Pages

Sajophin ft Godzila - Mjasiliarhymes (Audio)

Sajophin ft Godzila

Bugatti ft. Future, Rick Ross -Ace Hood (Video)

Music video by Ace Hood performing Bugatti. (C) 2013 Cash Money Records Inc. under exclusive license to Republic Records, a division of UMG Recordings, Inc.

Jafarai Ft. Ngwair - Blah Blah (Audio)

Jafarai Ft. Ngwair

Mdahalo wa Bloggers Kuhusu Kucopy na Kupaste!

Ahmad Michuzi:- ASANTEEEE...! MIMI NILIISHASEMA SANA KUHUSU HILI JAMBO,NAONA TUSHIRIKIANE TU KUHIMIZANA KUWA WABUNIFU NA KUJITUMA,TUACHE TABIA YA MLO MMOJA BILA YA KUONGEZA MATUNDA,MATOKEO YAKE TUTAKOSA AFYA NA KUANZA KUCHEKWA HUKO NJE,MLO MMOJA TUONGEZE NA MATUNDA ILI KUJENGA AFYA,SUALA LA TUNDA LIPI WEWE NDIYE UTAKAEAMUA,LIPI LINAKUFAA.

Joseph Lukaza:- asante sana na wewe kwa kutoa lililola moyoni sufiani maana sisi wengine tushaliongelea sana hadi kufikia hatua ya kuchukiwa na baadhi ya watu wenye blogs hizo za kukopy na kupaste.Inaweza kuisaidia pia.Mfano jana Nimepiga picha kuhusu wafuasi wa Shekhe Ponda kisutu Sekunde tu nishaziona Sehemu tena Bila hata Credit

Issa Michuzi:- Pamoja na kwamba sitaki kuchukua upande katika hili, ila naungana mkono na Mbeya Yetu.
Na kwa kuwa wote letu ni kupasha habari iko haja kuketi na kutafakari maana tusigombee fito wakati tunajenga nyumba moja. Ni kweli inakatisha tamaa ila mie binafasi niliacha kulalama siku kibao kwani nilikuja kumaizi kwamba anayenyofoa kazi yangu hunipromoti pia.Yaani msomaji akiikuta habari aliyoiona kwangu harudi tena kwa aliyeCopy kwanini asipate vitu original?
Pia kaka Sufiani wewe (na mimi na wengine tunaofanya kazi ofisi za umma) ulitakiwa uwe wa mwisho kulalama, maana kama alivyosema Mbeya Yetu, kama ukiacha kutuma picha za Mkuu itasaidia nini?
Cha msingi hapa ni kulazimisha kila anyetumia kazi ya mtu aseme alikoitoa. kinyume cha hapo huyo ni mwizi na mgomvi nasi tutamtenga.
hayo ni mawazo yangu binfasi ila nangoja toka kwa wengine.
MM

Mbeya Yetu:- Asante kwa ujumbe wako lakini kumbuka ulimwengu wa dijitali ni tofauti na ulimwengu wa analojia wa magazeti. Mbeya yetu haiungani na ujumbe ulio andika kwa jazba. Na tunapenda kusema tuu kama ushauri kwamba kama unaona kazi zako zinaibiwa basi weka water mark katikati ya picha kisha pale chini andika ukitaka picha isiyo na watermark wawasiliane nawe.
Pia jambo jengine la msingi ni kwamba habari hizi umelalamika za kufanana basi tunaomba na wewe ili kuondoa hilo usiwe unatuma story mfano zinazofanana kwa bloggers wengine hii itasaidia sana, hawa wa kukopy na kupaste kila siku ndo story hii hii tuu.
Ukitaka ku fight fanya mambo kwa akili na si kwa kutumia maguvu . Weka water mark tuu mwisho kabisa sisi sote lengo ni moja kufikisha ujumbe
                       Ukumbi: Sufiani Mafoto

Kipanya Leo

Kipanya Leo

Baraka Abayo FT ROMA na Chege - Below (Audio)

Baraka Abayo FT ROMA na Chege

Indian Mother Raped and Tortured as She Worked as Domestic Slave for Family Which Paid Her Just £400 a Year'

An Indian domestic worker was repeatedly raped and beaten by her employers who threatened to murder her if she complained, a court heard.
The 39-year-old vulnerable and illiterate mother-of-four was used as a 'sexual toy' and 'general dogsbody' by an extended family and their friend who forced her to become their slave for a total of six years.
She was scalded with boiling water, burned with a hot iron, beaten and threatened her throat would be cut and her body buried in a back garden if she didn't do as she was told, a jury were told today.
Despite the woman approaching numerous agencies for help, Croydon Crown Court heard how the abuse continued.
The court heard how the woman initially went to live with Aleemuddin Mohammed, 44, a supermarket manager, and his wife Shamina Yousuf, 42, after they successfully applied for the woman's visa.
Both are accused of assaulting the woman and paying her just £24 during the two years and eight months she worked for them.
The woman was then allegedly forced to moved in with...

Kashfa Kidato cha 4: Wasahihishaji Walikutana na Mambo ya Ajabu Yakiwamo Matusi, Michoro, Mashairi na Nyimbo za Muziki wa Bongo Fleva

Kashfa Kidato cha 4 WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaweza kukumbwa na kashfa kubwa kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha nne ya 2012 yaliyotangazwa juzi na Waziri wake, Dk Shukuru Kawambwa.
Kashfa hiyo inatokana na aina ya majibu yaliyoandikwa na baadhi ya watahiniwa katika mitihani hiyo, huku wengine wakikusanya vitabu vya majibu bila kujibu chochote, hali inayohusishwa na uhaba mkubwa wa walimu katika baadhi ya shule za sekondari nchini.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk Joyce Ndalichako alisema wasahihishaji walikutana na mambo ya ajabu yakiwamo matusi, michoro ya vitu visivyoeleweka, mashairi na nyimbo za muziki wa kizazi kipya (bongo fleva).

“Mwaka jana tulikutana na ‘single’ yaani waliandika mashairi kwa uchache, lakini mwaka huu tumepata albamu nzima… ni vituko vitupu, wengine wanaandika mapenzi, mwanafunzi anatumia ukurasa mzima kumlalamikia mpenzi wake. Miongoni mwa yaliyoandikwa ni mpenzi, umeniacha, natamani kunywa sumu, usiku silali nakuwaza wewe…” alisema Dk Ndalichako.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili ofisini kwake Dar es Salaam jana, Dk Ndalichako alisema wanafunzi wengine waliandika malalamiko dhidi ya wabunge na uendeshaji wa Bunge.

“Unakuta mwanafunzi anaeleza anavyolishangaa Bunge… mtu anaandika… nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe… timu ikishinda Kombe la ..

Birdman's Birthday Party

Mwana FA Ft Kilimanjaro Band, Mandojo na Domokaya - Kama Zamani

Mwana FA Ft Kilimanjaro Band, Mandojo na Domokaya - Kama Zamani