Pages

Tumbo Joto; Mdahalo wa Mwisho wa Wagombea Kenya

Awali kulikuwa na taarifa kuwa mgombea wa Urais Uhuru Kenyatta alikuwa amesusia mdahalo huo akidai kuwa mdahalo wa kwanza waliokuwa wanauendesha mjadala wenyewe waliangazia sana swala la ICC na kuwafanya wagombea wengine kumlemea.
Kenya
Uhuru Kenyatta alisemekana kufanya vyema katika mjadala wa kwanza

Uhuru pamoja na mgombea mwenza William Ruto, wanakabiliwa na kosa la kuwa washukiwa wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007/2008 katika mahakama ya ICC.
Duru zilisema kuwa Uhuru alisitisha kampeini zake leo ili kuweza kujiandaa vilivyo kwa mjadala huo.
Wagombea wengine akiwemo waziri mkuu Raila Odinga wanajiandaa kwa mjadala huo ambaop hii leo utalipa kipao mbele mbele swala la ardhi, sera za kigeni, na uchumi.
Kura za maoni zinaonyesha kuwa asilimia tisini ya wapiga kura wanaona mjadala huu una manufaa kwa wakenya. Asilimia themanini na tano walisema wako trayari kutazama mjadala huo.
Asilimia robaini ya wapiga kura waliohojiwa punde baada ya mjadala wa kwanza walisema wangempigia kura Uhuru Kenyatta wakati asilimia 33 walisema wangempigia kura Raila Odinga.Wawili hao ndio wagombea wakuu katika uchaguzi huu.

Susan G. Komen Global Race for the Cure 2013

Susan G. Komen Global Race
 First, I want to thank everyone for participating in last years Global Race for the Cure. Last year we had about 30 registered team members and we raised $1500 in donations. This year the race is on May 11, 2013. Our goal for this years race is to have at least 30 team members and to raise at least $1500 in donations.
If you want to join Team Tanzania for this years race, you can register online on our team website. The registration fee is $40 for walkers. you can access our team website by clicking or copying and pasting the link below and clicking "Join Team Tanzania":

Http://globalrace.info-komen.org/goto/TeamTanzania2013
Even if you are not able to join us for this years race, you can help us reach our fundraising goal by giving a tax-deductible donation to the team. You can donate by going to the team website and clicking "Donate to this Team."

Please feel free to e-mail me at TeamTanzania2013@gmail.com if you need further information about registering for the race or donating to the team.
Thank you
Nelleta Kassembe Team Captain

University Student Turns Girl to SNAKE for Money!!

University Student
crayfish wakaA guy who schools in Houdegbe North American University Benin Republic(HNAUB) was arrested, due to his action of turning a fellow female student to a snake using supernatural powers.
The guys are said to be 100 Level Business Administration Students of the above named University, to cut the explanation short, they’re freshers who wants to make quick money,they want to drive exotic cars, blast un-worked for money as a result of oppressing their fellow students who happened to struggle hard to complete their education. This culprit happened to travel to down to Port-Novo for the rituals according to the arrested guy.

Pictures of two girls were found in the box which contained the snake. The Snake in the box is actually one of the girls that was used,while the second girl’s head had already been chopped off.
It was a girl that stays in the same compound with them that noticed their strange movements and she therefore reported them to the police. Some of their girlfriends have actually been declared missing for some days now but no one ever imagined that they could have been used for money rituals until the moment they were arrested. People thought the girls had done their “crayfish waka” as usual, not knowing that the girls have been used for rituals.

Jamhuri Yafunga Ushahidi Kesi ya Sheikh Ponda

Sheikh Ponda Issa Ponda
Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda (54) na wenzake 49 ya kula njama, kuingia, kujimilikisha ardhi kwa jinai, wizi wa mali ya Sh. milioni 59.6 umefunga ushahidi wake baada ya kuita mashahidi 17 kuthibitisha mashtaka dhidi ya washtakiwa hao.

Kabla ya kufunga ushahidi huo mbele ya Hakimu Mkazi Victoria Nongwa, shahidi wa 17 wa Jamhuri, Kostebo Ismail, alidai kuwa mshtakiwa Faisal alipotoa maelezo polisi alieleza kwamba alisikia tangazo kupitia redio Imani kiwanja cha Marcas kimevamiwa.

