Pages

Diamond Platinumz - Ukimuona (Audio)

Diamond Platinumz

Nigerian Artist Goldie Harvey is Dead

Goldie Harvey
Nigerian popular singer and former Big Brother Africa Housemate Goldie Harvey is dead.
Goldie, born Susan Filani, died on Thursday night at Reddington Hospital, in Victoria Island, Lagos.
According to Daily Times newspaper, the singer died shortly after arriving in Nigeria from the US where she attended the Grammy Awards.
"With a deep sense of loss, we announce the shocking death of our darling music star, Goldie Harvey," said a statement from the CEO of her record label, Kennis Music, Kenny Ogungbe.

"Goldie, 31, died on Thursday after she complained of a severe headache shortly after her arrival from the United States where she went to witness the Grammy Awards. She was rushed from her Park View, Ikoyi, Lagos residence to her official hospital, Reddington, Victoria Island, Lagos, where doctors pronounced her dead on arrival at exactly 7:30pm in the evening," the statement posted on Facebook said.
"We consider this period a gloomy moment for us and the entire Nigerian music industry in view of the circumstance in which she passed away; the abundance of talent she exhibited in her short but eventful music career and the various opportunities her trip to the United States of America would have availed her.

"She is survived by her father, step- mother, brothers and sisters. We deeply sympathise with her family and fans all over the world and very grateful to all and sundry, especially, the vibrant Nigerian media for their concern and prompt reportage. We shall keep everybody informed as events unfold as we are devastated by the sudden loss.”
More  Daily Nation

ABC World News Now : WEBCAST: Close Encounter

Nightmare cruise ends, Oscar Pistorius charged with murder.

Nikki wa Pili - Nje ya Box (Audio)

Nikki wa Pili

Three Held Over 500m/- ATM Theft

ATMs,
 Police in Mwanza have arrested three people in connection with theft of 500m/- from various banks using fake ATM cards.
Acting Mwanza Regional Police Commander Christopher Fuime said one of the suspects was arrested on February 10 at midnight, allegedly stealing money from an ATM machine at NMB’s PPF Plaza branch.
He named the suspects as Salim Nassoro a resident of Kinondoni in Dar es Salaam, Maniki Kimani and Leonard Masunga who are related and both from Nyegezi in Mwanza.
Fuime said the suspects were found with 194 NMB and Diamond Trust Bank ATM cards, 36 KCB ATM cards and other 18 ATM cards with no logo, and equipment allegedly used to manufacture fake ATM bank cards.
He said the suspects were also found with...

Namna ya Kutambua Kama Sim Yako ni ya Kichina

Sim ya Kichina

Q Chief - Akuro (Audio)

Q Chief

Tash, B Gwai na Juru - Nyuma ya Lenzi (Audio)

Tash, B Gwai na Juru

Uingereza Wauziwa Nyama ya Farasi Badala ya Nyama ya Ng'ombe


Wafanyakazi wa Kampuni Spanghero, inayosambaza nyama nchini Uingereza wakiandaa nyama hiyo tayari kwa kupaki katika vifuko kwa kuwauzia wateja wao, ambapo hivi sasa Kampuni hiyo inaandamwa kwa kudaiwa kuwauzia wateja wake nyama ya Farasi badala ya nyama ya Ng'ombe. Imeelezwa kuwa wateja wa kampuni hiyo wamekuwa wakifurahia huduma hiyo wanayoipata kwa bei nafuu tofauti na awali.

Ofisa Usalama Mbaroni Wizi Kontena

Ofisa wa Usalama wa Taifa
VIGOGO watano akiwamo Ofisa wa Usalama wa Taifa wanashikiliwa polisi, kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kontena la madini aina ya Tantalite yenye thamani ya Dola 22,000 za Marekani yaliyokuwa yakisafirishwa nje ya nchi. Akizungumza na Dar es Salaam jana, Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe aliapa kuilinda Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa udi na uvumba. Kiapo hicho alikitoa jana wakati akiwataja watu wanaoshikiliwa na polisi kwa kuichafua TPA, wakati yeye akifanya jitihada za kuisafisha. Aliwataja watu hao kuwa ni Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mmiliki wa Kampuni ya Uwakala wa Kusafirisha Mizigo ya GFC na msaidizi wake.

Wengine ni Ofisa wa Mamlaka ya Ukaguzi Madini (TMAA), Mmiliki wa Bandari Kavu na Ofisa wa Usalama wa Taifa.
Dk Mwakyembe alisema mzigo huo uliokamatwa ukitaka kusafirishwa kwenda nje ya nchi, madini yake aina ya Tantalite hayapatikani nchini, bali nchi za Burundi, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Alisema walibaini katika nyaraka zinazohusiana na kusafirishwa kwa madini hayo kuwa, zinaonyesha madini hayo yanatoka nchini wakati siyo kweli.
Kuhusu Ofisa wa Usalama wa Taifa, Mwakyembe alisema ni mtu muhimu ambaye taifa linamwamini kuficha siri za nchi, lakini akashangaa kuwamo kwenye mlolongo huo.

“Yaani sisi tunafanya kazi ya kuisafisha bandari, watu hawa wanaichafua kuifanya kuonekana ni uchochoro wa kusafirisha magendo,” alisema Dk Mwakyembe na kuongeza:
“Kutokana na hili, kampuni mbili za meli za Safmaline na Maikesi zimesitisha kusafirisha mizigo yao, kutokana na michezo michafu kama hii, watu siyo waaminifu wanabadilisha mizigo halisi kama madini wao wanaweka simenti au magadi ambayo yana uzito sawa na mzigo halisi.”
Aliongeza kuwa mmiliki wa Bandari Kavu ya PMM na mtendaji wake mkuu nao pia wanahojiwa polisi kutokana na tuhuma hizo.

Kuhusu mfanyakazi wa TRA, Dk Mwakyembe alisema ndiye aliyetoa ridhaa ya mzigo huo kusafirishwa kwa magendo.
Pia, Dk Mwakyembe alisema amewaagiza maofisa wa polisi kumtafuta raia wa Congo aliyepeleka mzigo huo bandarini, kwa lengo la kuusafirisha kwenda nchini Romania.
Habari na Na Bakari Kiango
Chanzo - Mwananchi