
Ni pamoja na mauaji ya mtoto mwenye miaka saba, Lugolola Bunzari. Watu walimvamia walikata paja la uso, mkono wake wa kulia , bega la kushoto.

Babu ya kijana huyo, mwenye umri wa miaka 95, pia aliuawa kwenye shambulizi hilo, alipojaribu kumuokoa mjuu wake. Bi Pillay alisema mashambulizi kama haya ni mabaya na watu wana haki ya kuishi kama watu wengine bila hofu ya kuuawa au kujeruhiwa vibaya

TFF Imepewa Siku 80 Kufanya Marekebisho na Kufikia Mei Uchaguzi Uwe Umeshafanyika

TFF,
SERIKALI yazidi kulikaba koo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuwataka kuitisha mkutano mkuu wa marekebisho ya katiba kabla ya Aprili 15 huku wakitakiwa kufanya uchaguzi kabla ya Mei 25 mwaka huu.
Habari zinasema kuwa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara amekataa kupangiwa siku ya kuonana na viongozi wa TFF na badala yake aliwataka jana kufika ofisini kwake kwa ajili ya kikao walichoomba. Hata hivyo Waziri alitarajiwa kusafiri jana usiku kwa muda wa siku 10.
Juzi TFF kupitia kwa Katibu mkuu wake Angetile Osiah alisema wamewasilisha barua kwa Waziri Mukangara kutaka kukutana naye Alhamisi (kesho) na kama ikishindikana wakutane baada ya March 13 na kwamba wanamtaka Naibu Waziri Amos Makala akae kando katika suala lao kwa vile ameshaonyesha ana upande anaoupendelea.
Lakini hata hivyo katika barua iliyokwenda Wizarani ambayo ilisaniwa na katibu huyo wa TFF yenye Kumb:Na: TFF/ADM/MIYCS.13/03 ya March 4 imeomba kukutana na Waziri bila ya...

Ferrari Unveils 'once a decade' £1Million Hypercar Which Does 0-62mph in Under THREE Seconds (Video)

Ferrari yesterday took the wraps off its 'once every decade' hypercar - a £1 million hybrid named LaFerrari. The incredible model is the fastest and most hotly anticipated supercar to ever leave Ferrari's factory in Maranello. It made its global debut after years of speculation at the Geneva Motor Show - with its performance figures and emphatic design causing shockwaves around the centre. Ferrari has fitted the road-going race car with a 6.3-litre V12 petrol engine which combines with a separate electric motor to develop a staggering 960bhp. It will accelerate from 0-62mph in less than three seconds, 0-124mph in less than seven seconds and 0-186mph (300kph) in 15 seconds.