Shahidi huyo alitoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kudai kuwa kwa mujibu wa mshtakiwa huyo, tangazo hilo lilisema chini ya usimamizi wa Sheikh Ponda wanatakiwa wakaweke nguvu ili wajenge msikiti kwa kuwa kiwanja hicho kilichopo Chang’ombe siyo cha Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), bali ni cha waislamu wote nchini.
Naye shahidi wa 16, Sajini Taji Amoss (54), alidai kuwa alimhoji mshtakiwa Hussein Haji ambaye alieleza kupokea wito kutoka kwa Sheikh Ponda kwamba wakafanye usafi katika kiwanja cha Marcas.

Katika kesi hiyo, Ponda na wenzake wanakabiliwa na mashtaka manne, likiwamo la wizi wa mali yenye thamani ya Sh 59.6 milioni, uchochezi na kuingia kwa jinai katika ardhi inayomilikiwa na kampuni ya Agritanza Ltd kwa nia ya kujimilika isivyo halali.
CHANZO: NIPASHE

London Fashion Week 2013

Tanzanian Best Designers showcase their work during this year London Fashion Week sponsored British Council, Tanzania Tourist Board Organized by Tanzania High Commission in London

Chinese official who Misses Plane Totally Flips out in Kunming Airport (Video)

Waziri wa Nishati na Madini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Sospeter Muhongo Kukutana na Watanzania Nchini Uingereza 26/02/2013

Tanzania, London, (kulia),Mhe. Balozi Peter Kallaghe,
Waziri wa Nishati na Madini, Tanzania, Mhe. Sospeter Mhongo, akiwa Ofisini kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe, akiangalia Kitabu cha wageni kilichopo Ofisini hapo, kabla ya kusaini Kitabu hiko.
Tanzania, London, (kulia),Mhe. Balozi Peter Kallaghe,

Mheshimiwa Waziri Sospeter Mhongo (kulia) akiongea na baadhi ya Wafanyabiashara na Wawekezaji mapema leo kwenye Mkutano wake ambao aliufanya kwenye Ofisi za

Oscars 2013 Michelle Obama Announcing Best Film ARGO - Academy Awards

Michelle obama oscars argo | The Academy Awards suddenly turned into the Michelle Obama Oscars when Jack Nicholson told the audience a special guest was joining him to present Best Picture.
"Argo" won the award, which the First Lady read off an envelope while being paged in to Los Angeles' Dolby Theatre.

"[These films] taught us that love can beat all odds," Obama said. "They reminded us that we can overcome any obstacle if we dig deep enough and fight hard enough and find the courage within ourselves."
It's through cinema, Obama said, that "our children learn to open their imagination and dream just a little bigger and to strive every day to reach those dreams."
"Argo's" win was remarkable because it was only the fourth film in the Oscars' 85-year history to win Best Picture without a corresponding Best Director nomination. Affleck, a producer on the film, gave an emotional acceptance speech that ended with a simple message: "It doesn't matter how you get knocked down in life, all that matters is how you get back up."

Maonyesho ya Filamu za Afrika Kuanza J'mosi

 Panafrican Film and Television Festival ya Ouagadougou (FESPACO)
Maonyesho ya filamu mia kadha kutoka sehemu mbali-mbali za Afrika na Wafrika walioko ng'ambo, zitaoneshwa katika tamasha kubwa ya utamaduni wa Afrika ambayo inaanza Burkina Faso Jumamosi. Maonyesho hayo ya Panafrican Film and Television Festival ya Ouagadougou (FESPACO) yanafanywa kila baada ya miaka miwili.

Tuzo kubwa kabisa - Stallion of Yennenga - hupewa filamu ambayo inaonesha maisha halisi kabisa ya Afrika.
Filamu 20 za habari hasa kutoka Morocco, Algeria, Angola na Senegal zinagombea tuzo hiyo.
Ingawa Misri haikujiandikisha kwenye mashindano hata hivyo itaonesha filamu ya msanii wa Misri, Khaled Sayed, iitwayo "Stories from Tahrir".
Inaangalia changamoto ambazo Wamisri wanakabili wanapogombania uhuru.

Picha za Show ya Ali Kiba na Ommy Dimpoz Ilivyofanyika London, Uingereza!

Ali Kiba na Ommy Dimpoz
Ali Kiba na Ommy Dimpoz wapo nchini Uingereza wakipiga show kwa mashabiki wao waishio nchini humo.
Hii ni moja ya show ambayo waliifanya weekend hii katika ukumbi wa disco uitwao OutLet.
Check baadhi ya picha za kwenye show hiyo, tazama hapa chini...
Ali Kiba na Ommy Dimpoz