Pages

SHOCK! Police Uses Water Instead of Gas for All Cars

Amazing! Police Department converted all their cars to HHO hydrogen TO SAVE MONEY! Water fuel engine is not scam. Water powered cars are real. Don't buy gas, save money, use free energy.

Tuzo za Wanawake Wenye Mafankio Tanzania 2013

Awards

Mama Aliyemlisha Kinyesi na Kumchoma Moto Mtoto na Kumlisha Kinyesi Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela!

Wilvina Mkandala (24) akitolewa mahakamani mara tu baada ya kusomewa hukumu ya kifungo cha maisaha

Mtoto Aneth kabla ya kukatwa kwa mkono wake wa kushoto

Mtoto Aneth mara baada ya kukatwa mkono wa kushoto kwa ujumla mtoto huyu anaendelea vizuri na alishatoka hospitalini.

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.
WILIVINA MKANDALA mwenye umri wa miaka 24 ameukumiwa kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kumlisha mtoto ANETH GASTO mwenye umri wa 5 mitano kinyesi na na kumuunguza kwa maji ya moto.
Akisoma hati ya mashtaka mwendesha mashtaka wa serikali ACHIREY MULISA ameiomba mahakama hiyo kutoa...

Scam Series #10

Scam Series #10
BILL AND EXCHANGE MANAGER GROUP BANK OF AFRICA

Dear friend
With all due respect I know that this mail will come to you as a surprise as we never met before. I am Dr.UTUTUUOTU WADI, the Bill and Exchange manager in our B.O.A which is Bank of Africa Ouagadougou Burkina Faso West Africa . I Hope and also believed that you will not expose or betray this trust and confident which I have on you for the mutual benefit of our both families. I need your urgent assistance in transferring the sum of U.S 10.5Million united State dollars, TEN MILLION FIVE HUNDRED THOUSAND UNITED STATES DOLLARS in an account that belonged to one of our foreign customers who died along with his entire family in a plane crash.

Since we got information about his Sudden death, we have been expecting his next of kin to come over and claim his money because we cannot release it unless somebody Applies as the next of kin or a business associate to the deceased as indicated in our banking guidelines and laws, but unfortunately we learnt that all his supposed next of kin or relation diedAlong side with him in there summer holidays at the plane crash leaving nobody behind for the claim.

It is therefore upon this discovery that I now decided to make this business proposal to you so that ...

4th Edition International African Festival 2013,Tubingen,Germany, Call for Artsts and Exhibitors

International African Festival 2013,Tubingen,Germany,Artsts and Exhibitors
4th Edition International Tubingen African Festival 2013, near Stuttgart –South Germany
more than just a festival! more than just a festival! 
Open Call For Artists and Exhibitors
International African Festival 2013,Tubingen,Germany,Artsts and Exhibitors
Business, Sport, Music, Market, children and youth village…
The International African Festival Tubingen, known as AFRICACTIV, has grown from a local to international audience, striving for quality. The vision goes beyond just a festival of cultural celebration to..

JCB na Mo Plus ft Domokaya - Niende Wapi (Audio)

JCB na Mo Plus ft Domokaya - Niende Wapi

Burger King Twitter Account is Hacked

With more than 800,000 followers, the fast food giant’s biography was doctored to say: “Just got sold to McDonalds because the Whopper flopped. Freedom is Failure. Mcdonalds.com In a hood near you.”
Burger King began trending worldwide before the hackers started tweeting about illegal drugs for people to buy when they purchase their burgers.
One tweet said: “Try our new BK Bath Salt! 99% Pure MDPV! Buy a Big Mac, get a gram free!”
Burker King's Official Twitter account They also accused the workers of being drug-addicts, saying they take drugs in the toilets.

Mcdonalds

Sumatra Imesitisha Utoaji wa Leseni kwa Magari Yenye Uwezo wa Kubeba Abiria Wasio Zidi 14

Mamlaka ya Uthibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na majini( Sumatra) Mkoani Mbeya imesitisha utoaji wa leseni ya kubeba abiria wa kawaida kwa waombaji wapya wenye magari yenye uwezo wa kubeba abiria wasio zidi 14.
Aidha Mamlaka hiyo imesema kuwa endapo wamiliki hao wa magari hayo watahitaji kutoa huduma kwa jamii mamlaka hiyo itatoa leseni kwa ajili ya kubeba watalii tu, kauli hiyo imetolewa leo jijini Mbeya na Kamanda wa Polisi Mkoani hapa Ndugu Diwani Athumani wakati akizungumza na madereva wa mabasi madogo yaendayo Mji mdogo wa Tunduma Wilayani kufuatia kuwepo kwa mgomo uliodumu kwa miezi 3 sasa ambao umefanywa na madereva hao kwa kuto safirisa abiria waendao Tunduma.

Mgomo huo wa madereva hao umesababishwa na baadhi ya wamiliki wa magari madogo aina ya( Noah) ambayo yamekuwa yakifanya shughuli ya kubeba abiria toka Mbeya hadi Tunduma hali iliyo zua mgogoro mkubwa baina ya wamiliki wa gari hizo Ndogo pamoja na madereva wa Costa ambao ndio wenye leseni za kusafirisha abiria Toka Mbeya hadi Tunduma.
Awali wakati akizungumzana madereva hao Kamanda Diwani amewataka mara moja watu wanaofanya biashara hiyo kuacha mara moja kwani sheria itachukua mkondo wake.
Amesema sababu kubwa ya kusitisa huduma inayo tolewa na magari hayo madogo ni kuzuia majanga ambayo yanaweza kutokea kwani gari hizo hazina madirisha makubwa pamoja na milango yake kuwa midogo ambayo na haina milango ya dharura endapo kunaweza kutokea tatizo lolote.

Kufuatia hali hiyo Kamanda Diwani amewataka madereva costa ambao wamekuwa wakitoa huduma hiyo kwa muda mrefu kuachana na mgomo huo badala yake waendelee kutoa huduma kwa wananchi kama ilivyo kuwa awali.

Mkasi With Akanashe